China yaongoza duniani katika utengenezaji na uuzaji wa mabasi ya abiria

Polo ni balaa kubwa ila ndio hivyo mchina anachange dizaini kila leo

Wabongo wengi ni washamba hawajui vitu quality

Ruti ya mwanza-dar nilikua napenda kupanda ally's juzi hapa nimepanda katarama aiseee msweedeni ni umeme
Wabongo wanataka wapande wasafiri tu wafike salama.Kwani wananunua mabasi mkuu.?
 
Ukoloni umetuingia mpaka kuna kipindi tunaona wivu na chuki kwa yeyote ampitae mzungu.Wavumilie mkuu.
 
Duniani kila mtu amekopy,
 
Hata hizi gar tunazoagiza kutoka japan hasa toyota na kampuni zingine, zingekuwa ndo used kutoka china, sidhani kama kuna gari ingekaa miaka mitatu bila kuiweka juu ya mawe. Afrika ndipo soko la mchina lilipo.
Kwenye kombe la dunia la 2022 FIFA iliingia mkataba na chuma za Higer na Yutong ndio zilitumika kubeba mashabiki na wachezaji

Higer chuma 1815
Yutong chuma 1002


Messi na wenzake wakipiga parade na Higer double-decker Qatar baada ya kushinda kombe la dunia

Endeleeni kusema hivyohivyo soko la bidhaa za China ni Afrika tu
 
Unajua kampuni la allys linawamiliki wangapi au nikuache kama ulivyo[emoji1787][emoji1787]
 
Tatizo lako unaleta ushabiki.. unashangaa gari kuharibika seriously[emoji1787] hio gari itapona itarudi barabarani kama kawa siku ukiiona buti zimeanza kupishana kama allys ile vvip nishitue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…