China yakemea vikali ziara ya Nancy Pelosi Taiwan

Umewahi kufuatilia au kujua kinachoendelea kutokana na hii kitu?.
 
dah,mkuu inaelekea unakomenti huku unakunywa,yaani russia amesema kwamba hataki kiongozi yeyote aende ukraine?mbona kateka maeneo kibabe na hakuna wa kumtoa?
 
Nakumbuka 1989 alivyowasagasaga kwa vifatu raia wake mwenyewe walioshiriki maandamano ya wanafunzi ya kudai demokrasia zaidi.Tangu wakati ule Mchina sina hamu nae.
 
Mkuu vip upo ?muwe mnaweka akiba ya maneno
 
Nyenyenyeeee....mvaa kobazi wa mtambani leo una lipi la kutujuza?
 

Good evening., dada ametua huyo Taiwan mchana kweupe
 
China inakosea mana msemaji kasema wanaitambua Taiwan kama sehemu ya ardhi yao "kama"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…