Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Wanaangalia faida kwa gharama ndogo Scania zipo juu mkuuKwa nini mkurugenzi alibadilisha kutoka Scania kwenda Yutong?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaangalia faida kwa gharama ndogo Scania zipo juu mkuuKwa nini mkurugenzi alibadilisha kutoka Scania kwenda Yutong?
Hili ndilo somo muhimu sana kwa biashara ya mabasi hapa TzWanaangalia faida kwa gharama ndogo Scania zipo juu mkuu
Amna cha urefu wala ufipuhapa nakupinga kaka , boeing na airbus kuja kupata mpinzani mkali kutoka china kuna safari ndefu kidogo. Labda hiyo kampuni ifanye competition na akina ambraer, gulfstream,dasault ,bomberdier n.K japo napo kuna kakipengele
Huo ndo ukwlei labad mavi ww ndo unayoMna mavi kichwani.
Kuna watu hawafutilie mambo wamekaa tu kukaririC919 tangu izinduliwe tayari wana order za ndege 1061
Kwa hiyo boing na airbus hawatumii foren parties sioNdege na biashara ya bus ni tofauti sana.
Angalia soko lao kubwa la mabasi liko wapi vs european buses
China inabidi waende far from C919 kufikia level za kina boeing. So far bado wanatumia foreign parts kwenye ndege zenyewe.
And hao wakina boieng na airbus si kwamba wamestop ku innovate na wao wanapambana.
Its not an easy game
Roll Royce ni kampuni ya narekani nayoHapana hujanielewa, namaanisha component nje ya china. Components wanazotumia akina boeing na airbus zinatoka within their territory, lakini huwa sikii wakiagiza from “china”
basi sawaAmna cha urefu wala ufipu
Na bado, maajabu makubwa kuhusu Wachina ndiyo yanakuja - miaka kama mitano iliyo pita Merikani walisema Wachina wasirihusiwe kutembelea/ingia kwenye space STATION ya mataifa ya magharibi na Urusi (International Space Station) Merikani wanacho sahau ni kwamba bila ya ujuzi wa Urusi space station hiyo ingekuwa imekwisa dondoka Duniani. siku nyingi tu,retro rockets zilizo fungwa kwenye ISS hiyo ndio ufanikisha kukiwezesha chombo hicho ndio kubakia angani kwa miaka mingi-Warusi wakijiondoa kwenye mradi huo space station hiyo wala haitabaki angani zaidi ya mwezi itadondoka tu Duniani.Sasa hivi wamepigwa gap hasa hapo kwenye electric buses
Hukijui Kile Cha Jeshi🤣 Cha nyumbu?
Kwanini utulizi mataco ili uandike kwa ufasaha unabaki kuchapia chapia tu.Roll Royce ni kampuni ya narekani nayo
Sasa kama kumbe ni suala la Bus body building quality, je, kampuni ulizo taja zina uwezo gani in peculiar wa ku equal or surpass Chinese Companies - hii kasumba ya kuponda ponda kampuni za kichina sijui zina stem kutoka wapi na ukisoma kwa umakini wapondaji wengi hawana elimu yoyote kuhusu: Internal combustion engines(Petrol,Diesel) Gas turbines engines, Stirling engines nkHao IRIZAR ni kampuni ya Spain wameingia ubia na Scania kutengeneza body na chassis kwa baadhi ya matoleo ya basi za SCANIA ambazo huitwa SCANIA IRIZAR hizo kwenye picha
Wameingia ubia pia kutegeneza hata bodies baadhi ya matoleo ya mabasi ya IVECO, VOLVO, MERCEDES BENZ na MAN
Watamu sana kwenye kutengeneza bodies na chassis za luxury buses
💯🤝Zungumzieni hata masuala ya metallurgy, forge and foundry, metal fabrication leteni ushahidi wa kuonyesha kwamba wachina wako nyuma sana katika masuala ya ufundi etc - maneno neno mengi ya kuwapanda China - wengie wao wala hawajawai hata kuitebelea Tazara kuangalia walao reli na madaraja na mahandaki yalivyo jengwa zaidi ya miaka 50 iliyopita na yakoje mpaka sasa.
Umesema vyemaSasa kama kumbe ni suala la Bus body building quality, je, kampuni ulizo taja zina uwezo gani in peculiar wa ku equal or surpass Chinese Companies - hii kasumba ya kuponda ponda kampuni za kichina sijui zina stem kutoka wapi na ukisoma kwa umakini wapondaji wengi hawana elimu yoyote kuhusu: Internal combustion engines(Petrol,Diesel) Gas turbines engines, Stirling engines nk
Zungumzieni hata masuala ya metallurgy, forge and foundry, metal fabrication leteni ushahidi wa kuonyesha kwamba wachina wako nyuma sana katika masuala ya ufundi etc - maneno neno mengi ya kuwapanda China - wengie wao wala hawajawai hata kuitebelea Tazara kuangalia walao reli na madaraja na mahandaki yalivyo jengwa zaidi ya miaka 50 iliyopita na yakoje mpaka sasa.
Asante mkuu,R&D: Reserach and Development
FTZs: Free Trade Zones
SEZs:Special Economic Zones
Sijakuelewa chifuKwa ubora upi wa uimara. Leo hii Kuna mchina ziliikuta andare zikafa na hazipo barabarani. Andare bado zipo zinapiga kazi.
Katarama inakifua balaaa halafu ni nenda rudi
Kweli ni suala la muda tu hata mwaka bado hazijatoboa
Unaweza kuambiwa sirikali haifanyi biashara ina subiri kodiSawa Sawa
Vp Kile Chetu Cha Nyumbu