Uchaguzi 2020 China yaionya USA juu ya uchaguzi wa Tanzania 2020

Wanamuingiza king Magufuli ili akiwekewa vikwazo na marekani waweze kutukandamiza vizuri Kama walivyofanya kwa Zimbabwe.

Mbona ajawasaidia Iran kwa vikwazo au mbona hakuwasaidia Zimbabwe?

China ni matapeli tu Tanzania akitaka kujinasua na minyororo ya marekani dawa ni kuacha kupewa misaada yote ya Marekani,Un ,EU, IMF, WB.
 
Kwahiyo Tanzania inagombaniwa kama mpira wa kona.

kuna mbuzi juzi nlimwambia kabisa, hata wafanye nn marekani haiwezi kuifanya chochote tanzania! Tanzania ni mstari mmoja na pakistan, sisi hatuwasupport israel, sasa pakistan ni msururu mmoja na china + russia! hawa wanasubiri marekani ifanye kosa lolote kuna kitu kinaitwa INTER CONTINENTAL BALISTIC MISSLES, china na russia, missles zao zpo set for new york, kwahio ni kitendo cha kubonyeza tu switch marekani nzima ibaki majivu, kwahio waliokua wanategemea sjui marekani , belgium habari ziwafikie
 
Kwanza China ndiye beberu mkubwa wa Tanzania, ameingia kila sekta na kuchukua rasilimali za nchi hii bila huruma!
China inabeberu mpaka wanyonge.

Michina inapanga room mpaka Buza kwa Mpalange na inafanya kazi mpaka ya kubeba Zege.

Na kama hilo halitoshi michina haitakutetea ikiwa michina mienzao inakusulubu. Wazungu wema wapo na wana uwezo wa kukemea wazungu wenzao wakiona ukatili unazidi.

Hata Black Lives Matter wazungu wengi tu wameandamana kupinga.

Ila kwa kuwa michina inachotaka ni MALI, SOKO na TENDA imechagua kujipendekeza kwa Watawala.

Yanakula na kipofu kama viongozi wa dini wa Tanzagiza.
 
kuna mbuzi juzi nlimwambia kabisa, hata wafanye nn marekani haiwezi kuifanya chochote tanzania! Tanzania ni mstari mmoja na pakistan, sisi hatuwasupport israel, sasa pakistan ni msururu mmoja na china + russia! hawa wanasubiri marekani ifanye kosa lolote kuna kitu kinaitwa INTER CONTINENTAL BALISTIC MISSLES, china na russia, missles zao zpo set for new york, kwahio ni kitendo cha kubonyeza tu switch marekani nzima ibaki majivu, kwahio waliokua wanategemea sjui marekani , belgium habari ziwafikie
Duh kweli mazuzu wapo wengi,na Zimbabwe ni mstari upi?
 
Serikali ya China imeitaka USA kutoingilia maswala ya ndani ya nchi nyingne ikiwemo uchaguzi wa Tanzania kwa kuwa serikali ya Tanzania inaweza kusimamia vema uchaguzi

==
CHINA YAIAMBIA MAREKANI ISIINGILIE MAMBO YA NDANI YA TANZANIA

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa #China, Zhao Lijian ameiambia #Marekani isiingilie mambo ya ndani ya Tanzania

China inaamini #Tanzania itafanya Uchaguzi Mkuu kwa mafanikio ikiamini serikali ina uwezo wa kusimamia Uchaguzi huo

Kauli hiyo imekuja baada ya Marekani kusema haitasita kuchukua hatua kwa watakaoonekana kuwa chanzo cha kuvuruga uchaguzi wa Haki na Demokrasia

Chanzo: Azam Tv

My take:
China watupotezee sisi tumeamua kufanya mabadiliko kama wanapenda rais wa ujenzi waje wamchukue akawajengee flyover
Ahahhhah,kweli waje wamchukue
 
Hamna kitu hawa panya wa kuchina wananikera kama kusambaza mashine za kucheza kamari Tanzania.

Ningekuwa na mamlaka kamari zingechezwa kwenye makasino tu kwa watu wenye pesa za ziada na siyo kusambaza kamari mitaani.
 
Wanamuingiza king Magufuli ili akiwekewa vikwazo na marekani waweze kutukandamiza vizuri Kama walivyofanya kwa Zimbabwe.

Mbona ajawasaidia Iran kwa vikwazo au mbona hakuwasaidia Zimbabwe?

China ni matapeli tu Tanzania akitaka kujinasua na minyororo ya marekani dawa ni kuacha kupewa misaada yote ya Marekani,Un ,EU, IMF, WB.
Wanaweza sasa.
 
Afu huto tupuuzi twenye vimacho vya samaki tuliwaponza watu wa Zimbabwe Hadi leo hii Uchumi umeporomoka hakuna Cha maana wanafanya wapumbavu Hawa.

West Wana miradi kibao kuanzia sekta ya afya Hadi elimu wanasaidia vyenyewe hivi viko kiwizi wizi na mikampuni yao ya ujenzi,shenzi kabisa .

Nchi ikichezea vikwazo hakuna Cha maana vitafanya zaidi ya kupayuka tu huko kwao.Kufuata sera za uchina ni upuuzi wa Hali ya juu vinataka chini ya vibaraka zao maccm take yavijaze vichina huku na kuiba Mali zetu
Serikali ya China imeitaka USA kutoingilia maswala ya ndani ya nchi nyingne ikiwemo uchaguzi wa Tanzania kwa kuwa serikali ya Tanzania inaweza kusimamia vema uchaguzi

==
CHINA YAIAMBIA MAREKANI ISIINGILIE MAMBO YA NDANI YA TANZANIA

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa #China, Zhao Lijian ameiambia #Marekani isiingilie mambo ya ndani ya Tanzania

China inaamini #Tanzania itafanya Uchaguzi Mkuu kwa mafanikio ikiamini serikali ina uwezo wa kusimamia Uchaguzi huo

Kauli hiyo imekuja baada ya Marekani kusema haitasita kuchukua hatua kwa watakaoonekana kuwa chanzo cha kuvuruga uchaguzi wa Haki na Demokrasia

Chanzo: Azam Tv

My take:
China watupotezee sisi tumeamua kufanya mabadiliko kama wanapenda rais wa ujenzi waje wamchukue akawajengee flyover
 
kuna mbuzi juzi nlimwambia kabisa, hata wafanye nn marekani haiwezi kuifanya chochote tanzania! Tanzania ni mstari mmoja na pakistan, sisi hatuwasupport israel, sasa pakistan ni msururu mmoja na china + russia! hawa wanasubiri marekani ifanye kosa lolote kuna kitu kinaitwa INTER CONTINENTAL BALISTIC MISSLES, china na russia, missles zao zpo set for new york, kwahio ni kitendo cha kubonyeza tu switch marekani nzima ibaki majivu, kwahio waliokua wanategemea sjui marekani , belgium habari ziwafikie
Kwa hiyo America wao wana AK 47 peke yake hawana silaha nyingine

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom