Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
Umesema vyema kwa sasa China imewekeza sana kwenye R&D, hata baadhi ya makampuni ya West wanapendelea kufungua ofisi za R&D nchini China kwa sababu ya uwepo wa mazingira wezeshi ya R&DWachina wamewekeza sana kwenye R&D kwenye sekta zote...
Hii chuma haswaaa mzeeeView attachment 2679366Hii chuma (sijui ndiyo DIAMLER) nimeikubali sana.
Nimepata picha ndiyo imekuja bongo uwe na safari mfano ya Arusha halafu dereva asiwe kama hawa wa New Force na Happy Nation wanaondesha roho mkononi na kudondosha mabasi hovyo uta-enjoy sana.
Kibiashara hailipi, hio moja unapata youtong tano na mkopo wa mbili za ziadaView attachment 2679366Hii chuma (sijui ndiyo DIAMLER) nimeikubali sana.
Nimepata picha ndiyo imekuja bongo uwe na safari mfano ya Arusha halafu dereva asiwe kama hawa wa New Force na Happy Nation wanaondesha roho mkononi na kudondosha mabasi hovyo uta-enjoy sana.
Kwa hilo hakuna mfanyabishara atakayekupingaKwa biashara za mabus chukua mchina analipa haraka
Soko ni globally. Mbona wanauza hadi Ulaya tena huko wanauza hasa electric busesWeka na soko lao, make asilimia 99 wanaziuaza Africa,
hapa nakupinga kaka , boeing na airbus kuja kupata mpinzani mkali kutoka china kuna safari ndefu kidogo. Labda hiyo kampuni ifanye competition na akina ambraer, gulfstream,dasault ,bomberdier n.K japo napo kuna kakipengeleChina is something else, imebaki sasa kutawala soko la ndege just a matter of time, C919 itakuja kuzishusha boeing na airbus
Gulfstream ni 🔥🔥🔥🔥hapa nakupinga kaka , boeing na airbus kuja kupata mpinzani mkali kutoka china kuna safari ndefu kidogo. Labda hiyo kampuni ifanye competition na akina ambraer, gulfstream,dasault ,bomberdier n.K japo napo kuna kakipengele
kampuni Hii iko njema sana. Wao ndio wanaoongoza kutoa chuma zinazotumika na high profile figures duniani kama marais. Mfano mzuri ni hapa kwetu ndege ya rais ya gulfstream 550 yenye usajili wa 5H-ONEGulfstream ni 🔥🔥🔥🔥
sure, gulfstream zinatumika na watu wenye high profile... matajiri haswaa na matajiri .. zina tech nzuri sana hizo na huwa naona kama focus yao kwenye private (luxury) lwa ajiri ya daraka flani la watukampuni Hii iko njema sana. Wao ndio wanaoongoza kutoa chuma zinazotumika na high profile figures duniani kama marais. Mfano mzuri ni hapa kwetu ndege ya rais ya gulfstream 550 yenye usajili wa 5H-ONE
Baada ya kuwekeza sana kwenye R&D tangu miaka ya 2000 mwanzoni utaona sana msemo wa China's first......Wachina wamewekeza sana kwenye R&D kwenye sekta zote...
SI KWELIkingine hiyo ndege ya mchina bado haijawa na approved certificate of airworthness bado ipo kwenye test
Miaka 30 ijayo COMAC watakuwa wauzaji wakubwa wa ndege.Ok nikupe mfano mmoja. Hao yutong ni kiwanda kilianzishwa mwaka 1963 lakini wamepata global recognition miaka ya 2000 so its possible kwa jicho la tatu naona C919 wamekuwa na mwanzo mzuri huenda wasichukue muda mrefu kwenye hilo
Ulichosema hapa kina ukweli,nilikuwa na debate na jamaa mmoja kuhusu Dar Express na Scania zake kuu kuu kuwekwa bench na kunyang'anywa ufalme wa Kaskazini na akina Esther na Tilisho wanaomiliki michina yeye akawa anang'ang'ana Dar Express ananunua bus moja mill 800 akitaka kununua mchina anapata ngapi?Kibiashara hailipi, hio moja unapata youtong tano na mkopo wa mbili za ziada
SI KWELIkumbuka hiyo c19 ni kama copy ya airbus220
lini chifu? Hebu ngoja nichekiSI KWELI
C919 iko approved mkuu airworthness standard mkuu
Jaribu kucheki mkuulini chifu? Hebu ngoja nicheki