China yaongoza duniani katika utengenezaji na uuzaji wa mabasi ya abiria

China yaongoza duniani katika utengenezaji na uuzaji wa mabasi ya abiria

View attachment 2679366Hii chuma (sijui ndiyo DIAMLER) nimeikubali sana.

Nimepata picha ndiyo imekuja bongo uwe na safari mfano ya Arusha halafu dereva asiwe kama hawa wa New Force na Happy Nation wanaondesha roho mkononi na kudondosha mabasi hovyo uta-enjoy sana.
Hii chuma haswaaa mzeee
 
View attachment 2679366Hii chuma (sijui ndiyo DIAMLER) nimeikubali sana.

Nimepata picha ndiyo imekuja bongo uwe na safari mfano ya Arusha halafu dereva asiwe kama hawa wa New Force na Happy Nation wanaondesha roho mkononi na kudondosha mabasi hovyo uta-enjoy sana.
Kibiashara hailipi, hio moja unapata youtong tano na mkopo wa mbili za ziada
 
Kwa biashara za mabus chukua mchina analipa haraka
Kwa hilo hakuna mfanyabishara atakayekupinga

Ona wakongwe akina Abood na Shabiby walivyoswitch

Abood kutoka Scania Marcopolo kuhamia Yutong na Shabiby kutoka Volvo na Scania kuhamia Yutong

Hao jamaa wazoefu wanajua sana. Abood yuko kwenye game la mabasi tangu 1986 na Shabiby early 1990's
 
China is something else, imebaki sasa kutawala soko la ndege just a matter of time, C919 itakuja kuzishusha boeing na airbus
hapa nakupinga kaka , boeing na airbus kuja kupata mpinzani mkali kutoka china kuna safari ndefu kidogo. Labda hiyo kampuni ifanye competition na akina ambraer, gulfstream,dasault ,bomberdier n.K japo napo kuna kakipengele
 
kampuni Hii iko njema sana. Wao ndio wanaoongoza kutoa chuma zinazotumika na high profile figures duniani kama marais. Mfano mzuri ni hapa kwetu ndege ya rais ya gulfstream 550 yenye usajili wa 5H-ONE
sure, gulfstream zinatumika na watu wenye high profile... matajiri haswaa na matajiri .. zina tech nzuri sana hizo na huwa naona kama focus yao kwenye private (luxury) lwa ajiri ya daraka flani la watu
 
china mpaka aje kutengeneza vyuma kama airbus 350 au airbus 380 za mfaransa ni safari ndefu kidogo , bado hajagusa vyuma vinavyofyatuliwa pale everett boeing factory . kumbuka hiyo c19 ni kama copy ya airbus220 ambazo ni za safari za masafa mafupi na kati . na kingine hiyo ndege ya mchina bado haijawa na approved certificate of airworthness bado ipo kwenye test
 
Ok nikupe mfano mmoja. Hao yutong ni kiwanda kilianzishwa mwaka 1963 lakini wamepata global recognition miaka ya 2000 so its possible kwa jicho la tatu naona C919 wamekuwa na mwanzo mzuri huenda wasichukue muda mrefu kwenye hilo
Miaka 30 ijayo COMAC watakuwa wauzaji wakubwa wa ndege.
Sidhani kama haitachukua muda mrefu.
C919 40% ya parts zimetoka western.
 
Kibiashara hailipi, hio moja unapata youtong tano na mkopo wa mbili za ziada
Ulichosema hapa kina ukweli,nilikuwa na debate na jamaa mmoja kuhusu Dar Express na Scania zake kuu kuu kuwekwa bench na kunyang'anywa ufalme wa Kaskazini na akina Esther na Tilisho wanaomiliki michina yeye akawa anang'ang'ana Dar Express ananunua bus moja mill 800 akitaka kununua mchina anapata ngapi?

Nikamwambia issue siyo anapata Yutong ngapi the issue is hiyo Scania old model ya mil 800 kibiashara ikikutana na mchina mpya aliyeingia leo mwenye features kibao na zinaingia nne barabarani kwa wakati mmoja nani atapata faida na nani atapanda hizo Scania wakati Scania atamuacha mchina kwenye milima tu tambarare mchina nae anamwaga moto kama laana?
 
Back
Top Bottom