Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaha safi saana kumbe china inaweza kutumia makombora yake ya bara hadi bara kuingamiza USA kisa Tanzaniakuna mbuzi juzi nlimwambia kabisa, hata wafanye nn marekani haiwezi kuifanya chochote tanzania! Tanzania ni mstari mmoja na pakistan, sisi hatuwasupport israel, sasa pakistan ni msururu mmoja na china + russia! hawa wanasubiri marekani ifanye kosa lolote kuna kitu kinaitwa INTER CONTINENTAL BALISTIC MISSLES, china na russia, missles zao zpo set for new york, kwahio ni kitendo cha kubonyeza tu switch marekani nzima ibaki majivu, kwahio waliokua wanategemea sjui marekani , belgium habari ziwafikie
China ni moja ya beberu hatari zaidi mifano hai iko hapo Zambia.Toa mfano wa rasrimali anazoiba
Sio Zambia tu hata hapa TanzaniaChina ni moja ya beberu hatari zaidi mifano hai iko hapo Zambia.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Hawana akili si ndo wameleta na korona ndunian mbwa hawa ivi wachina wanajielewaSerikali ya China imeitaka USA kutoingilia maswala ya ndani ya nchi nyingne ikiwemo uchaguzi wa Tanzania kwa kuwa serikali ya Tanzania inaweza kusimamia vema uchaguzi
==
CHINA YAIAMBIA MAREKANI ISIINGILIE MAMBO YA NDANI YA TANZANIA
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa #China, Zhao Lijian ameiambia #Marekani isiingilie mambo ya ndani ya Tanzania
China inaamini #Tanzania itafanya Uchaguzi Mkuu kwa mafanikio ikiamini serikali ina uwezo wa kusimamia Uchaguzi huo
Kauli hiyo imekuja baada ya Marekani kusema haitasita kuchukua hatua kwa watakaoonekana kuwa chanzo cha kuvuruga uchaguzi wa Haki na Demokrasia
Chanzo: Azam Tv
My take:
China watupotezee sisi tumeamua kufanya mabadiliko kama wanapenda rais wa ujenzi waje wamchukue akawajengee flyover
Hahahahaha safi saana kumbe china iweza kutumia makombora yake ya bara hadi bara kuingamiza USA kisa Tanzania
ama kweli Tz tunapendwa kwerikweri
Wanabeba sana pia rasilimali za Tanzania hasa meno ya TemboAksante. Wengi hawalifahamu hili. Chama cha kikomunisiti cha China ni rafiki mkubwa wa CCM. Kwa hiyo wanamtetea rafiki asitupwe nje.
Hujui kuwa China ndiyo soko kubwa la pembe za ndovu, magogo, madini, gesi na nyingine nyingi? Pia makampuni yao yanaongoza kwa kuwadhulumu haki zao wafanyakazi wa kitanzania?Una ushahidi?
China wananufaika na Tanzania washenzi tu hao kenge tunataka mabadiliko tumeamua 28/10Serikali ya China imeitaka USA kutoingilia maswala ya ndani ya nchi nyingne ikiwemo uchaguzi wa Tanzania kwa kuwa serikali ya Tanzania inaweza kusimamia vema uchaguzi
==
CHINA YAIAMBIA MAREKANI ISIINGILIE MAMBO YA NDANI YA TANZANIA
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa #China, Zhao Lijian ameiambia #Marekani isiingilie mambo ya ndani ya Tanzania
China inaamini #Tanzania itafanya Uchaguzi Mkuu kwa mafanikio ikiamini serikali ina uwezo wa kusimamia Uchaguzi huo
Kauli hiyo imekuja baada ya Marekani kusema haitasita kuchukua hatua kwa watakaoonekana kuwa chanzo cha kuvuruga uchaguzi wa Haki na Demokrasia
Chanzo: Azam Tv
My take:
China watupotezee sisi tumeamua kufanya mabadiliko kama wanapenda rais wa ujenzi waje wamchukue akawajengee flyover
Lkn wao ndio uingia gharama kubwa Sana za kuhudumia wakimbizi.Marekani wafanye yao watuachie nchi yetu. Hatukupandisha bendera 9 Dec ili tuendelee kupangiwa nini tufanye na nini tusifanye na mabeberu.
Ficha ujinga basi,nimesoma electrical engineering lakini najua fika kuwa prince=archduke, na huyo wa Serbia alikuwa ni archduke Ferdinandunaongea nn wewe, ww1 ilikua na prince mmoja tu anaitwa Archduke . dunia nzima ikapigana na waafrika tukaitwa kuongeza nguvu wewe unashangaa saaahv china na russia wanasubiri USA wafanye kosa dogo tu waachie missles,
- china na russia wanaitafuta marekani kwa mda mrefu sana, back then nchi ndogo tu cuba ilisababisha russia wapeleke submarines cuba, we jamaa unadhan war inahitaji basi watu wengi, watu wachache tu
- tunisia kuna mtu mmoja tu alifanyiwa fujo na mgambo, nchi nzima ikareact
Hahahahaha Ccm vilaza sana ndugu. Waonee huruma tuHahahahaha safi saana kumbe china iweza kutumia makombora yake ya bara hadi bara kuingamiza USA kisa Tanzania
ama kweli Tz tunapendwa kwerikweri
Wote China na USA hawajui tuu kwamba Tanzania ya sasa hatupangiwi?Serikali ya China imeitaka USA kutoingilia maswala ya ndani ya nchi nyingne ikiwemo uchaguzi wa Tanzania kwa kuwa serikali ya Tanzania inaweza kusimamia vema uchaguzi
==
CHINA YAIAMBIA MAREKANI ISIINGILIE MAMBO YA NDANI YA TANZANIA
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa #China, Zhao Lijian ameiambia #Marekani isiingilie mambo ya ndani ya Tanzania
China inaamini #Tanzania itafanya Uchaguzi Mkuu kwa mafanikio ikiamini serikali ina uwezo wa kusimamia Uchaguzi huo
Kauli hiyo imekuja baada ya Marekani kusema haitasita kuchukua hatua kwa watakaoonekana kuwa chanzo cha kuvuruga uchaguzi wa Haki na Demokrasia
Chanzo: Azam Tv
My take:
China watupotezee sisi tumeamua kufanya mabadiliko kama wanapenda rais wa ujenzi waje wamchukue akawajengee flyover
Narudia tena. Una ushahidi?Hujui kuwa China ndiyo soko kubwa la pembe za ndovu, magogo, madini, gesi na nyingine nyingi? Pia makampuni yao yanaongoza kwa kuwadhulumu haki zao wafanyakazi wa kitanzania?
VICHINA TOKA LINI VIKATUNDISHA DEMOKRASIA?Serikali ya China imeitaka USA kutoingilia maswala ya ndani ya nchi nyingne ikiwemo uchaguzi wa Tanzania kwa kuwa serikali ya Tanzania inaweza kusimamia vema uchaguzi