China yaongoza duniani katika utengenezaji na uuzaji wa mabasi ya abiria

China yaongoza duniani katika utengenezaji na uuzaji wa mabasi ya abiria

Sidhani kama mchina ana innovation yake, karibu 90% ya product zake copy from western.
Kama hiyo ndege ya kichna ukilinganisha na airbus 320
Kwa sasa C919 wana order ya ndege 1061 imagine hawajamaliza hata mwaka tangu izinduliwe rasmi
ni matokeo chanya haya ila je wataweza kuhimili hujuma za kibiashara za west kwenye hii industry?
 
Sidhani kama mchina ana innovation yake, karibu 90% ya product zake copy from western.
Nikuulize kitu

Mjapan ametawala kwa miaka mingi kwenye soko la magari. Je, teknolojia aliipata wapi?

Samsung anakimbiza kwenye simu za mkononi je, Mkorea Kusini aliipata wapi hiyo teknolojia?

Kwa nini ikiwa China watu wengi ndio huwa mnaanza kusema amecopy?

Huwa nashindwa kuelewa
 
Kama hiyo ndege ya kichna ukilinganisha na airbus 320

ni matokeo chanya haya ila je wataweza kuhimili hujuma za kibiashara za west kwenye hii industry?
Miaka 10 au 5 iliyopita hakuna alifikiria kuwa kuna siku China itakuja kuwa world's top car exporter na kuipita Japan

Hujuma zipo lakini soko ndilo linaamua zaidi. Kiuchumi tunasema consumer preference and taste ndio kila kitu
 
Nikuulize kitu

Mjapan ametawala kwa miaka mingi kwenye soko la magari. Je, teknolojia aliipata wapi?

Samsung anakimbiza kwenye simu za mkononi je, Mkorea Kusini aliipata wapi hiyo teknolojia?

Kwa nini ikiwa China watu wengi ndio huwa mnaanza kusema amecopy?

Huwa nashindwa kuelewa
Hivi ulishawahi kufika kwenye hizo viwanda vya China ata ukaona teknolojia wanazotumia? Au hujui kuwa magari mengi ya China ni uwekezaji kutoka German...suala la teknolojia ni tofauti ni uuzaji wa magari.
 
Hata Boeing na Airbus parts nyingi wananunua kutoka makampuni mengine tofauti na yao

Kuna makampuni maarufu kwa kuuza parts za ndege kama Rollys Royce, United Technologies, GE Aviation, Safran, Honeywell Aerospace na Rockwell Collins

Like Airbus and Boeing, the various components that make up the C919 are manufactured by other entities

Hapana hujanielewa, namaanisha component nje ya china. Components wanazotumia akina boeing na airbus zinatoka within their territory, lakini huwa sikii wakiagiza from “china”
 
Hivi ulishawahi kufika kwenye hizo viwanda vya China ata ukaona teknolojia wanazotumia? Au hujui kuwa magari mengi ya China ni uwekezaji kutoka German...suala la teknolojia ni tofauti ni uuzaji wa magari.
Taja viwanda vya China I mean China based auto manufacturers ambavyo ni uwekezaji wa Ujerumani?
 
IRIZAR ziliishia wapi mkuu?
Wewe jamaa unaleta ushabiki kwenye facts kwani green city zipo wapi?

Mbona kuna makampuni mengi tu ya mabus ya michina yamekufa sababu ya mikopo[emoji1787][emoji1787]

Ushawahi kujuliza kwa nini makampuni mengi ya kibongo hayakui licha ya kuwepo na michina ya bei cheese plus mikopo?

Bila wizi hauwezi kutoa hapa bongo kwa biashara ya mabus niamini[emoji1787][emoji1787]
 
Niliuliza nipate ufahamu tu sio kubishana chifu. Sijaziona njia ya kanda ya ziwa ndio lengo la swali langu
 
Zile basi za Katarama bado mpya ni suala la muda tu mkuu. Awaulize wenzake wazoefu wa hii biashara.

Hiyo basi hapo lazima abadilishe hiyo frame yote ya upande wa kushoto. Iko ofisini kwake inasubiri frame kutoka nje ya nchi, chuma kutozalisha tayari ni hasara kwa kampuni
View attachment 2679942
Scania bus haina swala la muda mkuu..
 
Niliuliza nipate ufahamu tu sio kubishana chifu. Sijaziona njia ya kanda ya ziwa ndio lengo la swali langu
Tafuta Tajiri wa mabus atakwambia biashara ilivyo ngumu mtu unaweka ruti ya mwanza-singida wenzako wanaweka ruti ya mwanza-dodoma mwingine mwanza-moro mnaanza kukimbizana hovyo mwisho wa siku services zinakua za shida[emoji3][emoji3]

Kampuni kufa sio sababu ya uchakavu wa gari watu tunaangalia huduma bora na ucha che wa ajari

Biashara ya bus ni pasua kichwa Mohammed Trans na Mombasa Raha walikua wanashusha bus kama upupu unajua sasa hivi wapo wapi?

90% ya makampuni ya mabusi yaliyopo barabarani kwa sasa ni mapya
 
Mimi sio mfanyakazi wa mabus ila ni msafiri mzuri sana

Naishi mwanza ila nimesomea dar malikizo yote nilikua narudi nyumbani

Nimeanza kupanda allys kipindi kile anamichongo zile gari zilikua zinatembea kinoma mwanza tulikua tunaingia sa 12

baadae nikaanza kusafiri na lucky star enzi hizo ni IRIZAR na ndio ilikua kiboko ya allys

Vijana wa stand hutanguliza mahaba mbele ila sisi wasafiri tunajua hauwezi kuiweka polo g7 na Yutong au golden dragon[emoji3] kwenye kila kitu

Nakumbuka niliwahi kupanda allys moja nyuma imeandikwa kitu kama Chester aiseee gari haina Comfortability ila inakimbia kama umeme[emoji119][emoji119]
Ally's Winchester DXS

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom