China yakemea vikali ziara ya Nancy Pelosi Taiwan

Si mlisema haendi na akienda atakuwa anachezea moto? 😆😆😆😆.

Xi chaliiii
 
Karibuni sana kutazama kazi nzuri sana toka FILAMU PICTURES, iitwayo PETE, ipo huko YOUTUBE episode ya kwanza hadi ya nne

Karibuni muilike, muisubscribe na mtoe komenti zenu juu ya kazi hiyo

Asanteni sana

 
Km vp dege lililombeba bibie litue Taipei kwa ajili ya kujaza wese tu au wachina watamaind[emoji41][emoji41][emoji41]
 

Zitaje hizo silaha[emoji23][emoji23]
 

Hapa naona umeangalia kimakosa naona kama vile America kawazidi kete woote manake yeye kwake peace iko, anawachechea wao wanapigana na majiran, yeye anatoa intel na kuuza silaha chungu nzima hapo sijaelewa nan ananufaika, ona russia na ukraine, sasa china na taiwan, jamaa yuko miles away anauza silaha tuu
 
Karibuni sana kutazama kazi nzuri sana toka FILAMU PICTURES, iitwayo PETE, ipo huko YOUTUBE episode ya kwanza hadi ya nne

Karibuni muilike, muisubscribe na mtoe komenti zenu juu ya kazi hiyo

Asanteni sana

Hii njia unayo tumia kutafuta viewers sio nzuri na itaua chaneli yako. Hapa utaishia kupata low retention rate na mwisho youtube hawata promote video yako.

Nakushauri wekeza nguvu kwenye SEO na good thumbnail na uhakikishe video zako zina quality na ujumbe wa maana ukifanya hivyo youtube itakutafutia viewers yenyewe.

All in all, kutafuta viewers sio kazi yako ni kazi ya youtube na google. Na kama uko serious na hiyo chaneli yako unapaswa UBADILIKE.
 
Kama role Model wako ni Nyerere hii nchi c ungeizika Kwa umaskini kabisa
 
CHINA HAWEZI KUENGAGE KTK ENEO AMBALO ANAJUA ATAANGUSHA UCHUMI WAKE. HILO TUSAHAU KABISA. JAMAA WAPO SERIOUS KWENYE KUJENGA UCHUMI WA TAIFA LAO.
Mlisema ivyoivyo Kwa Rusia kuwa hawezi ipiga Ukrein ataaribu uchumi wake mnaisi uchumi na usalama WA nchi cha muhimu kipi
 
Tarehe 2 mwezi wa 8 ndio kesho,ni siku ya Uchina kuonesha kuwa wana pu mbu kama wanaume wengine au ndio siku ambayo nitaanza kuidharau Uchina mazima.
Wamepiga sana mikwara na kusema huyo Bibi kizee hatotua nchini Taiwan hata kwa kisingizio cha kujaza mafuta au ndege yake kuzuga uhitilafu.
Nalog off Z
 
Maajabu kivipi Sasa [emoji38]

Ume karilishwa cinema za kina Rambo si-eti !?

USA lini Ameshawahi kupigana na taifa Ambalo Lina nguvu ya kiuchumi, kijeshi , kisiasa , kiushawishi kama china !?
kupigana ni sifa kwan ?
 
Mlisema ivyoivyo Kwa Rusia kuwa hawezi ipiga Ukrein ataaribu uchumi wake mnaisi uchumi na usalama WA nchi cha muhimu kipi

China’s ready to ‘bury invading enemies’​

The country’s military has issued a new threat amid ongoing tension around Taiwan

FILE PHOTO. © AFP / WANG ZHAO
China’s Eastern Theater Command has issued a strong warning to the country’s “enemies” amid ongoing tension over the potential visit of US House Speaker Nancy Pelosi to Taiwan.
The Command released a video on Monday, as China marks the anniversary of its People’s Liberation Army (PLA). The video, featuring footage of various drills and military units, urges the solders to “stand by in battle formation, be ready to fight upon command, bury all invading enemies.”
The threat was further amplified by Yi Cao, a hawkish ‘wolf warrior’ Chinese diplomat, who posted the message from the Command on Twitter. The diplomat also reiterated the warning made last week by Beijing over Pelosi's rumored visit. “FM warns US again not to send Speaker Pelosi to Taiwan: Playing with fire will sure set yourself on fire!” the diplomat tweeted.


The hawkish rhetoric comes amid Pelosi's rumored impending visit to Taiwan, which has not been officially confirmed yet. According to the latest reports by local media outlets, the speaker may arrive to the island on Tuesday and hotel reservations for her and her crew have been already made.
Taiwan has been self-governed since 1949, after China’s nationalist government fled to the island following its defeat in the civil war. Beijing considers the island an integral part of the country’s territory.
While agreeing with Beijing’s 'One China' policy on paper, Washington maintains strong unofficial ties with Taiwan, engaging in close military cooperation with the island nation. Beijing launched a large-scale exercise near Taiwan as Pelosi departed for Hawaii last weekend, ultimately heading for several destinations across Asia.
The public list of destinations for her tour did not include the island. Some Chinese media outlets have suggested Pelosi could ultimately use “emergency excuses” to pull off touching down on the island without making her visit official.
****
Nadhani China Wana maanisha!
 
Word![emoji457]
Mchina amestaarabika....... Ingekuwa china ndo russia, wala asingeingia vitani, angetafuta namna yoyote kusolve ile kesi kwa amani....

Ila hapo kuanzia ulipoanza kusema "ingekuwa.." natofautina nawe kimawazo mkuu.

Subiri uone kipigo kizito atakachopewa mtu yoyote yule atakayediriki kuisadia Taiwan "directly "au, atakajiingiza kwenye mzozo huo; naamini Russia tutamuona ni mtakatifu that Day.
 
Hapo kunguru mwoga(Pelosi) keshapiga mbawa, hawezi kanyaga Taipei,[emoji23][emoji23] hata iweje.
 
..mana hiyo military exercises with 'no fly zone' ni mpango mkakati kuzuia house speaker asitie mguu wake Taiwan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…