Uchaguzi 2020 China yaionya USA juu ya uchaguzi wa Tanzania 2020

Uchaguzi 2020 China yaionya USA juu ya uchaguzi wa Tanzania 2020

Serikali ya China imeitaka USA kutoingilia maswala ya ndani ya nchi nyingne ikiwemo uchaguzi wa Tanzania kwa kuwa serikali ya Tanzania inaweza kusimamia vema uchaguzi

==
CHINA YAIAMBIA MAREKANI ISIINGILIE MAMBO YA NDANI YA TANZANIA

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa #China, Zhao Lijian ameiambia #Marekani isiingilie mambo ya ndani ya Tanzania

China inaamini #Tanzania itafanya Uchaguzi Mkuu kwa mafanikio ikiamini serikali ina uwezo wa kusimamia Uchaguzi huo

Kauli hiyo imekuja baada ya Marekani kusema haitasita kuchukua hatua kwa watakaoonekana kuwa chanzo cha kuvuruga uchaguzi wa Haki na Demokrasia


Chanzo: Azam Tv


My take:
China watupotezee sisi tumeamua kufanya mabadiliko kama wanapenda rais wa ujenzi waje wamchukue akawajengee flyover
naona tanzania inagombaniwa ka bikra
 
Tulieni mpapaswe kwanza tarehe 28 hayo mapovu mkafulie bendera za chama baada ya uchaguzi
Mimi sina chama.

Nalihurumia tu taifa langu.

Tena CCM yenye afadhali inapita, inakuja CCM ya kina BASHITE, OLE SABAYA, MWIGULU NCHEMBA, KIGWANGALLA, wadanganyika wataishi kama swala ndani ya mbuga ya wanyama Simba.

Kuishi kama Digi digi
 
Mimi sina chama.

Nalihurumia tu taifa langu.

Tena CCM yenye afadhali inapita, inakuja CCM ya kina BASHITE, OLE SABAYA, MWIGULU NCHEMBA, KIGWANGALLA, wadanganyika wataishi kama swala ndani ya mvuga ya wanyama Simba.
Dua za kuku hizo we
 
Kumbe uchaguzi huu una maslahi tusiyoyajua na wababe wa Dunia!. Kuna watu walikuwa wanasema eti mgombea fulani anafadhiliwa na mabeberu kumbe na wao wamo!.
CCM + Beberu China & Chadema + Beberu USA tusubiri tuone nani mbabe zaidi ya mwenzake.

Ila Beberu mmoja anahubiri haki na Beberu mwingine anafagilia rafu za mawakala na figisu za NEC
 
Kumbe uchaguzi huu una maslahi tusiyoyajua na wababe wa Dunia!. Kuna watu walikuwa wanasema eti mgombea fulani anafadhiliwa na mabeberu kumbe na wao wamo!.
CCM + Beberu China & Chadema + Beberu USA tusubiri tuone nani mbabe zaidi ya mwenzake.

Ila Beberu mmoja anahubiri haki na Beberu mwingine anafagilia rafu za mawakala na figisu za NEC
Beberu mwingine anatetea,kufadhili na kuushupalia ushoga........mkatatuliwe wenyewe hizo ringi.........
 
Unaakili za kitoto sana itakuwa ni form 6 mliotoka Jkt

Kwataarifa yako
Pakistan ni puppet wa USA na anasaidiwa kwa kila kitu hadi saivi USA anakambi zaidi ya 4 ndani ya Pakistani

Huyo China hawezi bishana na USA kwa kuwa yeye mwenyewe bado njaa ,kushindwa kumsaidia Mugabe ,kushindwa kumsaidia Korea ya kiduku saivi wakorea wanalia na vikwazo na chaajabu zaid hata kampuni zake za ndani (huawei na tiktalk ) zinanyanyaswa yeye yupo kimya tuu

hahaha pole sana bro, wacha nkupe details, hizi taarifa kuna mbungo jana nlimwambia hapa hapa forum skumbuki thread ilikua inahusiana na nn, yeye alikua anasema wnaksanya evidence eti wanapeleka mahakama ya kitaifa baada ya uchaguzi!

