Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
China watawaletea ARV.kuna mbuzi juzi nlimwambia kabisa, hata wafanye nn marekani haiwezi kuifanya chochote tanzania! Tanzania ni mstari mmoja na pakistan, sisi hatuwasupport israel, sasa pakistan ni msururu mmoja na china + russia! hawa wanasubiri marekani ifanye kosa lolote kuna kitu kinaitwa INTER CONTINENTAL BALISTIC MISSLES, china na russia, missles zao zpo set for new york, kwahio ni kitendo cha kubonyeza tu switch marekani nzima ibaki majivu, kwahio waliokua wanategemea sjui marekani , belgium habari ziwafikie
Kandarasi karibu zote za ujenzi kwa sasa wanapewa makampuni ya China.Nimekuwa najiuliza maswali kuhusu CHINA! Je ni kwanini CHINA inawaandama wanaohimiza uchaguzi kuwa huru na wa haki Tanzania?? Marekani wameshaweka wazi kuwa hawana mgombea Tanzania lakini wangependa kuona uchaguzi wetu unakuwa huru na wa haki! Je kuto wito huu tayari ni kuingilia uchaguzi wa nchi nyingine???
Au labda China wanaogopa CCM ikianguka watapoteza ulaji kwenye uwekezaji????
Kwanini wao CHINA hawaimizi uchaguzi kuwa wa haki , ila tu wanayasuta mataifa yanayoimiza suala hili??? Tunajua chama cha china ni marafiki na CCM, Je au ndio kusema CCM inajaribu kuwaziba mdomo mataifa mengine kupitia China???
Nawasihi CHINA wayaache mataifa yanayosimamia AMANI ya dunia yafanye kazi ya kuepusha uvunjifu wa AMANI, Sote tunajua HAKI ndio msingi mkuu wa AMANI! Mahala popote pasipo na haki hata kama pataonekana kuwa na amani, basi amani hiyo ni ya bandia, tunataka AMANI YA KWELI!
Serikali ya China imeitaka USA kutoingilia maswala ya ndani ya nchi nyingne ikiwemo uchaguzi wa Tanzania kwa kuwa serikali ya Tanzania inaweza kusimamia vema uchaguzi
==
CHINA YAIAMBIA MAREKANI ISIINGILIE MAMBO YA NDANI YA TANZANIA
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa #China, Zhao Lijian ameiambia #Marekani isiingilie mambo ya ndani ya Tanzania
China inaamini #Tanzania itafanya Uchaguzi Mkuu kwa mafanikio ikiamini serikali ina uwezo wa kusimamia Uchaguzi huo
Kauli hiyo imekuja baada ya Marekani kusema haitasita kuchukua hatua kwa watakaoonekana kuwa chanzo cha kuvuruga uchaguzi wa Haki na Demokrasia
Chanzo: Azam Tv
My take:
China watupotezee sisi tumeamua kufanya mabadiliko kama wanapenda rais wa ujenzi waje wamchukue akawajengee flyover
Toka Jpm awakatae walipokuja na sera za kutudhoofisha kwa kile kinachoitwa Covid-19, Mabeberu hawalali, Ni wakati ambao Jpm ameshawaonesha kwamba watanzania tunaweza kujitegemea kifikra.Serikali ya China imeitaka USA kutoingilia maswala ya ndani ya nchi nyingne ikiwemo uchaguzi wa Tanzania kwa kuwa serikali ya Tanzania inaweza kusimamia vema uchaguzi
==
CHINA YAIAMBIA MAREKANI ISIINGILIE MAMBO YA NDANI YA TANZANIA
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa #China, Zhao Lijian ameiambia #Marekani isiingilie mambo ya ndani ya Tanzania
China inaamini #Tanzania itafanya Uchaguzi Mkuu kwa mafanikio ikiamini serikali ina uwezo wa kusimamia Uchaguzi huo
Kauli hiyo imekuja baada ya Marekani kusema haitasita kuchukua hatua kwa watakaoonekana kuwa chanzo cha kuvuruga uchaguzi wa Haki na Demokrasia
Chanzo: Azam Tv
My take:
China watupotezee sisi tumeamua kufanya mabadiliko kama wanapenda rais wa ujenzi waje wamchukue akawajengee flyover
Kwani wanajipendekeza ?Wote China na USA hawajui tuu kwamba Tanzania ya sasa hatupangiwi?
Wamuulize John Pombe Magufuli awaambie😁😁😁😁😁
Hawana aibu. Nikikumbuka walivyotaka kutuuzia barakoa hata baada ya vipimio vyao kuonyesha corona hadi kwenye mapapai na mbuziChina ni Jamhuri ya Washenzi tu. Watu wao kutwa wanaua tembo wetu na kuchoma mahindi kariakoo waende huko vimacho kuvimba. Pumbavu zao
Huu ni ushabiki tu kama wa mpiraView attachment 1607262
kuna mtu nlimwambia jana hili swala, and limetoka,
Uchaguzi 2020 - Dkt. Magufuli: Jina Langu Lipo Namba Moja, Usihangaike Kuangalia Kwingine
link hii apa, your still a kid dogo kwenye izi taarifa
Umesema utopolo kama hujui historia vizur kaa kimyawanazo tena nyingi tu, ila russia na china ni kitu kimoja! marekani hana modern weapons kama russia na china walivo nazo, marekani cant fight even china alone, infact hata vita ya uchumi tayar washaloose kwa china, kwa sababu kila mtu akirudi nchini kwake marekani inabaki hopeless, hata google ilitengenezwa na mrussia na ndo spy mkubwa hii dunia haijawahi tokea wakishairikiana na FBI, sasa utawafanya nn, there is nothing you can do, ndo uzuri wa ubabe kwa ubabe
Ngoma drooWanamuingiza king Magufuli ili akiwekewa vikwazo na marekani waweze kutukandamiza vizuri Kama walivyofanya kwa Zimbabwe.
Mbona ajawasaidia Iran kwa vikwazo au mbona hakuwasaidia Zimbabwe?
China ni matapeli tu Tanzania akitaka kujinasua na minyororo ya marekani dawa ni kuacha kupewa misaada yote ya Marekani,Un ,EU, IMF, WB.
Umelisahau Bomu lao la korona? Vita ni akili sio maguvuHuu ni ushabiki tu kama wa mpira
yaani China ina nguvu kuliko America??
Haya mabomu ya kuivuruga dunia nchi kibao wanayo lakini kuna vikwazo vya kuyatumia na pia wanayamiliki ili kuheshimiana tu leo ni ngumu sana nchi kuingia vitani watu wamestaarabika huwa wanaangalia zaidi madhara yatakayo patikana
Watu wamestaarabika Nyerere na Iddy wangekuwepo leo na ugomvi wao ungetokea Sasa hivi hizi nchi zisingeingia vitani
Lakini hizo unazosikia ni siasa tu na hawa watu wanatumia akili na mmoja kati yao anaenda kuwin namaanisha China au America yani kama Magufuli akishinda wachina watalipwa fadhila kwamba wametetea maslahi
Na Lisu vilevile kama America wako upande wake
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Lengo kuu ni kuepusha uvunjifu wa amani,bila hivyo si yatajirudia ya serikali za mitaa, watawala wanaona vitu viwili kunyimwa misaada na kupelekwa the Hague.Bila hivyo wangekuwa wakitushughulikia haswaa,we si unaona mtoto wa dada amesema watamdunga sindano badala ya risasi. Maana sisi bado hatuna uwezo wa kujisimamia wenyeweHuu ndio uchaguzi wenye press conference nyingi toka Beijing hadi sun Fransisco kote press conference juu ya JMT election.