Umechanganyikiwaa kaka yani unaifananisha tik tok na instaggram au bdo upo usingizini alafu chhini siyo yule wa miaka ya 2000 shida wengi uku mnafikiria viwandaa vingi vipo China sababu ya cheap labour mbona ivyo viwanda havjaja kwenu au sehemu nyingine duniani vimejazana China labda nikwambie tu ili viwanda viweze kuwekwaa kwenye nchi yako na wawekezaji ukiachana na Sera nzuri za uwekezaji na mazingira salama lazima wananchi wa apo lazima wawe na uwezo wa kununua izo bidhaa, China wananchi wake wanauwezo wa kununua luxury goods zotezote zinazouzwaa duniani purchasing power yao inazidi kukuwa kila siku