Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Nipe mfano kama Tanzania tumetrade na nani kwa kutumia gold??and he is right, gold ndo standard inaotumika saaahv duniani, nchi maskini tu ndo zmebaki kutrade na usd wengine wote wanatumia gold, no one trusts the us government
Mpumbavu kweli wewe jamaa "FEDERAL RESERVE" ni taasisi ya kiserikali yenye majukum sawa na ya "Bank of Tanzania" BOTinamilikiwa na shirika binafsi linaitwa THE FEDERAL RESERVE, serikali ya marekani haina mamlaka yoyote kufuatilia hili shirika, so inafuata sheria jinsi shirika litawaambia
Subiri oktoba 28!Uchaguzi wa wazi huku Wakurugenzi mamluki wakitorokea mlango wa nyuma kukwepa kuapisha mawakala wa Chadema ! mmekwisha nyie wanafiki wakubwa !
Mwambie China afufue kiwanda cha Urafiki kilichomshinda. Marekani hamuweziThey should die like flies for what they've done to the African continent.
Huyu jamaa hakuna anachojua zaidi ya pumbaππππ we jamaa acha kutulisha matango pori. Unajua maana ya federal reserve wewe????
Hivi Ccm mnaona humu tupo majinga mliyoyajaza hapo Lumumba eeh????
Why should the Chinese do that? Its your own responsibility to revive your own industries.Mwambie China afufue kiwanda cha Urafiki kilichomshinda. Marekani hamuwezi
Ndo mnavyojitia moyo huko Lumumba??? Sasa mwaka huu ndo mtajua kuwa hamjui. Suburini muone[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nakuona unakomaa!
Mkuu Lisu hawezi kuwa rais popote duniani hadi anaingia kaburini.
Uchaguzi huu utakuwa wa uwazi kabisa maana Lisu hana kitisho chichote mbele ya chama tawala zaidi ya kuwa kibaraka wa Amsterdam.
Huu uchaguzi Lisu atapigwa kihalali kabisa na kupata 20% yake.
Najua hata leo ungesikia Marekani imepaki manowari zake pale feri, ila ndio hivyo zinabaki kuwa ndoto tu.
Kama unafikri USA inamsaada sana kwa chadema kuingia ikulu, kamuulize Besige wa Uganda kaishia kula virungu na mpaka leo hata ugavana anaishia kuusikia redioni pamoja na vitisho vya USA kwa Museven.
Why should the Chinese do that? Its your own responsibility to revive your own industries.
Hapana china watuachie uchaguzi wakimokrasia wao wameshindwa watuache sisiMarekani wafanye yao watuachie nchi yetu. Hatukupandisha bendera 9 Dec ili tuendelee kupangiwa nini tufanye na nini tusifanye na mabeberu.
TangaJane Lowassa upo upande gani mdogo angu?
Hivi unajua hata maana ya aircraft carrier????ππππ
Au nimeongea msamiati mgumu sana kwako??? Kweli Ccm ni nyumbani kwa vilazaπππ
we jamaa ebu tupe education background yako, maaana najua mbowe hakumaliza shule. lema hakumaliza shule, labda wewe uliweza ebu tumabie umesoma mpaka wap maana unatia aibu
Mpumbavu kweli wewe jamaa "FEDERAL RESERVE" ni taasisi ya kiserikali yenye majukum sawa na ya "Bank of Tanzania" BOT
Jibu swali uliloulizwa??? Unajua maana ya Aircraft carrier??? ππππ
Elimu yangu haikuhusu sana, vipi unataka kujua Kwa nini Nina madini sana au??πππ
vp barick ulikua unaiaminiSijawahi kuiamini China.
We jamaa ni kilaza sana. Hiki ulicholeta ni nini??πππView attachment 1607728
- cha kuongezea, get more educatio utakuja kuaibika mbelen bure! hizi mambo za kurukia maswala hamjui mtakuja kuaibika bure