Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,713
- 9,321
Waislamu wanatengeneza Nini duniani?Wamarekani na wayahudi wa kwa morombo Arusha watagoma
Umewahi kutumia HarmonyOS?1. Ni Operating system gani aliyotengeneza mchina ambayo inashindana na Android, IOS, windows na Linux?
Android OS inatumia application zenye extension ya .apkUmewahi kutumia HarmonyOS?
TCL kwa sasa ndio watengenezaji wa TV zs SONY BRAVIA2. Ni Television gani ya mchina inayoishinda Sony, LG na Samsung? Umeshaitumia Hisense? Vidaa ni uchafu na takataka
Jibu swali kwanza, umewahu kutumia au haujawahi?Android OS inatumia application zenye extension ya .apk
Hiyo Harmony OS inatumia application zenye extension gani?
Harmony OS ni takataka ambayo imecopy na kupaste kutoka kwenye Android OS.Jibu swali kwanza, umewahu kutumia au haujawahi?
Sehemu kubwa ya JBL hutengenezwa China na suppliers wa components za JBL wengi ni Wachina3. Ni Subwoofer gani ya kichina inayoshindana JBL?
ππππππTCL kwa sasa ndio wanatengenezaji wa TV zs SONY BRAVIA
SAMSUNG na LG baadhi ya matoleo ya TV zao wanatumia LCD panels za TCL
Kwenye global market share TCL na Hisense walishaizidi LG
Na hivi karibuni TCL itakuja kuipiku Samsung
High quality at a reasonable price
Basi kumbe hauna hoja ya msingi nilidhani umeshawahi kuexpirience Huawei Pura inayotumia HarmonyOS au PC za Huawei.Harmony OS ni takataka ambayo imecopy na kupaste kutoka kwenye Android OS.
Hata simu ambazo zinatumia, ukiiwasha lazima iandike Powered by Android OS na lazima ukute Google Play Store.
Hiyo Harmony OS inatumia application yenye extension gani?
TCL kwa sasa ndio watengenezaji wa SONY BRAVIA sasa sijui unazungumzia ubora upi?TCL Bado Sana kuifikia Samsung na Sony kwa ubora
Nani alikwambia Hisense hawatumii AndroidOS? Kumbe hauna unachojua kuhusu HisenseHisense inazidiwa na TCL kwasababu ya Android OS. Hisense ingeamua kutumia OS ya Android kwenye TV zao ingekuwa juu kuliko TCL.
Hiyo Harmony OS inatumia application zenye extension gani? Mpaka kuitwa OS lazima iwe na upekee. Hili swali mbona hutaki kulijibu?Basi kumbe hauna hoja ya msingi nilidhani umeshawahi kuexpirience Huawei Pura inayotumia HarmonyOS au PC za Huawei.
Harmony OS ni bora kwenye smooth perfomance, battery optimization, ecosystem integration, stability na good multitasking
Siku ukitumia ecosytem ya HarmonyOS utaona Android ni takataka ecosystem kwenye smartphone, accesories, IoT, smart cars, smart TVs n.k iko very excellent
Hata brands kubwa hutegemea ChinaHowo, Faw ni takataka mbele ya Scania, Mercedes Benz na DAF.
OS hata haba bongo unatengeza, issue kuingiza kwenye soko kwa namna ya biashara na kutekea soko ambayo mchina alitanguliwa na wazungu, ila kwamba hana OS zake zipo ila hazijawa kwenye wigo wa biashara mkubwa kama watangulizi wake, kwasababu miundombinu mingi wazungu walitangulia ingawa sasa watu wanabadirikaWaislamu wanatengeneza Nini duniani?
Kwenye suala la teknolojia China Bado Sana angalia ubora wa bidhaa zao ni tia maji maji
1. Ni Operating system gani aliyotengeneza mchina ambayo inashindana na Android, IOS, windows na Linux?
2. Ni Television gani ya mchina inayoishinda Sony, LG na Samsung? Umeshaitumia Hisense? Vidaa ni uchafu na takataka
3. Ni Subwoofer gani ya kichina inayoshindana JBL?
Howo, Faw ni takataka mbele ya Scania, Mercedes Benz na DAF.
Bila Android OS, Play store, chrome, na application za Marekani Bado simu za kichina ni takataka
Basi kumbe hauna hoja ya msingi nilidhani umeshawahi kuexpirience Huawei Pura inayotumia HarmonyOS au PC za Huawei.
Harmony OS ni bora kwenye smooth perfomance, battery optimization, ecosystem integration, stability na good multitasking
Siku ukitumia ecosytem ya HarmonyOS utaona Android ni takataka ecosystem kwenye smartphone, accesories, IoT, smart cars, smart TVs n.k iko very excellent
Kwanza kabisa kaa ukijua kuwa HarmonyOS si Android cloneHiyo Harmony OS inatumia application zenye extension gani? Mpaka kuitwa OS lazima iwe na upekee. Hili swali mbona hutaki kulijibu?
Kwenye computer Yako ya Windows, pakua application ya .apk Kisha install, hiyo hiyo install kwenye IOS Kisha install kwenye Mac OS, Symbian OS, Windows phone OS na Blackberry OS. Ulete jibu,
Hiyo hiyo application ya .apk install kwenye Harmony OS, ukiweza kuinstall, basi Harmony ni takataka na siyo OSπππ
Umesema vyema, jamaa anafikiri akina Samsung, OPPO, Vivo, Xiaomi hawana uwezo wa kudevelop OS zaoJamaa kashindwa angalia kwa picha pana, technical OS sio kitu cha ajabu kwa Taifa kama china, issue inakuwa kuingiza kwenye soko la bishara na kueleweka ( hapa huchukua mda kwasababu mifumo mingi - hardware zake zipo compatible na madudu ya mabeberu ). Mchina ana OS na hata bongo tukitaka kuwa na OS yetu tunaweza issue inaingiaje kwenye soko nani anakuamini hii huchukua mda, ambayo paka sasa mchina yupo mbali kwneye hili ni swala la mda tutaanza jivinjari na mambo ya kichina
HarmonyOS kwa Asia inafanya vyema, kadri tunahamia kwenye mifumo ya wa china ndivyo ambavyo inazidi kuwa na nguvu. Ni swala la mda tuUmesema vyema, jamaa anafikiri akina Samsung, OPPO, Vivo, Xiaomi and the likes of hawana uwezo wa kutengeneza OS zao
Uwezo wanao ila wanachoangalia ni jinsi ya kuingiza OS mpya sokoni ikubalike
HarmonyOS ameweza ndani ya China na sasa inapanuka kidogo kidogo kimataifa inataka muda
Umesema vyema π€HarmonyOS kwa Asia inafanya vyema, kadri tunahamia kwenye mifumo ya wa china ndivyo ambavyo inazidi kuwa na nguvu. Ni swala la mda tu
Bado Unaamini hizo propaganda!??Tatizo kubwa la Wachina ni ubora duni wa vitu vyao.
Mfano, wanatengeneza simu, computer, na vifaa vingi vya electronics, lakini ubora wake ni tia maji. Tecno zao kwa mfano ni duni kwa Samsung, iPhone, nk