China yaongoza duniani katika utengenezaji na uuzaji wa mabasi ya abiria

China yaongoza duniani katika utengenezaji na uuzaji wa mabasi ya abiria

Ndege na biashara ya bus ni tofauti sana.
Angalia soko lao kubwa la mabasi liko wapi vs european buses
China inabidi waende far from C919 kufikia level za kina boeing. So far bado wanatumia foreign parts kwenye ndege zenyewe.
And hao wakina boieng na airbus si kwamba wamestop ku innovate na wao wanapambana.
Its not an easy game
Kwa hiyo boing na airbus hawatumii foren parties sio
 
Sasa hivi wamepigwa gap hasa hapo kwenye electric buses
Na bado, maajabu makubwa kuhusu Wachina ndiyo yanakuja - miaka kama mitano iliyo pita Merikani walisema Wachina wasirihusiwe kutembelea/ingia kwenye space STATION ya mataifa ya magharibi na Urusi (International Space Station) Merikani wanacho sahau ni kwamba bila ya ujuzi wa Urusi space station hiyo ingekuwa imekwisa dondoka Duniani. siku nyingi tu,retro rockets zilizo fungwa kwenye ISS hiyo ndio ufanikisha kukiwezesha chombo hicho ndio kubakia angani kwa miaka mingi-Warusi wakijiondoa kwenye mradi huo space station hiyo wala haitabaki angani zaidi ya mwezi itadondoka tu Duniani.

Sasa tukija kwa upande wa Wachina Utakuta baada ya kutiliwa na kauzibe na US ili wasijiunge na International Space Station ndio Wachina wakahamua kujenga ya kwao na hawana masharti ya kijinga ukitaka kuitembelea mradi uwe na lengo jema na sio mambo ya kufanya ujasusi au kupandikiza vitu vya kukihujumu.
 
Hao IRIZAR ni kampuni ya Spain wameingia ubia na Scania kutengeneza body na chassis kwa baadhi ya matoleo ya basi za SCANIA ambazo huitwa SCANIA IRIZAR hizo kwenye picha

Wameingia ubia pia kutegeneza hata bodies baadhi ya matoleo ya mabasi ya IVECO, VOLVO, MERCEDES BENZ na MAN

Watamu sana kwenye kutengeneza bodies na chassis za luxury buses
Sasa kama kumbe ni suala la Bus body building quality, je, kampuni ulizo taja zina uwezo gani in peculiar wa ku equal or surpass Chinese Companies - hii kasumba ya kuponda ponda kampuni za kichina sijui zina stem kutoka wapi na ukisoma kwa umakini wapondaji wengi hawana elimu yoyote kuhusu: Internal combustion engines(Petrol,Diesel) Gas turbines engines, Stirling engines nk

Zungumzieni hata masuala ya metallurgy, forge and foundry, metal fabrication leteni ushahidi wa kuonyesha kwamba wachina wako nyuma sana katika masuala ya ufundi etc - maneno neno mengi ya kuwapanda China - wengie wao wala hawajawai hata kuitebelea Tazara kuangalia walao reli na madaraja na mahandaki yalivyo jengwa zaidi ya miaka 50 iliyopita na yakoje mpaka sasa.
 
💯🤝
 
Umesema vyema
 
Uzuri wa China hufanya yao na hawalazmishi watu dini au imani zao, sio kama haya mazombi mengine yanapenda kujilipua mabomu na kulazimisha watu waabudu wanachokiabudu wao.
 
Katarama inakifua balaaa halafu ni nenda rudi
20230707_223233.jpg

Jana Scania Polo G7 ya KATARAMA imewalaza abiria Dodoma mpaka usiku. Miezi 8 tu Msweden kashaanza kudai spana. Mkurugenzi kazi anayo
🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom