China yaongoza duniani katika utengenezaji na uuzaji wa mabasi ya abiria

China yaongoza duniani katika utengenezaji na uuzaji wa mabasi ya abiria

Polo ni balaa kubwa ila ndio hivyo mchina anachange dizaini kila leo

Wabongo wengi ni washamba hawajui vitu quality

Ruti ya mwanza-dar nilikua napenda kupanda ally's juzi hapa nimepanda katarama aiseee msweedeni ni umeme
Wabongo wanataka wapande wasafiri tu wafike salama.Kwani wananunua mabasi mkuu.?
 
Nikuulize kitu

Mjapan ametawala kwa miaka mingi kwenye soko la magari. Je, teknolojia aliipata wapi?

Samsung anakimbiza kwenye simu za mkononi je, Mkorea Kusini aliipata wapi hiyo teknolojia?

Kwa nini ikiwa China watu wengi ndio huwa mnaanza kusema amecopy?

Huwa nashindwa kuelewa
Ukoloni umetuingia mpaka kuna kipindi tunaona wivu na chuki kwa yeyote ampitae mzungu.Wavumilie mkuu.
 
Tunasema mchina ana copy sana kwa sababu zifuatazo:

Naweza kutoa mifano mingi tu. Nenda kariakoo uone copycats kibao za wachina.

Duniani kila mtu amekopy,
 
Hata hizi gar tunazoagiza kutoka japan hasa toyota na kampuni zingine, zingekuwa ndo used kutoka china, sidhani kama kuna gari ingekaa miaka mitatu bila kuiweka juu ya mawe. Afrika ndipo soko la mchina lilipo.
Kwenye kombe la dunia la 2022 FIFA iliingia mkataba na chuma za Higer na Yutong ndio zilitumika kubeba mashabiki na wachezaji

Higer chuma 1815
Yutong chuma 1002

Messi na wenzake wakipiga parade na Higer double-decker Qatar baada ya kushinda kombe la dunia

Endeleeni kusema hivyohivyo soko la bidhaa za China ni Afrika tu
 
Ally's ana akili ya biashara

Dar to Mwanza ni kipande kirefu lazima chuma inahitaji service ndio maana unaona Ally's ana chuma za kutosha

Dar-Mza ni kipande chuma inazimwa kwa masaa (5-6) kwa siku, Katarama kila siku ziko barabarani naamini service inayopigwa ni kishkaji tu

Kwanini chuma isiteme bungo[emoji23][emoji1537], tupa geuka si nzuri kwa afya ya gari yoyote ile iwe Msedwen au Mchina. Ndio maana umeona jana Katarama imetaga Dom na ina miezi 8 tu tangu iingie road

Akajifunze kwa Sauli wa Mbeya ana Polo za kutosha ili chuma zipate service.

Nyie wanazi msifieni ujinga huyo Muhaya muda si mrefu anatepeta atamuacha Ally's anaendeleza ufalme wake kanda ya ziwa
Unajua kampuni la allys linawamiliki wangapi au nikuache kama ulivyo[emoji1787][emoji1787]
 
Ally's ana akili ya biashara

Dar to Mwanza ni kipande kirefu lazima chuma inahitaji service ndio maana unaona Ally's ana chuma za kutosha

Dar-Mza ni kipande chuma inazimwa kwa masaa (5-6) kwa siku, Katarama kila siku ziko barabarani naamini service inayopigwa ni kishkaji tu

Kwanini chuma isiteme bungo[emoji23][emoji1537], tupa geuka si nzuri kwa afya ya gari yoyote ile iwe Msedwen au Mchina. Ndio maana umeona jana Katarama imetaga Dom na ina miezi 8 tu tangu iingie road

Akajifunze kwa Sauli wa Mbeya ana Polo za kutosha ili chuma zipate service.

Nyie wanazi msifieni ujinga huyo Muhaya muda si mrefu anatepeta atamuacha Ally's anaendeleza ufalme wake kanda ya ziwa
Tatizo lako unaleta ushabiki.. unashangaa gari kuharibika seriously[emoji1787] hio gari itapona itarudi barabarani kama kawa siku ukiiona buti zimeanza kupishana kama allys ile vvip nishitue
 
Back
Top Bottom