Uchaguzi 2020 China yaionya USA juu ya uchaguzi wa Tanzania 2020

Uchaguzi 2020 China yaionya USA juu ya uchaguzi wa Tanzania 2020

Na bado, mtasema uongo na hilo suala la watu kubambikiwa kesi hadi basi! Msimamo ni kuwa kama wewe ni mwizi wa mali ya umma au mla rushwa - itakula kwako tu! Hata kama unawatetezi wa namna gani ukila vya umma tu kesi, sasa kama mtasema kabambikiwa au nini, yote yatajulikana mbele ya Pilato.
Ahaaa kumbe Erick Kabendera ni mwizi wa mali ya umma??? Tito Magoti nae ni mwizi wa mali ya umma?? Viongozi wa Chadema ndio waliomuua Akwilina??? Mdude Nyangali nae ni mwizi wa mali ya umma?? Msanii Idriss nae ni mwizi wa mali ya umma???
 
Kwa iyo Lumumba mnawaza kabisa kuwa China atamtisha mmarekani???😂😂😂😂

Kweli Lumumba hamnazo 😂😂😂
ama hakika.maana wao kuona amstedem hawakujua waswahil wanasema "ukiujua huu wenzio wanaujua huu" haya sasa suoer power China nae kasema yake.tuone mechi
 
Mbaya zaidi ndo wanaomaliza Tembo wetu kwenye mbuga zetu
Usitufanye mazuzu basi,kwa data za BOT anaongoza Kenya then SA then China but reality Ni chinese wamejaa kila kona nchi hii wachina wapo hadi kwenye small gold mines,wapo kwenye medium oil milling.
Wachina wanauza hadi vizuri vya magari .
Wachina ndio wanatupiga kwenye startime
 
Baba, sisi tunataka kuwasha mwenge na kuuweka juu ya mlima kilimanjaro, umulike hata nje ya mipaka yetu, ulete tumaini mahala pasipo na tumaini, faraja palipo na huzuni, tumaini pasipo na tumaini, upendo penye chuki na heshima palipo na dharau"
 
Kwa kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa Chato???
 
Kwanza China ndiye beberu mkubwa wa Tanzania, ameingia kila sekta na kuchukua rasilimali za nchi hii bila huruma!
Marekani ameingiliwa na China mpaka Ikulu...Kama hujui China kwa Sasa ndiye kidume wa dunia kiuchumi ...in five to ten years from China atakuwa kidume kuizidi Marekani kijeshi huku Russia kijeshi ikiwa ndiyo kinara
 
Serikali ya China imeitaka USA kutoingilia maswala ya ndani ya nchi nyingne ikiwemo uchaguzi wa Tanzania kwa kuwa serikali ya Tanzania inaweza kusimamia vema uchaguzi

==
CHINA YAIAMBIA MAREKANI ISIINGILIE MAMBO YA NDANI YA TANZANIA

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa #China, Zhao Lijian ameiambia #Marekani isiingilie mambo ya ndani ya Tanzania

China inaamini #Tanzania itafanya Uchaguzi Mkuu kwa mafanikio ikiamini serikali ina uwezo wa kusimamia Uchaguzi huo

Kauli hiyo imekuja baada ya Marekani kusema haitasita kuchukua hatua kwa watakaoonekana kuwa chanzo cha kuvuruga uchaguzi wa Haki na Demokrasia

Chanzo: Azam Tv

My take:
China watupotezee sisi tumeamua kufanya mabadiliko kama wanapenda rais wa ujenzi waje wamchukue akawajengee flyover
Hahahah eti azam. Weka hata link mkuu basi. Maana mnapenda kujitekenya wenyewe.
 
Si vizuri ukaweka wazi ujinga wako hadharani. Hujui kuwa Wachina wanachimba madini,gesi, wanakata magogo, wananunua nyara za serikali kama pembe za ndovu, wanabeba mizigo Kariakoo, wanauza bidhaa feki, wapo katika sekta ya ujenzi, wanauza dawa nk.
Masikini sijui umeandika ujinga gani ,nimejibu kuwa sio kweli China anaongoza kwa uwekezaji Tanzania sasa wewe umekunya mavi mabichi kabisa.
 
Wachina tunawajua, wanahonga watawala ili waendelee kuwa na influence, na hili wameendelea kulifanya kwa nchi nyingi za kiafrika.
 
Serikali ya China imeitaka USA kutoingilia maswala ya ndani ya nchi nyingne ikiwemo uchaguzi wa Tanzania kwa kuwa serikali ya Tanzania inaweza kusimamia vema uchaguzi

==
CHINA YAIAMBIA MAREKANI ISIINGILIE MAMBO YA NDANI YA TANZANIA

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa #China, Zhao Lijian ameiambia #Marekani isiingilie mambo ya ndani ya Tanzania

China inaamini #Tanzania itafanya Uchaguzi Mkuu kwa mafanikio ikiamini serikali ina uwezo wa kusimamia Uchaguzi huo

Kauli hiyo imekuja baada ya Marekani kusema haitasita kuchukua hatua kwa watakaoonekana kuwa chanzo cha kuvuruga uchaguzi wa Haki na Demokrasia

Chanzo: Azam Tv

My take:
China watupotezee sisi tumeamua kufanya mabadiliko kama wanapenda rais wa ujenzi waje wamchukue akawajengee flyover
Wakae kimya tu hata wakitandika watu risasi na kiwatocha, watulie tu? Ahaa wapi! Waingilie tu niko radhi kuona vikwazo, hapa tu naona kama vipo!
 
.wachina wana maslahi na ccm....ndio maana wanaogopa wamarekani...wachina wanataka kuendelea kupiga miradi ya 10% na ccm....pia waendelee kutupa bidhaa zao feki tz..
 
Back
Top Bottom