duh !Uchukue Gunzi Ujikune
Hakikisha ukioga unafuta maji maji vizuri na kila siku tumia taulo safi na kavu,na ukinya ukimaliza kutawadha futa matako na taulo kavu.Vaa chupi za cotton tu,na kila siku vaa chupi safi,na usirudie chupi kila siku hiyohiyoZaidi usiku ndio nawashwa sana wakuu.
Alafu hakuna vipele wala redness.
Nisaidieni dawa.
🙆♂️😒😬😎🔥Usinyoe nyele za matako Master.
😊😀Ni kweli kunyoa nyele za kwenye matako au zile zinazozunguka tundu la haja kubwa ni hatari mno kwa afya ya binadamu
Ni kama unavyonyoa ndevu au mav*$#zi vipele vinapotoka vinawasha na kujikuta vinawasha😄😄Kwamba? 😂
🤣🤣🤣 aiseeeUnataka bwana au?
Hebu onesha tuyaone!Zaidi usiku ndio nawashwa sana wakuu.
Halafu hakuna vipele wala redness.
Nisaidieni dawa maana makebo yanaungua wakuu