Huu ni ushabiki tu kama wa mpira
yaani China ina nguvu kuliko America??
Haya mabomu ya kuivuruga dunia nchi kibao wanayo lakini kuna vikwazo vya kuyatumia na pia wanayamiliki ili kuheshimiana tu leo ni ngumu sana nchi kuingia vitani watu wamestaarabika huwa wanaangalia zaidi madhara yatakayo patikana
Watu wamestaarabika Nyerere na Iddy wangekuwepo leo na ugomvi wao ungetokea Sasa hivi hizi nchi zisingeingia vitani
Lakini hizo unazosikia ni siasa tu na hawa watu wanatumia akili na mmoja kati yao anaenda kuwin namaanisha China au America yani kama Magufuli akishinda wachina watalipwa fadhila kwamba wametetea maslahi
Na Lisu vilevile kama America wako upande wake
Sent from my TECNO KC8 using
JamiiForums mobile app