Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Bongo biashara nyingi zinaendeshwa kwa mapato nje ya biashara husika na hadi biashara isimame yenyewe huenda umetumia zaidi ya miaka mitano. Sasa je wangapi wanaweza kuzi finance hizo biashara bila vyanzo vingine vya pesa.?😂Wewe jamaa unaleta ushabiki kwenye facts kwani green city zipo wapi?
Mbona kuna makampuni mengi tu ya mabus ya michina yamekufa sababu ya mikopo[emoji1787][emoji1787]
Ushawahi kujuliza kwa nini makampuni mengi ya kibongo hayakui licha ya kuwepo na michina ya bei cheese plus mikopo?
Bila wizi hauwezi kutoa hapa bongo kwa biashara ya mabus niamini[emoji1787][emoji1787]
Ndio maana ufisadi hauwezi kuisha nchini na wafanyabiashara wengi kukimbilia kuwa makada wa chama ili walambe teuzi na kujilimbikizia mitonyo.