China yaongoza duniani katika utengenezaji na uuzaji wa mabasi ya abiria

China yaongoza duniani katika utengenezaji na uuzaji wa mabasi ya abiria

Madereva wa bongo ni wapumbavu sana bado wana ujinga na utoto. Kwa mfano hao wa Ally's, Katarama na New Force ni kama wendawazimu. Nchi za wenzetu wangekuwa wameshafungiwa leseni na kampuni kupigwa fine kubwa
Exactly mkuu madereva wa mabasi TZ hukumu yao ingekua miaka 30 kama mbakaji ukitaka kujua ushenzi wao endesha pkpk highway
 
Nikuambie kitu biashara ya mabas bila kua mjanja mjanja kama wakina about kutoboa ni ngumu sana

polo g7 itachoka leo[emoji1787][emoji1787] barabarani kuna mapolo mengi namba A ya miaka ya 2000s
Abiria wengi tunapenda chombo kiwe kipya ndani kiwe kinavutia na ndio maana wenye mabas wengi wanapendelea ya kichina kwa sabab uwekezaj unarud fasta wanaleta jipya nyingine

Achana na hiyo polo no.A ukiweka hata no.C kwenye kujaza abiria lazima upige ndumba nyingi miksa madalal wapokonye mizigo ya abiria ndio gari ijae kwa sabab mvuto kwa abiria utakua mdogo
 
Ungetaja sehemu hususa ungenielewesha vizuri
Mimi sio mfanyakazi wa mabus ila ni msafiri mzuri sana

Naishi mwanza ila nimesomea dar malikizo yote nilikua narudi nyumbani

Nimeanza kupanda allys kipindi kile anamichongo zile gari zilikua zinatembea kinoma mwanza tulikua tunaingia sa 12

baadae nikaanza kusafiri na lucky star enzi hizo ni IRIZAR na ndio ilikua kiboko ya allys

Vijana wa stand hutanguliza mahaba mbele ila sisi wasafiri tunajua hauwezi kuiweka polo g7 na Yutong au golden dragon[emoji3] kwenye kila kitu

Nakumbuka niliwahi kupanda allys moja nyuma imeandikwa kitu kama Chester aiseee gari haina Comfortability ila inakimbia kama umeme[emoji119][emoji119]
 
View attachment 2679366Hii chuma (sijui ndiyo DIAMLER) nimeikubali sana.

Nimepata picha ndiyo imekuja bongo uwe na safari mfano ya Arusha halafu dereva asiwe kama hawa wa New Force na Happy Nation wanaondesha roho mkononi na kudondosha mabasi hovyo uta-enjoy sana.
Hii diamler moja unanunua yuotong 3.
 
Abiria wengi tunapenda chombo kiwe kipya ndani kiwe kinavutia na ndio maana wenye mabas wengi wanapendelea ya kichina kwa sabab uwekezaj unarud fasta wanaleta jipya nyingine

Achana na hiyo polo no.A ukiweka hata no.C kwenye kujaza abiria lazima upige ndumba nyingi miksa madalal wapokonye mizigo ya abiria ndio gari ijae kwa sabab mvuto kwa abiria utakua mdogo
Mchina gani unavutia kwa ndani hadi useme polo g7 litakosa abiria?
 
Mimi sio mfanyakazi wa mabus ila ni msafiri mzuri sana

Naishi mwanza ila nimesomea dar malikizo yote nilikua narudi nyumbani

Nimeanza kupanda allys kipindi kile anamichongo zile gari zilikua zinatembea kinoma mwanza tulikua tunaingia sa 12

baadae nikaanza kusafiri na lucky star enzi hizo ni IRIZAR na ndio ilikua kiboko ya allys

Vijana wa stand hutanguliza mahaba mbele ila sisi wasafiri tunajua hauwezi kuiweka polo g7 na Yutong au golden dragon[emoji3] kwenye kila kitu

Nakumbuka niliwahi kupanda allys moja nyuma imeandikwa kitu kama Chester aiseee gari haina Comfortability ila inakimbia kama umeme[emoji119][emoji119]
Na siyo uwezo tu hata Bei hizo youtong 58 elfu ajijafika thamani diamler 32 elfu. Polo uwezi linganisha na mchina. Watu wanaleta ushabiki maandazi tu
 
Sasa m 800 siti 60 nauli mfano elf 40 utaingiza milioni 2.4.
M 800 kwa Mchina mikocheni unapata tatu kwa dhamana ya 3 unapewa 2 za mkopo.
Achilia mkopo hizo 3 tu ni sawa na siti 180 zidisha kwa elf 40 unaingiza milioni 7.2 Mara tatu ya scania.ndani ya mwaka milioni 800 imerudi wakat scania atahitaji miaka 6 ndo arejeshe hio m 800.
Kwa kudumu ni scania miaka 15 kwa comfortability,Raha mustarehe,ushindani wa abiria chukua Mchina baada ya miaka 5 unazikata screpa unaingiza zingine 10.

Biashara ya mabus inaendana na matoleo ya fasheni
Yeah, I agree. Biashara ya mabasi is not about durability but version and muonekano. Kama tajiri unapenda scania nunua lako uwe unaendesha, lakini abiria watafutie kile wanachopenda.
Scania, Volvo na wengineo wana mabasi makali sana, lakini tajiri huyu masikini hawezi kuyamudu.
 
Ndege na biashara ya bus ni tofauti sana.
Angalia soko lao kubwa la mabasi liko wapi vs european buses
China inabidi waende far from C919 kufikia level za kina boeing. So far bado wanatumia foreign parts kwenye ndege zenyewe.
And hao wakina boieng na airbus si kwamba wamestop ku innovate na wao wanapambana.
Its not an easy game
Hata Boeing na Airbus parts nyingi wananunua kutoka makampuni mengine tofauti na yao

Kuna makampuni maarufu kwa kuuza parts za ndege kama Rollys Royce, United Technologies, GE Aviation, Safran, Honeywell Aerospace na Rockwell Collins

Like Airbus and Boeing, the various components that make up the C919 are manufactured by other entities
 
Yeah, I agree. Biashara ya mabasi is not about durability bu version and muonekano. Kama tajiri unapenda scania nunua lako uwe unaendesha, lakini abiria watafutie kile wanachopenda.
Scania, Volvo na wengineo wana mabasi mskali sana, lakini tajiri huyu masikini hawezi kuyamudu.
Dar express akitaka kurudi kuwa mwamba wa kaskazini Hana budi Mchina, Kama ni scania awe anaingiza latest je ataweza? leta kina Marcopolo latest.
 
Back
Top Bottom