China yakemea vikali ziara ya Nancy Pelosi Taiwan

Mbona unaongea pumba

Lini Russia waliwahi kusema kwamba Ukraine ni sehemu ya nchi yake , !? Yaani ulitaka Russia wamzuie Nancy kwenda ktk nchi nyingine Ambayo inajulikana duniani kuwa ni Taifa huru

Hauoni kuwa case ya china na Taiwan na hiyo ya Russia na Ukraine ni vitu viwili tofauti !?

Wanacho lalamika china ni kwamba Wana itambua Taiwan kuwa ni sehemu ya china , so ikitokea Nancy akaenda Taiwan kukutana na viongozi wa Taiwan Kwa viongozi wa china wanaona ni sawa na kuchochea Treason,

Yaani inawezekana vipi Kiongozi mkubwa wa taifa as prime minister atoke nje ya nchi kisha aje kukutana na Mkuu wa mkoa wa kigoma badala ya kukutana na raisi, !? Wewe unaona Ina make sense!?
You're absolutely right.
 
Nilipoiona na kusoma hii habari BBC nikishtuka kidogo but kwa scenario iliyopo kuna kuna vita baridi ya mataifa yalipo kwenye G7 ambayo yana agenda kuibamiza Amerika isiwe na nguvu duniani (wivu)

Mshtuko wangu ni kwamba, sisi huku Afrika tutapata cheche za kivita ambazo viongozi wa kisiasa watazitumia kutuumiza sisi wananchi as seen kwenye vita ya Ukraine na Urusi!.
 
[emoji837][emoji837][emoji91][emoji434]Breaking news [emoji434] [emoji91][emoji837][emoji837]

Hatimaye ratiba ya Bibie Pelosi Bara la Asia yawekwa wazi.

Katika ziaara yake anatarajia kuanzia

1).Singapore, halafu
2).Japan,
3).Malaysia, na kumalizia
4).South Korea.

Hakuna sehemu yoyote katika "press release" hiyo kutoka ofisi yake iliyotaja atazuru Taiwan [emoji23].

Hili ni pigo kubwa kwa Taipei na Taiwan yote kwa ujumla.

Zaidi ya yote, hii ni FEDHEA KUBWA SANA kwa Marekani (Taifa linalojulikana kwa ubabe duniani) kwa kufyata mkia na kunywea kufuatia tamko la China.[emoji23][emoji23][emoji23]

Maelezo zaidi, bofya[emoji117]Pelosi to Lead Congressional Delegation to Indo-Pacific Region
 
Millitary war is not good option for them but economic war that is what they need.
Mchina amestaarabika na ameelimika, amejua ule ubabe wa manguvu hauna nafasi ktk dunia ya sasa. Ingekuwa china ndo russia, wala asingeingia vitani, angetafuta namna yoyote kusolve ile kesi kwa amani. Kwa sasa jamaa wamefocus ktk uchumi wao tu basi, na wale hawana makandokando kama Russia ilojaa ufisadi. Mimi ningekuwa na nafasi ya kutawala Tz, ningeiga mifumo ya china, Uhujumu uchumi, ufisadi n.k kusiwe na adhabu yoyote zaidi ya kifungo cha miaka 30 au kifo. Ndani ya miaka michache tu, nchi ingeanza kubadilika na mlala hoi ataanza kula mema ya nchi yake.
 
Usijidanganye mkuu sio kwa China inayoongozwa na Xi Jinping,hapo cheche lazima zitawaka...
China angekuwa anapenda ugomvi na hatazami uchumi wake, angeanza itetea Russia kwa sehemu kubwa, zile akili za kirussia, kikorea kaskazin za utemi utemi wa kipuuzi mwenzio China ameshatoka huko, ameshajua utemi ni ktk pesa na maendeleo ya watu tu, baaaasi.
 
