China yaongoza duniani katika utengenezaji na uuzaji wa mabasi ya abiria

Na ndio maana ikaitwa biashara kichaa

Kuna mengi ya kujifunza kutoka kwa Abood na Shabiby wameweza kudumu kwenye hii biashara kwa miaka mingi sasa
 
Sijajua ni ngapi mkuu
Chukua hii point... bongo biashara ya mabus ni ngumu sana sio kwa mchina wala msweedeni ukikaa vibaya lazima uchakae

Kibongo bongo ukitaka kampuni yako ipate wateja wengi wewe vita chuma inayokimbia tu+ services

Kilichoifanya katarama ichukue headline ni mwendo jamaa alikua na gari gari mbili polo g7 allys anatoa gari kama 5 kwenda dar+ michina wenzie lakini polo linawatoa kama wamesimama[emoji1787][emoji1787]

Katarama inakifua balaaa halafu ni nenda rudi[emoji3]
 
Kigezo cha mbio sijaona mpaka leo nani mshindi kati ya Ally's (Mchina) na Katarama (Msweden)

Kwa tulio karibu na mikeka hakunaga basi linalomtawala mwenzake

Kuna wakati Katarama inaachwa na kuna wakati Ally's anaachwa

Kipengele cha spidi sioni wa kujimwambafai kwa mwenzake sio Mchina sio Msweden

Hata wanazi wa hizo kampuni wanalifahamu hilo. Na hapo ni Golden Dragon sipati picha Ally's angekuwa na Zhongtong mega kama za New Force 😅
 
[emoji23][emoji23]
Mwaga moto kama laana, unyama sana mkuu.
 
S
Zile Scania Marcopolo za Abood ni za 2004/5 kama sijakosea, walizinunua pamoja na akina Hood, Scandinavia, Royal Coach, Hekima Bus Service, Ilasi na Grazia ya Njombe.
Sasa mkuu gari ya 2004 unaizungumzia leo iwepo Road kweli? Kwa kuwa huku kwetu hakuna wathibitishaji kila mwaka ili kutoa kibali gari itembee bila kutoa rushwa ndio maana unaongea hivyo na pia kodi ya hus ipo juu tunakosa huduma bora na za kisasa kwa kuamini ni anasa...ukiangalia gari zinazopakia Wanafunzi ni kama adhabu kila siku wanapaka rangi ya nyumba yaonekane afadhali...
 
Kwa nini mkurugenzi alibadilisha kutoka Scania kwenda Yutong?
 
Hao vijana wa stand hawajui kitu wao wanaangalia mwisho wa safari tu mimi nimepanda hizo gari zote

Allys stand nyingi anaunga,mizigo wanabagua napenda wanavyotembea na mda

Ukija kwa katarama mizigo anachukua,stand anaingia hawa jamaa wanasubiria hadi hadi abiria kama akiwa na tatizo kwa Allys wanakuacha ya nyuma itakubeba

Ila likikaa barabarani katarama bamz huwezi sikia na bado mwisho wa safari utakuta Allys kaongoza kwa tofauti ya dakka chache

Mkuu katarama akivuta zingine 3 zinaenda tatu zinarudi 3 hautasikia mchina anakaa mbele
 
Muulize Sauli kule nyanda za juu Kusini ana Polo za kutosha anakalishwa na Mchina Zhongtong mega za New Force

Mchina sio wa kumchukulia poa kama wengi mnavyojiaminisha

Zilikuwepo Scania Irizar kanda ya ziwa wamejifia wamemwacha Ally's na tena enzi hizo alikuwa na Kinglong
 
Kwa huko sina comment mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…