Hata hizi gar tunazoagiza kutoka japan hasa toyota na kampuni zingine, zingekuwa ndo used kutoka china, sidhani kama kuna gari ingekaa miaka mitatu bila kuiweka juu ya mawe. Afrika ndipo soko la mchina lilipo.Mchina hawezi vuka boda thus zambia to Zimbabwe to south Africa Msweden ndo anatamba
Sio kufungiwa leseni tuu na kwenda jela na fine kubwa sana Kiasi kwamba njia pekee ni kukimbia nchiMadereva wa bongo ni wapumbavu sana bado wana ujinga na utoto. Kwa mfano hao wa Ally's, Katarama na New Force ni kama wendawazimu. Nchi za wenzetu wangekuwa wameshafungiwa leseni na kampuni kupigwa fine kubwa
Yeah mfano higer lipo sana UlayaSoko ni globally. Mbona wanauza hadi Ulaya tena huko wanauza hasa electric buses
True, wachina hawafungi ndoa na magari kwao ni fashion baada ya mwaka linasagwa unanunua jingine thus kwao magari ni cheapHata hizi gar tunazoagiza kutoka japan hasa toyota na kampuni zingine, zingekuwa ndo used kutoka china, sidhani kama kuna gari ingekaa miaka mitatu bila kuiweka juu ya mawe. Afrika ndipo soko la mchina lilipo.
Note: Marcopolo ni kampuni ya kutengeneza body za basi siyo aina ya basi. Ni kama ilivyo kwa Iriza. Kuna Iriza za kila aina eg Scania, DAF etc hivyo hivyo kwa kwa Marcopolo. Hivyo basi, si ajabu sana siku zijazo ukakuta Yutong zenye mabodi ya Marcopolo au Iriza.Na kwenye upande wa trucks naona sasa hivi HOWO E7 new model inanunuliwa sana. Wanapoelekea wanaipiga gap FAW.
Ila pale Mchina wa SINOTRUK alituliza akili chuma imetulia sana ndio maana kampuni nyingi zinainunua HOWO E7 kwa kasi sana
Hizi Yutong za umeme ziko sana Ulaya sasa hivi. Zimeteka sana hizi njia za mjini ila ruti ndefu hazipo sana. Nyingi zimenunuliwa sasa hivi na naona kama zinachoka mapema? Pengine ni macho yangu yanaona vibaya? Kwa mfano kuna jiji kwenye nchi moja ya Ulaya nilipitia mwaka huu wamezinunua kwa wingi kuanzia 2020 na kuzifanya town bus ila kwa muda huu mfupi naona kama zimeshachoka.Soko ni globally. Mbona wanauza hadi Ulaya tena huko wanauza hasa electric buses
Tatizo hawa vijana wanaleta mahaba kwenye factsMkuu achana na mzungu, product zao ni jiwe haswa. Hii hata madereva wenyewe wanalijua, abiria anafurahi tu yale mazingira ya mule ndani lakini nje ya hapo kwa anayejua gar, Bus za ulaya ni mziki mnene.
Hilo Ndiyo Jibu LaoUnaweza kuambiwa sirikali haifanyi biashara ina subiri kodi
Tunaidharaurisha JFNimeshangaa sana kuona mtu anamuweka mchina mbele ya msweedeni[emoji1787][emoji1787]
Hawezi mkuuDar express akitaka kurudi kuwa mwamba wa kaskazini Hana budi Mchina, Kama ni scania awe anaingiza latest je ataweza? leta kina Marcopolo latest.
Nafahamu kuhusu hiloNote: Marcopolo ni kampuni ya kutengeneza body za basi siyo aina ya basi. Ni kama ilivyo kwa Iriza. Kuna Iriza za kila aina eg Scania, DAF etc hivyo hivyo kwa kwa Marcopolo. Hivyo basi, si ajabu sana siku zijazo ukakuta Yutong zenye mabodi ya Marcopolo au Iriza.
Sokoni Mchina kampiga gap MswedenTunaidharaurisha JF
Allys dar-mwanza kila siku anapeleka gari kama 8 au 9 hivi ila bado katarama anamsumbua kichwa
Ally's ana akili ya biasharaAllys dar-mwanza kila siku anapeleka gari kama 8 au 9 hivi ila bado katarama anamsumbua kichwa
Watasafiri na watafika kwani hapa waliposafiri ni padogo.Haha japo hapo bado wana kasafari kidogo
Na ni mazuri na bora pia.Sio amvavaamvava.Yutong wameuza sana mabasi hapa Tanzania kwa brands za China wanaongoza wamekuwa kama maji usipoyanywa utayaoga
Gari kama unamunua pepo.Kibiashara hailipi, hio moja unapata youtong tano na mkopo wa mbili za ziada
Kuna wakati watz tunatanguliza wivu na kutokukubali.Sijui tunapata faida gani.safi mkuuSI KWELI
C919 iko approved mkuu na airworthness standard
Wachina raia wamechokaUmechanganyikiwaa kaka yani unaifananisha tik tok na instaggram au bdo upo usingizini alafu chhini siyo yule wa miaka ya 2000 shida wengi uku mnafikiria viwandaa vingi vipo China sababu ya cheap labour mbona ivyo viwanda havjaja kwenu au sehemu nyingine duniani vimejazana China labda nikwambie tu ili viwanda viweze kuwekwaa kwenye nchi yako na wawekezaji ukiachana na Sera nzuri za uwekezaji na mazingira salama lazima wananchi wa apo lazima wawe na uwezo wa kununua izo bidhaa, China wananchi wake wanauwezo wa kununua luxury goods zotezote zinazouzwaa duniani purchasing power yao inazidi kukuwa kila siku