Waislamu wanatengeneza Nini duniani?
Kwenye suala la teknolojia China Bado Sana angalia ubora wa bidhaa zao ni tia maji maji
1. Ni Operating system gani aliyotengeneza mchina ambayo inashindana na Android, IOS, windows na Linux?
2. Ni Television gani ya mchina inayoishinda Sony, LG na Samsung? Umeshaitumia Hisense? Vidaa ni uchafu na takataka
3. Ni Subwoofer gani ya kichina inayoshindana JBL?
Howo, Faw ni takataka mbele ya Scania, Mercedes Benz na DAF.
Bila Android OS, Play store, chrome, na application za Marekani Bado simu za kichina ni takataka