Uchaguzi 2020 China yaionya USA juu ya uchaguzi wa Tanzania 2020

Uchaguzi 2020 China yaionya USA juu ya uchaguzi wa Tanzania 2020

kuna mbuzi juzi nlimwambia kabisa, hata wafanye nn marekani haiwezi kuifanya chochote tanzania! Tanzania ni mstari mmoja na pakistan, sisi hatuwasupport israel, sasa pakistan ni msururu mmoja na china + russia! hawa wanasubiri marekani ifanye kosa lolote kuna kitu kinaitwa INTER CONTINENTAL BALISTIC MISSLES, china na russia, missles zao zpo set for new york, kwahio ni kitendo cha kubonyeza tu switch marekani nzima ibaki majivu, kwahio waliokua wanategemea sjui marekani , belgium habari ziwafikie
Wezi wa CCM kwa kujifariji mjambo. Safari hii salama yenu ni kujificha huko huko Lumumba na masanduku ya kura zenu fake, mkiyaleta kwenye vituo vya kupigia kura tu ndio mtajua hamjui.
 
Serikali ya China imeitaka USA kutoingilia maswala ya ndani ya nchi nyingne ikiwemo uchaguzi wa Tanzania kwa kuwa serikali ya Tanzania inaweza kusimamia vema uchaguzi

==
CHINA YAIAMBIA MAREKANI ISIINGILIE MAMBO YA NDANI YA TANZANIA

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa #China, Zhao Lijian ameiambia #Marekani isiingilie mambo ya ndani ya Tanzania

China inaamini #Tanzania itafanya Uchaguzi Mkuu kwa mafanikio ikiamini serikali ina uwezo wa kusimamia Uchaguzi huo

Kauli hiyo imekuja baada ya Marekani kusema haitasita kuchukua hatua kwa watakaoonekana kuwa chanzo cha kuvuruga uchaguzi wa Haki na Demokrasia


Chanzo: Azam Tv


My take:
China watupotezee sisi tumeamua kufanya mabadiliko kama wanapenda rais wa ujenzi waje wamchukue akawajengee flyover
Hawa wachina watukome kama wavyokoma kwenye .......... shida tunayopata sisi hawaijuwi waendelee kuuza vitu vinavyoharibika kama nyanya kwenye matenga kwao kwanza hakuna democrasia waache nchi zenyedemocrasia watushauri kwanza hawana uwezo wa kumzuia trump
 
Wabongo wengi hawajui kuwa wababe wote hao wawili hawapigani mikwara kwa maslahi ya Tanzania bali yao na watu wao. Hivyo mnaokomaa kushupaza misuli ya shingo kuchagua upande mngejitathmini vizuri.
 
Wezi wa CCM kwa kujifariji mjambo. Safari hii salama yenu ni kujificha huko huko Lumumba na masanduku ya kura zenu fake, mkiyaleta kwenye vituo vya kupigia kura tu ndio mtajua hamjui.

punguza jazba, chukua pepsi baridi apo kunywa uku unaangalia magufuli akiwa kilimanjaro ntakuja kulipa
 
Hilo kombora limewasumbua hao China kiasi gani kabla ya kufika huko America?

Wenye akili wanatengeneza silaha na wanapiga wanapopaona
Sasa China kampiga nani na hiyo silaha yake


Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Mkuu, aaaah!! Sasa nini maana ya techniques za kivita mkuu!!😂

Kuna wakati siraha Kwa sababu ndio Kwanza unaenda kuitumia, itabidi uijaribishie hata Kwa mifugo yako uone kama inakidhi matarajio mkuu, ndicho alichokifanya China kabla kombora Hilo halijatumwa Marekani 😂😂
 
Marekani ameingiliwa na China mpaka Ikulu...Kama hujui China kwa Sasa ndiye kidume wa dunia kiuchumi ...in five to ten years from China atakuwa kidume kuizidi Marekani kijeshi huku Russia kijeshi ikiwa ndiyo kinara
Wee mburula nani anakukuna saa hizi? Tunaongelea onyo la China kwa Marekani kuingilia uchaguzi wa Tanzania na siyo nguvu za uchumi na kijeshi za Marekani, Urusi na China!
 
Wanamuingiza king Magufuli ili akiwekewa vikwazo na marekani waweze kutukandamiza vizuri Kama walivyofanya kwa Zimbabwe.

Mbona ajawasaidia Iran kwa vikwazo au mbona hakuwasaidia Zimbabwe?

China ni matapeli tu Tanzania akitaka kujinasua na minyororo ya marekani dawa ni kuacha kupewa misaada yote ya Marekani,Un ,EU, IMF, WB.
Hapo umenena. Tukipokea masada tu, tayari tumeumia. Tukomae sisi wenyewe tutafika tu.
 
Masikini sijui umeandika ujinga gani ,nimejibu kuwa sio kweli China anaongoza kwa uwekezaji Tanzania sasa wewe umekunya mavi mabichi kabisa.
Wee mburula nani kasema China inaongoza kwa uwekezaji Tanzania? Nimeongelea jinsi China inavyokwapua rasilimali za Tanzania! Jaribu kuwa muelewa.
 
hahaha, ebu wacha nkupe brush up kwanza maaaana uko blank
View attachment 1607258


niendelee ama niishie apa, sasa fanya research apa utajua kwann kuna balistic missles
China wakipewa majukumu ya USA mwaka mmoja tu huwenda wakapotea kwenye ramani ya uchumi kabisa (hapa naongelea misaada tu hawa jamaa wanayotoa kwa mwaka)
Hilo deni kwa USA sio kitu na sio kwamba wameshindwa kuishi bila deni lakini ni hesabu za kiuchumi tu
Nikama tu wanaonunua ndege kwa kulipa kidogokidogo sio kwamba hawana pesa ya kununua cash ni mipango tu ya kibiashara
Ndiyo maana Rais Mtanzania alivyonunua ndege cash wamemshangaa

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Marekani ameingiliwa na China mpaka Ikulu...Kama hujui China kwa Sasa ndiye kidume wa dunia kiuchumi ...in five to ten years from China atakuwa kidume kuizidi Marekani kijeshi huku Russia kijeshi ikiwa ndiyo kinara
Ndoto na fake details ,ndio zinafanya muwe hiviu?
 
Back
Top Bottom