Nawashwa sana kwenye makalio, nimetumia SKDERM Cream bila mafanikio

Nawashwa sana kwenye makalio, nimetumia SKDERM Cream bila mafanikio

Sawa pamoja Daktari yupo lakini sifa mojawapo ya Daktari hawezi mtibu MTU ambaye hajamuona.
Zaidi atashauri uende hospitalini au mkutane.

Daktari anapofanya Diagnosis kuna vitu anavizingatia na vitu hivyo vingi ni mpaka amuone mgonjwa uso kwa uso.

Daktari hata umletee vipimo vyako sasa hivi lazima akupime tena ili kujiridhisha.
Exactly
 
Ni kweli kunyoa nyele za kwenye matako au zile zinazozunguka tundu la haja kubwa ni hatari mno kwa afya ya binadamu

Ndio maana mambo mengine huwa hayafundishwi darasani. Unaanzaje kunyoa nywele za matako?
Zinasaidia sana kupunguza sauti ya ushuuz hasa pale unapojamba hadharani
 
Pima choo na damu.
Mara nyingi minyoo huweza kuleta hii shida au damu inapochafuka.
Huduma ya kwanza.
Tumia mchunga/ wild lettuce kuchemsha, kunywa kikombe cha nusu lita mara 2/ day. Na mengine uoge au huoshe eneo husika lenye tatizo bila kufuta / acha maji yakaukie.
 
Kama hujikaushi maji vizuri au ulowa sana jasho,
fangus au sabuni unayotumia,
kama ni mwanaume paka makalio mafuta!
Ukavu wa ngozi unaleta miwasho pia!
Jisafishe vizuri ukioga
Usivae nguo inakubana sana, vaa cotton ndani

Nunua vaseline paka vikizidi katibiwe tu kujikuna hadharani sio poa!
Yaani mwanaume mzima umejifungia mlango uchi chumbani eti unajipaka mafuta? seriously!!
 
Zaidi usiku ndio nawashwa sana wakuu.

Halafu hakuna vipele wala redness.

Nisaidieni dawa maana makebo yanaungua wakuu
Sema ukweli usaidiwe.

Unawashwa kwenye anus.

Na hiyo inasababishwa na parasite anaitwa Enterobius Vermicularis.

Kafanye stool analysis utamkuta.
 
Back
Top Bottom