othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
Wachina ni wa Vietnam waliochangamka[emoji38][emoji38]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umewahi kufuatilia au kujua kinachoendelea kutokana na hii kitu?.Hapa naona umeangalia kimakosa naona kama vile America kawazidi kete woote manake yeye kwake peace iko, anawachechea wao wanapigana na majiran, yeye anatoa intel na kuuza silaha chungu nzima hapo sijaelewa nan ananufaika, ona russia na ukraine, sasa china na taiwan, jamaa yuko miles away anauza silaha tuu
dah,mkuu inaelekea unakomenti huku unakunywa,yaani russia amesema kwamba hataki kiongozi yeyote aende ukraine?mbona kateka maeneo kibabe na hakuna wa kumtoa?Pelosi ameenda Ukraine na mrusi super power wa mchongo hakua na la kufanya pamoja na ndaro zake zote, na hao China wataishia kulaani tu lakini hawataweza kualisha ata fataki. China ipo chini ya Marekani ile technologia waliyokuwa wanapewa na Marekani miaka nenda miaka rudi hawakujua madhara yake sasa wanaunya unya
Nakumbuka 1989 alivyowasagasaga kwa vifatu raia wake mwenyewe walioshiriki maandamano ya wanafunzi ya kudai demokrasia zaidi.Tangu wakati ule Mchina sina hamu nae.Word![emoji457]
Ila hapo kuanzia ulipoanza kusema "ingekuwa.." natofautina nawe kimawazo mkuu.
Subiri uone kipigo kizito atakachopewa mtu yoyote yule atakayediriki kuisadia Taiwan "directly "au, atakajiingiza kwenye mzozo huo; naamini Russia tutamuona ni mtakatifu that Day.
YametimiaChina niLidude likubwa lenye manguvu lakini lioga la kutupwa.
Mkuu vip upo ?muwe mnaweka akiba ya manenoMchina amestaarabika na ameelimika, amejua ule ubabe wa manguvu hauna nafasi ktk dunia ya sasa. Ingekuwa china ndo russia, wala asingeingia vitani, angetafuta namna yoyote kusolve ile kesi kwa amani. Kwa sasa jamaa wamefocus ktk uchumi wao tu basi, na wale hawana makandokando kama Russia ilojaa ufisadi. Mimi ningekuwa na nafasi ya kutawala Tz, ningeiga mifumo ya china, Uhujumu uchumi, ufisadi n.k kusiwe na adhabu yoyote zaidi ya kifungo cha miaka 30 au kifo. Ndani ya miaka michache tu, nchi ingeanza kubadilika na mlala hoi ataanza kula mema ya nchi yake.
Unaujua mzozo wa India na China?Umewahi kufuatilia au kujua kinachoendelea kutokana na hii kitu?.
View attachment 2311492
Ametua bibi yangu hukoUnaujua mzozo wa India na China?
Na hakuna kitu China wamefanya...Ametua bibi yangu huko
Enhe na leo?Tulia dawa ikuingie vizuri, taifa la marekani ni gaidi, limefanya ugaidi nchi nyingi mlikua mkifurahi sana
Nyenyenyeeee....mvaa kobazi wa mtambani leo una lipi la kutujuza?[emoji837][emoji837][emoji91][emoji434]Breaking news [emoji434] [emoji91][emoji837][emoji837]
Hatimaye ratiba ya Bibie Pelosi Bara la Asia yawekwa wazi.
Katika ziaara yake anatarajia kuanzia
1).Singapore, halafu
2).Japan,
3).Malaysia, na kumalizia
4).South Korea.
Hakuna sehemu yoyote katika "press release" hiyo kutoka ofisi yake iliyotaja atazuru Taiwan [emoji23].
Hili ni pigo kubwa kwa Taipei na Taiwan yote kwa ujumla.
Zaidi ya yote, hii ni FEDHEA KUBWA SANA kwa Marekani (Taifa linalojulikana kwa ubabe duniani) kwa kufyata mkia na kunywea kufuatia tamko la China.[emoji23][emoji23][emoji23]
Maelezo zaidi, bofya[emoji117]Pelosi to Lead Congressional Delegation to Indo-Pacific Region
AshatuaKm vp dege lililombeba bibie litue Taipei kwa ajili ya kujaza wese tu au wachina watamaind[emoji41][emoji41][emoji41]
bibi yangu ametua na hawatufanyi chochote marekan hakun wakumsumbua watu wamejaa ushabiki wa chuki tuAshatua
Wakikaa na kobazi zao pale manyema utasema wana akili wanavyomjadili Mchaina.bibi yangu ametua na hawatufanyi chochote marekan hakun wakumsumbua watu wamejaa ushabiki wa chuki tu
Kumekucha. Mambo yanazidi kunoga.
Msemaji wa Waziri wa mambo ya nje wa China Bwana Wang Wenbin ameionya Marekani kuwa endapo Nancy Pelosi (US house speaker) atafanya ziara ya kuitembelea Taiwan, August mwaka huu, basi taifa hilo linaloaminika kuwa ndio lenye nguvu ya kiuchumi kwa sasa duniani litaijibu US kwa namna ambayo siyo tu inayoweza kupelekea kuvunjika kwa uhusiano wao wa kidiplomasia, bali pia inaweza hata kuwa ya kijeshi.
Msemaji huyo alisema adhma ya Pelosi kutaka kufanya ziara yakeTaiwan ni cha kichokozi, kwani ni sawa na kuingilia uhuru na mambo ya ndani ya Uchina.
"We are seriously prepared," Msemaji huyo alinukuliwa akisema.
..."and United States should be held responsible for any serious consequences", Mr. Wang aliongezea.
Ifahamike Serikali ya kikomunisti ya China inatambua Taiwan kuwa kama ni sehemu ya ardhi yake, wakati Taiwan yenyewe inataka kujitenga kutoka katika taifa hilo.
Mwezi April mwaka huu Pelosi alihairisha ziara hiyo kutokana na kuugua maradhi ya uviko-19.
Usijidanganye mkuu sio kwa China inayoongozwa na Xi Jinping,hapo cheche lazima zitawaka...
Mnatowaga wapi ujasiri wa kuwatetea wanaume wenzenu kama vile waume zenu?Usijidanganye mkuu sio kwa China inayoongozwa na Xi Jinping,hapo cheche lazima zitawaka...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]China=mandonga