- Pakistan kama sio suppport ya russia basi wamarekani wangewaonea sana kwa sababu israel wanawaonea sana! israel wanawaonea pakistan kwa sababu israel ina full support ya USA, russia walistep in, ushawahi skia tena israel wanawaonea pakistan? heshima imerudi si ndio?

- China ana ugomvi mkubwa na marekani kwenye battle ya space, kila contract marekani wanaofanya wanawatenga china kwenye
kusign, hata international space station ilivoanza kazi china walitengewa na wakasema watatengeneza ya kwao isiwe tabu,
baada ya hapo sasa china wakasema isiwe tabu, russia ndo watengenezaji wa rocket dunia hii hakuna nchi wanatengeneza rocket efficient kama russia, china wamepatner nao, leo marekani wamebaki wanarusha rocket kupitia kampuni inaitwa spacex inamilikiwa na mwamba mmoja anaitwa ELON MUSK, ni msouth africa aaliehamia marekani

- Mpaka lei russia na china ni wamoja katika rockets, sasa rockets ndo missles dogo, ndo imekuja ilo neno INTER CONTINENTAL BALISTIC MISSLES, saaahv pakistan wankaa kwa raha bana we unadhan marekani ndo dunia yao saaahv, marekani walipigwa mpaka na vietnam, have you ever heard of september 11? unajua nan ndo yuko nyuma ya hili shambulio, unajua kwann marekani hawajajibu mashabulizi, kama hujui kaaa kimya! ila kaa ukijua marekani can do nothing on us unless support yetu ihame
 
Nimekuwa najiuliza maswali kuhusu CHINA! Je ni kwanini CHINA inawaandama wanaohimiza uchaguzi kuwa huru na wa haki Tanzania?? Marekani wameshaweka wazi kuwa hawana mgombea Tanzania lakini wangependa kuona uchaguzi wetu unakuwa huru na wa haki! Je kuto wito huu tayari ni kuingilia uchaguzi wa nchi nyingine???
Au labda China wanaogopa CCM ikianguka watapoteza ulaji kwenye uwekezaji????
Kwanini wao CHINA hawaimizi uchaguzi kuwa wa haki , ila tu wanayasuta mataifa yanayoimiza suala hili??? Tunajua chama cha china ni marafiki na CCM, Je au ndio kusema CCM inajaribu kuwaziba mdomo mataifa mengine kupitia China???
Nawasihi CHINA wayaache mataifa yanayosimamia AMANI ya dunia yafanye kazi ya kuepusha uvunjifu wa AMANI, Sote tunajua HAKI ndio msingi mkuu wa AMANI! Mahala popote pasipo na haki hata kama pataonekana kuwa na amani, basi amani hiyo ni ya bandia, tunataka AMANI YA KWELI!
Mambo yakienda hovyo nchini westerns watakuja na hao wachina hawatafanya lolote, just mark my word mkuu watabaki maneno maneno tu kwasababu wanajua ulaji wao hapa nchini utakuwa umekatwa.
Bora tuwe huru, tufanye mambo yetu kwa usawa na haki kwa watanzania wote kuliko kuishi chini ya "itategemea siku hiyo nimeamkaje"
 
Serikali ya China imeitaka USA kutoingilia maswala ya ndani ya nchi nyingne ikiwemo uchaguzi wa Tanzania kwa kuwa serikali ya Tanzania inaweza kusimamia vema uchaguzi

==
CHINA YAIAMBIA MAREKANI ISIINGILIE MAMBO YA NDANI YA TANZANIA

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa #China, Zhao Lijian ameiambia #Marekani isiingilie mambo ya ndani ya Tanzania

China inaamini #Tanzania itafanya Uchaguzi Mkuu kwa mafanikio ikiamini serikali ina uwezo wa kusimamia Uchaguzi huo

Kauli hiyo imekuja baada ya Marekani kusema haitasita kuchukua hatua kwa watakaoonekana kuwa chanzo cha kuvuruga uchaguzi wa Haki na Demokrasia


