Hata humu madaktari wapo,tena wengine wapo kwenye hizo hospital kubwa! Tupo nao humu! Mimi nilikuwaga na shida ya vidonda vya tumbo (ulcers) kuna dawa ya majani niliijulia humu,na leo ni mukozi kwangu kiasi fulani! Acha mengine mengi tu ya kiafya nimenufaika kupitia JF, kumbuka pia mficha maradhi kifo kitamuumbua......Kikawaida mambo yanayohusu Afya yako ni busara kukutana na wataalam wabobezi na sio kuulizauliza watu hata wasiojua ABC za mwili na magonjwa