Walichozungumza Putin na Xi Jin Ping kuhusu mwelekeo na hatima ya siasa & uchumi wa dunia, wanajua wenyewe. Something huge is about to happen. Seriously!
CHINA HAWEZI KUENGAGE KTK ENEO AMBALO ANAJUA ATAANGUSHA UCHUMI WAKE. HILO TUSAHAU KABISA. JAMAA WAPO SERIOUS KWENYE KUJENGA UCHUMI WA TAIFA LAO.
 
[emoji837][emoji837][emoji91][emoji434]Breaking news [emoji434] [emoji91][emoji837][emoji837]

Hatimaye ratiba ya Bibie Pelosi Bara la Asia yawekwa wazi.

Katika ziaara yake anatarajia kuanzia

1).Singapore, halafu
2).Japan,
3).Malaysia, na kumalizia
4).South Korea.

Hakuna sehemu yoyote katika "press release" hiyo kutoka ofisi yake iliyotaja atazuru Taiwan [emoji23].

Hili ni pigo kubwa kwa Taipei na Taiwan yote kwa ujumla.

Zaidi ya yote, hii ni FEDHEA KUBWA SANA kwa Marekani (Taifa linalojulikana kwa ubabe duniani) kwa kufyata mkia na kunywea kufuatia tamko la China.[emoji23][emoji23][emoji23]

Maelezo zaidi, bofya[emoji117]Pelosi to Lead Congressional Delegation to Indo-Pacific Region
Mbona wameondoa 5) Taiwan?
 
CHINA HAWEZI KUENGAGE KTK ENEO AMBALO ANAJUA ATAANGUSHA UCHUMI WAKE. HILO TUSAHAU KABISA. JAMAA WAPO SERIOUS KWENYE KUJENGA UCHUMI WA TAIFA LAO.
China angekuwa anapenda ugomvi na hatazami uchumi wake, angeanza itetea Russia kwa sehemu kubwa, zile akili za kirussia, kikorea kaskazin za utemi utemi wa kipuuzi mwenzio China ameshatoka huko, ameshajua utemi ni ktk pesa na maendeleo ya watu tu, baaaasi.
Mchina amestaarabika na ameelimika, amejua ule ubabe wa manguvu hauna nafasi ktk dunia ya sasa. Ingekuwa china ndo russia, wala asingeingia vitani, angetafuta namna yoyote kusolve ile kesi kwa amani. Kwa sasa jamaa wamefocus ktk uchumi wao tu basi, na wale hawana makandokando kama Russia ilojaa ufisadi. Mimi ningekuwa na nafasi ya kutawala Tz, ningeiga mifumo ya china, Uhujumu uchumi, ufisadi n.k kusiwe na adhabu yoyote zaidi ya kifungo cha miaka 30 au kifo. Ndani ya miaka michache tu, nchi ingeanza kubadilika na mlala hoi ataanza kula mema ya nchi yake.
Zile silaha za China zilizokuwa zinaruhusiwa 60,000 kila dakika 2 jana sijawahi kuziona mahali popote duniani.
 
Nilipoiona na kusoma hii habari BBC nikishtuka kidogo but kwa scenario iliyopo kuna kuna vita baridi ya mataifa yalipo kwenye G7 ambayo yana agenda kuibamiza Amerika isiwe na nguvu duniani (wivu)

Mshtuko wangu ni kwamba, sisi huku Afrika tutapata cheche za kivita ambazo viongozi wa kisiasa watazitumia kutuumiza sisi wananchi as seen kwenye vita ya Ukraine na Urusi!.
Ngoja wachome vya zamani ili vipya viibuke.
 
Zile silaha za China zilizokuwa zinaruhusiwa 60,000 kila dakika 2 jana sijawahi kuziona mahali popote duniani.
Nadhani China endapo akaingia hii vita, huenda akajutia uamuzi wake huko mbeleni, sidhani kama china ataingia ktk Vita na Taiwan, sidhani.

Russia alikuwa na msafara wa 65km na ukapukutika kama majivu. Silaha za westerns kwenye kujilinda ni very effectively, wakati China anajiandaa hivyo, ndivyo US na washirika wake nao wanajiandaa vivyo hivyo kumlinda Taiwan.
 
Back
Top Bottom