China yaongoza duniani katika utengenezaji na uuzaji wa mabasi ya abiria

China yaongoza duniani katika utengenezaji na uuzaji wa mabasi ya abiria

Madereva wa bongo ni wapumbavu sana bado wana ujinga na utoto. Kwa mfano hao wa Ally's, Katarama na New Force ni kama wendawazimu. Nchi za wenzetu wangekuwa wameshafungiwa leseni na kampuni kupigwa fine kubwa
Sio kufungiwa leseni tuu na kwenda jela na fine kubwa sana Kiasi kwamba njia pekee ni kukimbia nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata hizi gar tunazoagiza kutoka japan hasa toyota na kampuni zingine, zingekuwa ndo used kutoka china, sidhani kama kuna gari ingekaa miaka mitatu bila kuiweka juu ya mawe. Afrika ndipo soko la mchina lilipo.
True, wachina hawafungi ndoa na magari kwao ni fashion baada ya mwaka linasagwa unanunua jingine thus kwao magari ni cheap
 
Na kwenye upande wa trucks naona sasa hivi HOWO E7 new model inanunuliwa sana. Wanapoelekea wanaipiga gap FAW.

Ila pale Mchina wa SINOTRUK alituliza akili chuma imetulia sana ndio maana kampuni nyingi zinainunua HOWO E7 kwa kasi sana
Note: Marcopolo ni kampuni ya kutengeneza body za basi siyo aina ya basi. Ni kama ilivyo kwa Iriza. Kuna Iriza za kila aina eg Scania, DAF etc hivyo hivyo kwa kwa Marcopolo. Hivyo basi, si ajabu sana siku zijazo ukakuta Yutong zenye mabodi ya Marcopolo au Iriza.
 
Soko ni globally. Mbona wanauza hadi Ulaya tena huko wanauza hasa electric buses
Hizi Yutong za umeme ziko sana Ulaya sasa hivi. Zimeteka sana hizi njia za mjini ila ruti ndefu hazipo sana. Nyingi zimenunuliwa sasa hivi na naona kama zinachoka mapema? Pengine ni macho yangu yanaona vibaya? Kwa mfano kuna jiji kwenye nchi moja ya Ulaya nilipitia mwaka huu wamezinunua kwa wingi kuanzia 2020 na kuzifanya town bus ila kwa muda huu mfupi naona kama zimeshachoka.
 
Mkuu achana na mzungu, product zao ni jiwe haswa. Hii hata madereva wenyewe wanalijua, abiria anafurahi tu yale mazingira ya mule ndani lakini nje ya hapo kwa anayejua gar, Bus za ulaya ni mziki mnene.
Tatizo hawa vijana wanaleta mahaba kwenye facts

Mtu anakwambia michina inarudisha faida mapema wakati matajiri wa wabus kila siku wanafikisiwa na mabenk

Watu wapigia hesabu za mitandaoni kwamba bus kwa siku inaingiza hiii kwa mwezi ni hiii kwa mwaka ni hiii so ndani ya miaka miwili tayari faida ni hiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Newforce ni wakala wa china anagari zaidi ya 38 na bado kila siku anashindana na sauli sijui idadi ya gari zake hapo unaelewa kabisa mwamba ni nani

Allys dar-mwanza kila siku anapeleka gari kama 8 au 9 hivi ila bado katarama anamsumbua kichwa

Huyo Allys gari zake namba D za juz tu hapo zimechoka kinoma

Magari ya mchina kila siku yanaungua yenywe tu,hayana balance barabarani kidogo tu limepinduka bado mtu anakuja sema msweedeni ni chamtoto kwa mchina[emoji1787]

kwa gari za mchina ile Allys WINCHESTER ni balaa na nusu Tatizo imeanza kutepeta vioo vinapiga kelele sana ila gari moja inayokimbia sana ila kwa g7 bado sana
 
Note: Marcopolo ni kampuni ya kutengeneza body za basi siyo aina ya basi. Ni kama ilivyo kwa Iriza. Kuna Iriza za kila aina eg Scania, DAF etc hivyo hivyo kwa kwa Marcopolo. Hivyo basi, si ajabu sana siku zijazo ukakuta Yutong zenye mabodi ya Marcopolo au Iriza.
Nafahamu kuhusu hilo

Screenshot_20230708-122758_Chrome.jpg
 
Allys dar-mwanza kila siku anapeleka gari kama 8 au 9 hivi ila bado katarama anamsumbua kichwa
Ally's ana akili ya biashara

Dar to Mwanza ni kipande kirefu lazima chuma inahitaji service ndio maana unaona Ally's ana chuma za kutosha

Dar-Mza ni kipande chuma inazimwa kwa masaa (5-6) kwa siku, Katarama kila siku ziko barabarani naamini service inayopigwa ni kishkaji tu

Kwanini chuma isiteme bungo😂👋🏿, tupa geuka si nzuri kwa afya ya gari yoyote ile iwe Msedwen au Mchina. Ndio maana umeona jana Katarama imetaga Dom na ina miezi 8 tu tangu iingie road

Akajifunze kwa Sauli wa Mbeya ana Polo za kutosha ili chuma zipate service.

Nyie wanazi msifieni ujinga huyo Muhaya muda si mrefu anatepeta atamuacha Ally's anaendeleza ufalme wake kanda ya ziwa
 
Umechanganyikiwaa kaka yani unaifananisha tik tok na instaggram au bdo upo usingizini alafu chhini siyo yule wa miaka ya 2000 shida wengi uku mnafikiria viwandaa vingi vipo China sababu ya cheap labour mbona ivyo viwanda havjaja kwenu au sehemu nyingine duniani vimejazana China labda nikwambie tu ili viwanda viweze kuwekwaa kwenye nchi yako na wawekezaji ukiachana na Sera nzuri za uwekezaji na mazingira salama lazima wananchi wa apo lazima wawe na uwezo wa kununua izo bidhaa, China wananchi wake wanauwezo wa kununua luxury goods zotezote zinazouzwaa duniani purchasing power yao inazidi kukuwa kila siku
Wachina raia wamechoka
 
Back
Top Bottom