Hivi wewe jamaa Mbona ni kilaza ivyo??? Kwa iyo China aliyeshindwa kufufua kiwanda cha urafiki tu atamfanya nini Marekani???? Unawajua Marekani au unahadithiwa????
Acha kujidanganya wewe!! Hao cuba marekani akiamua anaweza shusha atomic bomb 1 tu na kuzamisha icho kisiwa ambacho ni kama Zanzibar tu.
Sababu pekee ya Marekani kukistahi hicho kisiwa ni kuwa kuna wamarekani wengi wenye uraia wa cuba na wana ndugu cuba hasa jimbo la Florida. Vinginevyo Marekani angekizamisha hicho kisiwa ndani ya dk 5 tu
Mkuu china bado sana sana marekani kashika mpini sisi tumeshika kwa makali akiamua mtaokota makopo
Absolutely, lets see now what are they goner do!Serikali ya China imeitaka USA kutoingilia maswala ya ndani ya nchi nyingne ikiwemo uchaguzi wa Tanzania kwa kuwa serikali ya Tanzania inaweza kusimamia vema uchaguzi
==
CHINA YAIAMBIA MAREKANI ISIINGILIE MAMBO YA NDANI YA TANZANIA
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa #China, Zhao Lijian ameiambia #Marekani isiingilie mambo ya ndani ya Tanzania
China inaamini #Tanzania itafanya Uchaguzi Mkuu kwa mafanikio ikiamini serikali ina uwezo wa kusimamia Uchaguzi huo
Kauli hiyo imekuja baada ya Marekani kusema haitasita kuchukua hatua kwa watakaoonekana kuwa chanzo cha kuvuruga uchaguzi wa Haki na Demokrasia
Chanzo: Azam Tv
My take:
China watupotezee sisi tumeamua kufanya mabadiliko kama wanapenda rais wa ujenzi waje wamchukue akawajengee flyover
SickWatatupangia tu maana hatuna uwezo wa kujiongoza, na tutawaunga mkono kwa hatua watakazochukua dhidi ya utawala dhalimu.
Waache tu waendelee kumtia ujinga. Wanadhani Marekani ni Kenya wanaowafungia mpaka ππMtampoteza Jiwe mtamuingiza chaka china bado
FYI last week China has become the biggest economy in the world, overtaking the USA.Mkuu china bado sana sana marekani kashika mpini sisi tumeshika kwa makali akiamua mtaokota makopo
Lissu anatakiwa kuwajibika kisiasa na kiharaki kwa kuchafua taswira ya Tanzania.Tumekwisha
Waache tu waendelee kumtia ujinga. Wanadhani Marekani ni Kenya wanaowafungia mpaka ππ
FYI last week China has become the biggest economy in the world, overtaking the USA.
Uchumi wa Makaratasi wakati kufufua kiwanda cha urafiki tu wanashindwa???πππ
Continue to dream, the world is moving on.U
chumi wa Makaratasi wakati kufufua kiwanda cha urafiki tu wanashindwa???πππ
Inawauma kweli jamaa wa "Westside "!FYI last week China has become the biggest economy in the world, overtaking the USA.
Ushawai soma vitabu vya Willy Gamba???
Serikali ya China imeitaka USA kutoingilia maswala ya ndani ya nchi nyingne ikiwemo uchaguzi wa Tanzania kwa kuwa serikali ya Tanzania inaweza kusimamia vema uchaguzi
==
CHINA YAIAMBIA MAREKANI ISIINGILIE MAMBO YA NDANI YA TANZANIA
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa #China, Zhao Lijian ameiambia #Marekani isiingilie mambo ya ndani ya Tanzania
China inaamini #Tanzania itafanya Uchaguzi Mkuu kwa mafanikio ikiamini serikali ina uwezo wa kusimamia Uchaguzi huo
Kauli hiyo imekuja baada ya Marekani kusema haitasita kuchukua hatua kwa watakaoonekana kuwa chanzo cha kuvuruga uchaguzi wa Haki na Demokrasia
Chanzo: Azam Tv
My take:
China watupotezee sisi tumeamua kufanya mabadiliko kama wanapenda rais wa ujenzi waje wamchukue akawajengee flyover
Jibu swali uchumi gani huo wakati wameshindwa kufufua kiwanda cha urafiki tu hapo???ππContinue to dream, the world is moving on.
Mambo ni [emoji91][emoji91][emoji91]
Secretary Pompeo fanya yako naona hadi Beijing wamekurupuka tayari
Hivi kweli akili ndogo itaendesha akili kubwaSerikali ya China imeitaka USA kutoingilia maswala ya ndani ya nchi nyingne ikiwemo uchaguzi wa Tanzania kwa kuwa serikali ya Tanzania inaweza kusimamia vema uchaguzi