Uchaguzi 2020 China yaionya USA juu ya uchaguzi wa Tanzania 2020

Me naikubali Marekani na hakuna mtu wakumshusha ila tu usiasa huu ni wa kawaida
 
Hawa wachina nao wanataka kuwa tatizo kwetu.

Tanzania sio koloni lao. Hatutaki mfumo wao wa chama kimoja kutawala milele.

Inabidi wawe waangalifu sana wasije wakaonekana kama ndio kikwazo kwetu katika kujikwamua kwenye vibaraka wao CCM.

Kama tusivyotaka kuamrishwa na Marekani, ni hivyo hivyo hatutaki wao ndio wawe waamuzi wa hatma yetu.
 
We nishabiki na ukiwa shabiki huwezi kuona mapungufu sometime
USA sio kwamba hawana hizo silaha za kibailojia wanazo vilevile
Lakini vipi tushambulie tu hovyo bila sababu za msingi
Mchina anajitutumua tu


Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
USA watiache wapambane na wao la sivyo mrusi na sisi tutaungama kuwafatilia mwanzo mwisho trump asijifanye hajui kuwa atashindwa
 
Reactions: mmh
Wachina ni wamekuwa zaidi ya mabeberu wa wa kizungu. Wakati mabeberu wa magharibi wanachota tu rasilimali zetu hawa Wachina wametugeuza dampo la bidhaa zao hafifu na kufifisha kabisa ndoto za kuwa na uchumi imara wa viwanda barani Africa.
 
Ukikua utaachana na hizi story za kitoto.
 
Kwanza China ndiye beberu mkubwa wa Tanzania, ameingia kila sekta na kuchukua rasilimali za nchi hii bila huruma!
China hana jeuri yeyote kwa mmarekani nakumbuka aliwahi onya hivyo hivyo lakini bado muamar gadaf aliuawa hali kadhalika hata kwa sadam husein marekani sio kama mnavyo simuliana kwenye vijiwe vya kahawa aisee nadhan kwa wanao jua wanajua.
 
Me naikubali Marekani na hakuna mtu wakumshusha ila tu usiasa huu ni wa kawaida

sjasema kwamba watafight kwa sababu ya tanzania, nmesema tu china wana heshima yake na marekani hakuna anchoweza kumfanya china if there is to be a war, because china hayupo peke yake! kuna kundi kubwa linasubiri marekani waingie kwenye anga zake though hawatatumia izo missles it will be the last option
 
Wachina hawapendi ubwabwa, kama ccm vile. Magufulification of Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ.
 

USA has a scam economy, usa wnaprint ela mpya kila sku trillion of cash, na hizo pesa hawazitumii wao wanawapa nchi zingine wazungushe kama pesa zao za trading, scam economy! USA as itself they dont even own the us dollar wao wanatumia kama wananchi tu, wapo wanaomiliki us dollar wanaitwa federal reserve, USA ni scamist
 
Huyu ni Lumumba mwenzenu johnthebaptist na Bia yetu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…