Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
Na ndio maana ikaitwa biashara kichaaTafuta Tajiri wa mabus atakwambia biashara ilivyo ngumu mtu unaweka ruti ya mwanza-singida wenzako wanaweka ruti ya mwanza-dodoma mwingine mwanza-moro mnaanza kukimbizana hovyo mwisho wa siku services zinakua za shida[emoji3][emoji3]
Kampuni kufa sio sababu ya uchakavu wa gari watu tunaangalia huduma bora na ucha che wa ajari
Biashara ya bus ni pasua kichwa Mohammed Trans na Mombasa Raha walikua wanashusha bus kama upupu unajua sasa hivi wapo wapi?
90% ya makampuni ya mabusi yaliyopo barabarani kwa sasa ni mapya
Kuna mengi ya kujifunza kutoka kwa Abood na Shabiby wameweza kudumu kwenye hii biashara kwa miaka mingi sasa