China yasamehe baadhi ya madeni ya Tanzania

Baraka Mina

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2020
Posts
586
Reaction score
590
Ikiwa ni mwendelezo wa ziara ya kiserikali ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Ndg. Samia Suluhu Hassan nchini China.

Leo tarehe 03 Novemba 2022, China imesamehe baadhi ya madeni ya Tanzania.

Sambamba na hilo; Rais Samia Suluhu Hassan na Rais wa China Xi Jinping wameshuhudia utiaji saini mikataba 15 ya kimkakati hii leo jijini Beijing inayolenga kuimarisha ushirikiano, biashara na uwekezaji baina ya nchi hizo mbili.




 
yah akili ming kwako kiongozi
 
Weka wazi mkuu
 
Hakika Rais Samia Ni zawadi kwetu watanzania Tunayopaswa Kujivunia Na kuiheshimu, Amejenga Imani kwa kila mtu juu ya Tanzania yetu, kila mtu na kila Taifa kwa Sasa linatamani kushirikiana na Tanzania, Kila mtu anajiona Fahari kuwa na ukaribu wa kibiashara na Tanzania, Tanzania ya Nyerere kidiplomasia imerejeshwa na Rais Samia, Ni Kama Nyerere amezaliwa ndani ya Mama Samia, Tuendelee kutegemea makubwa kutoka kwa Rais Samia katika kuvutia wawekezaji watakao Leta fursa za ajira kwetu vijana
 
Kusema “mikataba 15 ya kimkakati”, bila kutaja ni mikataba gani ni sawa na bure tu. Sasa hiyo taarifa inamsaidia mwananchi wa kawaida kivipi?

Hapo hakuna tofauti na mikataba ya siri. Wangesema na hiyo mikakati ndo tutoe maoni. Maana ukiona kuna madeni yamesamehewa, halafu mikataba haitajwi, basi kuna uwezekano tumepigwa.
 
Give a little take a little..., ila kulingana na historia isije kuwa hii ni Give a Little take a Lot......, Ingawa sikumkubali Ndugai ila nilikubaliana na maneno yake ya mwisho mwisho
 
Nenda kakomenti facebook kule siyo huku kwa great thinkers.
 
Toa ushahidi tumepigwaje. Vinginevyo wewe ndio utakuwa FA*##la. Watu mpo kuzusha tu hata uhakika wa uzushi haupo. Hii Tabia acheni bwana
 
Hapo jua tumeliwa na kuuzwa kwa mchina, mda utaongea zaidi
 
Hivi nyie watu haya maneno mnakuwa mnayatoleaga wapi?? Yaani mtu unaongea kabisa ukiwa na uhakika asilimia mia moja kama vile ulikuwepo.

Nyie watu huwa mnanishangaza sana. Yakija kuwakuta ya kuwakuta mnaanza kulia lia
 
Nenda kakomenti facebook kule siyo huku kwa great thinkers.
Wewe ndio nenda huko Facebook unakoshinda wewe ili utaachie sisi huku tunakotumia Uhuru wetu kutoa mawazo yako, nenda Facebook ndio ukachaguage aina ya mawazo unayoyataka wewe na usiyoyataka na kuwataka uwa block ili wabaki wanao fanana akili na wewe
 
Mm simwelewi mpango mkakati wa Samia ni kukopa kopa KILA siku yaani apooo asitudanganye tunajua kabisa kuna sehemu ametoa kwa wachina Ili asamehewe deni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…