hahaha pole sana bro, wacha nkupe details, hizi taarifa kuna mbungo jana nlimwambia hapa hapa forum skumbuki thread ilikua inahusiana na nn, yeye alikua anasema wnaksanya evidence eti wanapeleka mahakama ya kitaifa baada ya uchaguzi!
- Pakistan kama sio suppport ya russia basi wamarekani wangewaonea sana kwa sababu israel wanawaonea sana! israel wanawaonea pakistan kwa sababu israel ina full support ya USA, russia walistep in, ushawahi skia tena israel wanawaonea pakistan? heshima imerudi si ndio?
- China ana ugomvi mkubwa na marekani kwenye battle ya space, kila contract marekani wanaofanya wanawatenga china kwenye
kusign, hata international space station ilivoanza kazi china walitengewa na wakasema watatengeneza ya kwao isiwe tabu,
baada ya hapo sasa china wakasema isiwe tabu, russia ndo watengenezaji wa rocket dunia hii hakuna nchi wanatengeneza rocket efficient kama russia, china wamepatner nao, leo marekani wamebaki wanarusha rocket kupitia kampuni inaitwa spacex inamilikiwa na mwamba mmoja anaitwa ELON MUSK, ni msouth africa aaliehamia marekani
- Mpaka lei russia na china ni wamoja katika rockets, sasa rockets ndo missles dogo, ndo imekuja ilo neno INTER CONTINENTAL BALISTIC MISSLES, saaahv pakistan wankaa kwa raha bana we unadhan marekani ndo dunia yao saaahv, marekani walipigwa mpaka na vietnam, have you ever heard of september 11? unajua nan ndo yuko nyuma ya hili shambulio, unajua kwann marekani hawajajibu mashabulizi, kama hujui kaaa kimya! ila kaa ukijua marekani can do nothing on us unless support yetu ihame