Chanzo: Azam Tv


My take:
China watupotezee sisi tumeamua kufanya mabadiliko kama wanapenda rais wa ujenzi waje wamchukue akawajengee flyover
ahaa umenikumbusha zile hadithi za alfu ulela eti Fisi anamuonya Simba asisogelee kitoweo chake aahaa
 
China na Russia wana nini??? Hao wachina wanaokuja kuuza karanga manzese watakusaidia nini??? Kiwanda tu cha Urafiki wameshindwa kukifufua alafu ndo mnajipeleka kwao. Mwaka huu mtajua hamjui na hivi ndo mnazidi kumkasilisha Mmarekani, lazima awatie adabu mwaka huu
Kwan mm mwanachi wa zimbambwe? waulize wazimbambwe, sisi tunawaunga mkono pakistan ambao kwa nyuma ni russia + china, sasa leteni mdomo
 
Hivi mnapata wapi ujasiri wakuongelea kitu ambacho hamna maarifa nacho? Kwani hizo ICBM anazo China na Urusi tu? Acheni stories za vijiweni za kupotezea muda mkiwa idle? Eti wakibofya tu Marekani majivu kha😂😂
Embu naomba uniambie destructive range and parimeters ya hizo ICBM walizokuwa nazo hao uliowataja.

marekani wanazo pia, lakini zilitengenezwa na russia, hata AIR FORCE one the initial one was russia base, hata rockets walizokua znatumika na NASA zote ni russia, kwa kifupi russia ndo bingwa wa missles, kuna kitu kinaitwa ANTI MISSLES, unawza rusha na isifanye chochote, marekani amebaki kopo tu saaahv analilia tiktok inunuliwa marekani , google yenyewe ni russia made, so unataka kusema nn dogo
 
Mawakala wa CHADEMA wanyimwa kuapushwa wazungushwa 21 /10/2020

CCM Mpya imekwenda kuomba kubebwa ktk mbeleko ya beberu wa Mashariki ya Mbali yaani China .

Hii Dr. Bashiru Ally Kakurwa kuhusu kujimwambafai ni nchi huru sasa beberu China kwanini azungumzie mambo ya ndani kama Uchaguzi wetu wa 2020
CRI: It is reported that the general election in Tanzania will be held on October 28. The US Embassy in Tanzania recently issued a statement
Foreign Ministry Spokesperson Zhao Lijian's Regular Press Conference on October 20, 2020
 
They care about:

1. Wewe ni soko la bidhaa zao.

2. Utaendelea kuwapa tenda za ujenzi

3. Utaacha raia wao wafanyebkazi kwa UHURU ndani ya jamhuri ya Danganyika hata kama ni za kuchezesha makorokoro ya bahati nasibu.

Ukiwapa hayo wewe hata UA kiatili ndugu zako tu wenye rangi nyeusi tiii, wao hawana muda na wewe.
Hawaingilii mambo yako ya ndani.
 
China na Russia wana nini??? Hao wachina wanaokuja kuuza karanga manzese watakusaidia nini??? Kiwanda tu cha Urafiki wameshindwa kukifufua alafu ndo mnajipeleka kwao. Mwaka huu mtajua hamjui na hivi ndo mnazidi kumkasilisha Mmarekani, lazima awatie adabu mwaka huu

hahahaah basi bwana beberu wenu inabidi atii amri, saaahv wamebaki wanalilia tiktok inunuliwa na marekani, so pathetic,
 
W020201020690397030738.jpg

CRI: It is reported that the general election in Tanzania will be held on October 28. The US Embassy in Tanzania recently issued a statement on the election, calling on the Tanzanian government to support the democratic process, adding that they will not hesitate to consider consequences for those found to be responsible for election-related violence or undermining the democratic process. What is your comment?

Zhao Lijian: We believe that the Tanzanian government and people have the wisdom and capability to organize the election. We wish that the election will be held in a smooth and successful manner. Non-interference in other countries' internal affairs should be a basic principle for all countries to follow. China calls on all countries to respect this principle and all parties should support African countries' independence and safeguard their unity and stability READ MORE : Foreign Ministry Spokesperson Zhao Lijian's Regular Press Conference on October 20, 2020
 
Back
Top Bottom