China yaongoza duniani katika utengenezaji na uuzaji wa mabasi ya abiria

Sidhani kama mchina ana innovation yake, karibu 90% ya product zake copy from western.
Kama hiyo ndege ya kichna ukilinganisha na airbus 320
Kwa sasa C919 wana order ya ndege 1061 imagine hawajamaliza hata mwaka tangu izinduliwe rasmi
ni matokeo chanya haya ila je wataweza kuhimili hujuma za kibiashara za west kwenye hii industry?
 
Sidhani kama mchina ana innovation yake, karibu 90% ya product zake copy from western.
Nikuulize kitu

Mjapan ametawala kwa miaka mingi kwenye soko la magari. Je, teknolojia aliipata wapi?

Samsung anakimbiza kwenye simu za mkononi je, Mkorea Kusini aliipata wapi hiyo teknolojia?

Kwa nini ikiwa China watu wengi ndio huwa mnaanza kusema amecopy?

Huwa nashindwa kuelewa
 
Kama hiyo ndege ya kichna ukilinganisha na airbus 320

ni matokeo chanya haya ila je wataweza kuhimili hujuma za kibiashara za west kwenye hii industry?
Miaka 10 au 5 iliyopita hakuna alifikiria kuwa kuna siku China itakuja kuwa world's top car exporter na kuipita Japan

Hujuma zipo lakini soko ndilo linaamua zaidi. Kiuchumi tunasema consumer preference and taste ndio kila kitu
 
Hivi ulishawahi kufika kwenye hizo viwanda vya China ata ukaona teknolojia wanazotumia? Au hujui kuwa magari mengi ya China ni uwekezaji kutoka German...suala la teknolojia ni tofauti ni uuzaji wa magari.
 
Hapana hujanielewa, namaanisha component nje ya china. Components wanazotumia akina boeing na airbus zinatoka within their territory, lakini huwa sikii wakiagiza from “china”
 
Hivi ulishawahi kufika kwenye hizo viwanda vya China ata ukaona teknolojia wanazotumia? Au hujui kuwa magari mengi ya China ni uwekezaji kutoka German...suala la teknolojia ni tofauti ni uuzaji wa magari.
Taja viwanda vya China I mean China based auto manufacturers ambavyo ni uwekezaji wa Ujerumani?
 
IRIZAR ziliishia wapi mkuu?
Wewe jamaa unaleta ushabiki kwenye facts kwani green city zipo wapi?

Mbona kuna makampuni mengi tu ya mabus ya michina yamekufa sababu ya mikopo[emoji1787][emoji1787]

Ushawahi kujuliza kwa nini makampuni mengi ya kibongo hayakui licha ya kuwepo na michina ya bei cheese plus mikopo?

Bila wizi hauwezi kutoa hapa bongo kwa biashara ya mabus niamini[emoji1787][emoji1787]
 
Niliuliza nipate ufahamu tu sio kubishana chifu. Sijaziona njia ya kanda ya ziwa ndio lengo la swali langu
 
Scania bus haina swala la muda mkuu..
 
Niliuliza nipate ufahamu tu sio kubishana chifu. Sijaziona njia ya kanda ya ziwa ndio lengo la swali langu
Tafuta Tajiri wa mabus atakwambia biashara ilivyo ngumu mtu unaweka ruti ya mwanza-singida wenzako wanaweka ruti ya mwanza-dodoma mwingine mwanza-moro mnaanza kukimbizana hovyo mwisho wa siku services zinakua za shida[emoji3][emoji3]

Kampuni kufa sio sababu ya uchakavu wa gari watu tunaangalia huduma bora na ucha che wa ajari

Biashara ya bus ni pasua kichwa Mohammed Trans na Mombasa Raha walikua wanashusha bus kama upupu unajua sasa hivi wapo wapi?

90% ya makampuni ya mabusi yaliyopo barabarani kwa sasa ni mapya
 
Ally's Winchester DXS

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…