Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahaaa kumbe Erick Kabendera ni mwizi wa mali ya umma??? Tito Magoti nae ni mwizi wa mali ya umma?? Viongozi wa Chadema ndio waliomuua Akwilina??? Mdude Nyangali nae ni mwizi wa mali ya umma?? Msanii Idriss nae ni mwizi wa mali ya umma???Na bado, mtasema uongo na hilo suala la watu kubambikiwa kesi hadi basi! Msimamo ni kuwa kama wewe ni mwizi wa mali ya umma au mla rushwa - itakula kwako tu! Hata kama unawatetezi wa namna gani ukila vya umma tu kesi, sasa kama mtasema kabambikiwa au nini, yote yatajulikana mbele ya Pilato.
ama hakika.maana wao kuona amstedem hawakujua waswahil wanasema "ukiujua huu wenzio wanaujua huu" haya sasa suoer power China nae kasema yake.tuone mechi
Usitufanye mazuzu basi,kwa data za BOT anaongoza Kenya then SA then China but reality Ni chinese wamejaa kila kona nchi hii wachina wapo hadi kwenye small gold mines,wapo kwenye medium oil milling.
Wachina wanauza hadi vizuri vya magari .
Wachina ndio wanatupiga kwenye startime
Hawezi thubutu maana USA atamfanya kitu mbaya sana.Asante rafiki wetu wa kweli china, lete kabisa na submarine ipaki kigamboni, hawa usa wana kambi yao hapo kenya.
Pembe za ndovu.Toa mfano wa rasrimali anazoiba
ila wakitweet amstedyeem ni sawa hawaingilii.?Sasa kwa kufanya hivyo China hawaoni kuwa tayari wameshaingilia uchaguzi wetu ..............!!
Kwa kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa Chato???Baba, sisi tunataka kuwasha mwenge na kuuweka juu ya mlima kilimanjaro, umulike hata nje ya mipaka yetu, ulete tumaini mahala pasipo na tumaini, faraja palipo na huzuni, tumaini pasipo na tumaini, upendo penye chuki na heshima palipo na dharau"
Marekani ameingiliwa na China mpaka Ikulu...Kama hujui China kwa Sasa ndiye kidume wa dunia kiuchumi ...in five to ten years from China atakuwa kidume kuizidi Marekani kijeshi huku Russia kijeshi ikiwa ndiyo kinaraKwanza China ndiye beberu mkubwa wa Tanzania, ameingia kila sekta na kuchukua rasilimali za nchi hii bila huruma!
Marekani vipi siyo danga la China?Tanzania ni danga la china , nimecheka sana
Hahahah eti azam. Weka hata link mkuu basi. Maana mnapenda kujitekenya wenyewe.Serikali ya China imeitaka USA kutoingilia maswala ya ndani ya nchi nyingne ikiwemo uchaguzi wa Tanzania kwa kuwa serikali ya Tanzania inaweza kusimamia vema uchaguzi
==
CHINA YAIAMBIA MAREKANI ISIINGILIE MAMBO YA NDANI YA TANZANIA
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa #China, Zhao Lijian ameiambia #Marekani isiingilie mambo ya ndani ya Tanzania
China inaamini #Tanzania itafanya Uchaguzi Mkuu kwa mafanikio ikiamini serikali ina uwezo wa kusimamia Uchaguzi huo
Kauli hiyo imekuja baada ya Marekani kusema haitasita kuchukua hatua kwa watakaoonekana kuwa chanzo cha kuvuruga uchaguzi wa Haki na Demokrasia
Chanzo: Azam Tv
My take:
China watupotezee sisi tumeamua kufanya mabadiliko kama wanapenda rais wa ujenzi waje wamchukue akawajengee flyover
Masikini sijui umeandika ujinga gani ,nimejibu kuwa sio kweli China anaongoza kwa uwekezaji Tanzania sasa wewe umekunya mavi mabichi kabisa.Si vizuri ukaweka wazi ujinga wako hadharani. Hujui kuwa Wachina wanachimba madini,gesi, wanakata magogo, wananunua nyara za serikali kama pembe za ndovu, wanabeba mizigo Kariakoo, wanauza bidhaa feki, wapo katika sekta ya ujenzi, wanauza dawa nk.
yaani hao ndo washenzi mbwa.Wachina ni washenzi tu.
Wakae kimya tu hata wakitandika watu risasi na kiwatocha, watulie tu? Ahaa wapi! Waingilie tu niko radhi kuona vikwazo, hapa tu naona kama vipo!Serikali ya China imeitaka USA kutoingilia maswala ya ndani ya nchi nyingne ikiwemo uchaguzi wa Tanzania kwa kuwa serikali ya Tanzania inaweza kusimamia vema uchaguzi
==
CHINA YAIAMBIA MAREKANI ISIINGILIE MAMBO YA NDANI YA TANZANIA
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa #China, Zhao Lijian ameiambia #Marekani isiingilie mambo ya ndani ya Tanzania
China inaamini #Tanzania itafanya Uchaguzi Mkuu kwa mafanikio ikiamini serikali ina uwezo wa kusimamia Uchaguzi huo
Kauli hiyo imekuja baada ya Marekani kusema haitasita kuchukua hatua kwa watakaoonekana kuwa chanzo cha kuvuruga uchaguzi wa Haki na Demokrasia
Chanzo: Azam Tv
My take:
China watupotezee sisi tumeamua kufanya mabadiliko kama wanapenda rais wa ujenzi waje wamchukue akawajengee flyover
Kwangu, it doesn't matter. Ninschotaka kuona ni haki inatendeka. Kama kuna uhuni unaendekea halafu watu hawataki kuwambiwa kwa kuwa tunaingiliwa hapo sikubaliani nao.ila wakitweet amstedyeem ni sawa hawaingilii.?