RubbishHakika Rais Samia Ni zawadi kwetu watanzania Tunayopaswa Kujivunia Na kuiheshimu, Amejenga Imani kwa kila mtu juu ya Tanzania yetu, kila mtu na kila Taifa kwa Sasa linatamani kushirikiana na Tanzania, Kila mtu anajiona Fahari kuwa na ukaribu wa kibiashara na Tanzania, Tanzania ya Nyerere kidiplomasia imerejeshwa na Rais Samia, Ni Kama Nyerere amezaliwa ndani ya Mama Samia, Tuendelee kutegemea makubwa kutoka kwa Rais Samia katika kuvutia wawekezaji watakao Leta fursa za ajira kwetu vijana