Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Sasa c angesema anawashwa sehemu za mkungu, yee amesema taco.Ni kama unavyonyoa ndevu au mav*$#zi vipele vinapotoka vinawasha na kujikuta vinawasha😄😄
Au ndo umetumia maneno ya hekima?
Sasa c angesema anawashwa sehemu za mkungu, yee amesema taco.Ni kama unavyonyoa ndevu au mav*$#zi vipele vinapotoka vinawasha na kujikuta vinawasha😄😄
Matako yana nywele?Usinyoe nyele za matako Master.
Mda mwingine ni minyooKama hujikaushi maji vizuri au ulowa sana jasho,
fangus au sabuni unayotumia,
kama ni mwanaume paka makalio mafuta!
Ukavu wa ngozi unaleta miwasho pia!
Jisafishe vizuri ukioga
Usivae nguo inakubana sana, vaa cotton ndani
Nunua vaseline paka vikizidi katibiwe tu kujikuna hadharani sio poa!
Asalamaleko 😂Matako yana nywele?
Kwani matako ndio inakuanga na nywele au ni mukunduUsinyoe nyele za matako Master.
Mbona wanaume wengi wamecheka kwenye hii comment 😀Usinyoe nyele za matako Master.
Sasa minyoo.jamani ndiyo uwashwe kalio? Ingekuwa minyoo ingekuwa inachomachoma kwenye shithole!Mda mwingine ni minyoo
Zaidi usiku ndio nawashwa sana wakuu.
Halafu hakuna vipele wala redness.
Nisaidieni dawa maana makebo yanaungua wakuu
Uje bhasi nikuonyeshe eeeh.Matako yana nywele?
Hili nalo huwa ni chanzo kimojawapao.Unashinda umekaa?
Si unionyeshe tu hapa jamani mpaka nifunge safari kuja tu kuona makebo 😒Uje bhasi nikuonyeshe eeeh.
Uje bhasi eti eeh.
Ushaskia mwanaume tako lazima liwe na nywele kama unapulizia Supergrow.
Unataka bwana au?
Hapana, ila nataka nijue we ni ipi kati ya hizo mbili ili nikutibu kulingana na jinsia yako, vipi uko tyr kunambia Sasa?Unataka bwana au?
Mafuta ya nazi pia yanasaidia,ukioga jikaushe upake mafuta ya nazi! Upate yale quality,Mimi nilikuwa na miwasho kwenye pumbu,nilikuwa nikioga baada ya kujikausha napaka mafuta ya Nazi, mengine nayasugulia pia kwenye zakari ipate kuwa stable zaidi!Zaidi usiku ndio nawashwa sana wakuu.
Halafu hakuna vipele wala redness.
Nisaidieni dawa maana makebo yanaungua wakuu
Umempa ushauri mzuri mkuu..ni tiba tosha....Hakikisha ukioga unafuta maji maji vizuri na kila siku tumia taulo safi na kavu,na ukinya ukimaliza kutawadha futa matako na taulo kavu.Vaa chupi za cotton tu,na kila siku vaa chupi safi,na usirudie chupi kila siku hiyohiyo