China yakemea vikali ziara ya Nancy Pelosi Taiwan

China yakemea vikali ziara ya Nancy Pelosi Taiwan

[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2312476
Screenshot_20220802-234531.jpg
 
Wajuzi wa Buza wanakuja kutoa intelligence report on international affairs huku wameshindwa kutatua changamoto ya njaa mtaani kwao. Smh
 
[emoji682][emoji91][emoji91][emoji91]Chinese Ministry of Defense: Our army will not sit idly by in the event of a visit by US House Speaker Pelosi to Taiwan, will take decisive measures to prevent external interference[emoji91][emoji91][emoji91]
Wajaribu waone ndo watajua kukopi kopi kila kitu unayemkopi teknolojia yake anakuchora tu anajua kila unachowaza
 
Hakuna taifa lisilo na madhambi yake.
Nakumbuka 1989 alivyowasagasaga kwa vifatu raia wake mwenyewe walioshiriki maandamano ya wanafunzi ya kudai demokrasia zaidi.Tangu wakati ule Mchina sina hamu nae.
 
Nancy Pelosi trip to Taiwan will end up into another proxy war between US and China, but this time the battlefield will be Taiwan.

Mark this post.
 
Kumekucha. Mambo yanazidi kunoga.

Msemaji wa Waziri wa mambo ya nje wa China Bwana Wang Wenbin ameionya Marekani kuwa endapo Nancy Pelosi (US house speaker) atafanya ziara ya kuitembelea Taiwan, August mwaka huu, basi taifa hilo linaloaminika kuwa ndio lenye nguvu ya kiuchumi kwa sasa duniani litaijibu US kwa namna ambayo siyo tu inayoweza kupelekea kuvunjika kwa uhusiano wao wa kidiplomasia, bali pia inaweza hata kuwa ya kijeshi.

Msemaji huyo alisema adhma ya Pelosi kutaka kufanya ziara yakeTaiwan ni cha kichokozi, kwani ni sawa na kuingilia uhuru na mambo ya ndani ya Uchina.

"We are seriously prepared," Msemaji huyo alinukuliwa akisema.

..."and United States should be held responsible for any serious consequences", Mr. Wang aliongezea.

Ifahamike Serikali ya kikomunisti ya China inatambua Taiwan kuwa kama ni sehemu ya ardhi yake, wakati Taiwan yenyewe inataka kujitenga kutoka katika taifa hilo.

Mwezi April mwaka huu Pelosi alihairisha ziara hiyo kutokana na kuugua maradhi ya uviko-19.
Mambo mengine ya ajabu Sana, Sasa utaratibu gani huu wa kumpangia mtu mwingine rafiki wa kuwa naye?
 
Nancy Pelosi trip to Taiwan will end up into another proxy war between US and China, but this time the battlefield will be Taiwan.

Mark this post.
Aisee poleni kwa kuaibishwa,
 
Back
Top Bottom