Uchaguzi 2020 China yaionya USA juu ya uchaguzi wa Tanzania 2020

Uchaguzi 2020 China yaionya USA juu ya uchaguzi wa Tanzania 2020

kuna mbuzi juzi nlimwambia kabisa, hata wafanye nn marekani haiwezi kuifanya chochote tanzania! Tanzania ni mstari mmoja na pakistan, sisi hatuwasupport israel, sasa pakistan ni msururu mmoja na china + russia! hawa wanasubiri marekani ifanye kosa lolote kuna kitu kinaitwa INTER CONTINENTAL BALISTIC MISSLES, china na russia, missles zao zpo set for new york, kwahio ni kitendo cha kubonyeza tu switch marekani nzima ibaki majivu, kwahio waliokua wanategemea sjui marekani , belgium habari ziwafikie
Me naikubali Marekani na hakuna mtu wakumshusha ila tu usiasa huu ni wa kawaida
 
Hawa wachina nao wanataka kuwa tatizo kwetu.

Tanzania sio koloni lao. Hatutaki mfumo wao wa chama kimoja kutawala milele.

Inabidi wawe waangalifu sana wasije wakaonekana kama ndio kikwazo kwetu katika kujikwamua kwenye vibaraka wao CCM.

Kama tusivyotaka kuamrishwa na Marekani, ni hivyo hivyo hatutaki wao ndio wawe waamuzi wa hatma yetu.
 
Mkuu, aaaah!! Sasa nini maana ya techniques za kivita mkuu!![emoji23]

Kuna wakati siraha Kwa sababu ndio Kwanza unaenda kuitumia, itabidi uijaribishie hata Kwa mifugo yako uone kama inakidhi matarajio mkuu, ndicho alichokifanya China kabla kombora Hilo halijatumwa Marekani [emoji23][emoji23]
We nishabiki na ukiwa shabiki huwezi kuona mapungufu sometime
USA sio kwamba hawana hizo silaha za kibailojia wanazo vilevile
Lakini vipi tushambulie tu hovyo bila sababu za msingi
Mchina anajitutumua tu


Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
USA watiache wapambane na wao la sivyo mrusi na sisi tutaungama kuwafatilia mwanzo mwisho trump asijifanye hajui kuwa atashindwa
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Wachina ni wamekuwa zaidi ya mabeberu wa wa kizungu. Wakati mabeberu wa magharibi wanachota tu rasilimali zetu hawa Wachina wametugeuza dampo la bidhaa zao hafifu na kufifisha kabisa ndoto za kuwa na uchumi imara wa viwanda barani Africa.
 
Ukikua utaachana na hizi story za kitoto.
kuna mbuzi juzi nlimwambia kabisa, hata wafanye nn marekani haiwezi kuifanya chochote tanzania! Tanzania ni mstari mmoja na pakistan, sisi hatuwasupport israel, sasa pakistan ni msururu mmoja na china + russia! hawa wanasubiri marekani ifanye kosa lolote kuna kitu kinaitwa INTER CONTINENTAL BALISTIC MISSLES, china na russia, missles zao zpo set for new york, kwahio ni kitendo cha kubonyeza tu switch marekani nzima ibaki majivu, kwahio waliokua wanategemea sjui marekani , belgium habari ziwafikie
 
Kwanza China ndiye beberu mkubwa wa Tanzania, ameingia kila sekta na kuchukua rasilimali za nchi hii bila huruma!
China hana jeuri yeyote kwa mmarekani nakumbuka aliwahi onya hivyo hivyo lakini bado muamar gadaf aliuawa hali kadhalika hata kwa sadam husein marekani sio kama mnavyo simuliana kwenye vijiwe vya kahawa aisee nadhan kwa wanao jua wanajua.
 
Me naikubali Marekani na hakuna mtu wakumshusha ila tu usiasa huu ni wa kawaida

sjasema kwamba watafight kwa sababu ya tanzania, nmesema tu china wana heshima yake na marekani hakuna anchoweza kumfanya china if there is to be a war, because china hayupo peke yake! kuna kundi kubwa linasubiri marekani waingie kwenye anga zake though hawatatumia izo missles it will be the last option
 
Wachina hawapendi ubwabwa, kama ccm vile. Magufulification of Tanzania 🇹🇿.
 
China wakipewa majukumu ya USA mwaka mmoja tu huwenda wakapotea kwenye ramani ya uchumi kabisa (hapa naongelea misaada tu hawa jamaa wanayotoa kwa mwaka)
Hilo deni kwa USA sio kitu na sio kwamba wameshindwa kuishi bila deni lakini ni hesabu za kiuchumi tu
Nikama tu wanaonunua ndege kwa kulipa kidogokidogo sio kwamba hawana pesa ya kununua cash ni mipango tu ya kibiashara
Ndiyo maana Rais Mtanzania alivyonunua ndege cash wamemshangaa

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app

USA has a scam economy, usa wnaprint ela mpya kila sku trillion of cash, na hizo pesa hawazitumii wao wanawapa nchi zingine wazungushe kama pesa zao za trading, scam economy! USA as itself they dont even own the us dollar wao wanatumia kama wananchi tu, wapo wanaomiliki us dollar wanaitwa federal reserve, USA ni scamist
 
Huyu ni Lumumba mwenzenu johnthebaptist na Bia yetu?
wanazo tena nyingi tu, ila russia na china ni kitu kimoja! marekani hana modern weapons kama russia na china walivo nazo, marekani cant fight even china alone, infact hata vita ya uchumi tayar washaloose kwa china, kwa sababu kila mtu akirudi nchini kwake marekani inabaki hopeless, hata google ilitengenezwa na mrussia na ndo spy mkubwa hii dunia haijawahi tokea wakishairikiana na FBI, sasa utawafanya nn, there is nothing you can do, ndo uzuri wa ubabe kwa ubabe
 
Back
Top Bottom