RubbishHakika Rais Samia Ni zawadi kwetu watanzania Tunayopaswa Kujivunia Na kuiheshimu, Amejenga Imani kwa kila mtu juu ya Tanzania yetu, kila mtu na kila Taifa kwa Sasa linatamani kushirikiana na Tanzania, Kila mtu anajiona Fahari kuwa na ukaribu wa kibiashara na Tanzania, Tanzania ya Nyerere kidiplomasia imerejeshwa na Rais Samia, Ni Kama Nyerere amezaliwa ndani ya Mama Samia, Tuendelee kutegemea makubwa kutoka kwa Rais Samia katika kuvutia wawekezaji watakao Leta fursa za ajira kwetu vijana
Wachina hao naowajua mim wanaomiliki yale mabonanza 🤣🤣🤣Ikiwa ni mwendelezo wa ziara ya kiserikali ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Ndg. Samia Suluhu Hassan nchini China.
Leo tarehe 03 Novemba 2022, China imesamehe baadhi ya madeni ya Tanzania.
Sambamba na hilo; Rais Samia Suluhu Hassan na Rais wa China Xi Jinping wameshuhudia utiaji saini mikataba 15 ya kimkakati hii leo jijini Beijing inayolenga kuimarisha ushirikiano, biashara na uwekezaji baina ya nchi hizo mbili.
View attachment 2406015
View attachment 2406016
View attachment 2406017
Wivu umewachanganya baada ya kuona mama Samia akifanikiwa wakati maombi yenu Ni kutaka ashindwe lakini kwa bahati Nzuri Ni kuwa Mwenyezi Mungu yupo upande wa Rais Samia na watanzania wenye mapenzi mema na nchi hiiHapo jua tumeliwa na kuuzwa kwa mchina, mda utaongea zaidi
Mama yupo kazini, ninyi endeleeni na ramli zenuMIKATABA 15 YA SIRI/YA KIMKAKATI!
CCM NI UKOO WA PANYA!
China wametusamehe bilioni 31 tu aisee, wache utaniIkiwa ni mwendelezo wa ziara ya kiserikali ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Ndg. Samia Suluhu Hassan nchini China.
Leo tarehe 03 Novemba 2022, China imesamehe baadhi ya madeni ya Tanzania.
Sambamba na hilo; Rais Samia Suluhu Hassan na Rais wa China Xi Jinping wameshuhudia utiaji saini mikataba 15 ya kimkakati hii leo jijini Beijing inayolenga kuimarisha ushirikiano, biashara na uwekezaji baina ya nchi hizo mbili.
View attachment 2406015
View attachment 2406016
View attachment 2406017
So kwamba watu wanaongea hawana ushahidi mfano kipindi cha JK mwanae alisamehewa kesi yake ya madawa ya kulevya China unadhan ilikuwa kizembe zembe kuna vitu alitoaHivi nyie watu haya maneno mnakuwa mnayatoleaga wapi?? Yaani mtu unaongea kabisa ukiwa na uhakika asilimia mia moja kama vile ulikuwepo.
Nyie watu huwa mnanishangaza sana. Yakija kuwakuta ya kuwakuta mnaanza kulia lia
Mama Ni kazi juu ya kazi , Sasa Tanzania inazidi kupaa na kukubalika kimataifa na kila Taifa na nchi inatamani kushirikiana na TanzaniaRubbish
Unataka ashindwe zaidi alivyoshindwa, kuongoza nchi na kuimba taarab ni vitu viwili tofautiWivu umewachanganya baada ya kuona mama Samia akifanikiwa wakati maombi yenu Ni kutaka ashindwe lakini kwa bahati Nzuri Ni kuwa Mwenyezi Mungu yupo upande wa Rais Samia na watanzania wenye mapenzi mema na nchi hii
Kabisa, ni sawa na kumhonga binti pesa ya vocha ili ukamchakate usiku mzimaKwa maoni yangu, bilioni 31.4 ni pesa ndogo mno. Wao ni taifa kubwa, walipaswa watusamehe deni kiwango kilichoshiba kidogo.
Zanzibar Ni sehemu ya Tanzania Usituletee ubaguzi wako hapa, Sasa Tanzania diplomasia yetu ya uchumi inafanyiwa kazi kivitendoHongereni Zanzibar. Muda si mrefu Terminal II itakuwa mwake mwake.
Huyu ndio Rais aliyefanikiwa ndani ya muda mfupi Sana kujenga uchumi wa nchi unaogusa maisha ya mtanzania, kila mtu anaguswa na maendeleo makubwa ya uchumi wetu,Unataka ashindwe zaidi alivyoshindwa, kuongoza nchi na kuimba taarab ni vitu viwili tofauti
Unazo hizo? Unafikiri zinaweza kujenga vituo vya Afya vingapi? Shule ngapi? Madarasa mangapi?Kabisa, ni sawa na kumhonga binti pesa ya vocha ili ukamchakate usiku mzima
Wachina sio watu wazuri kabisa, sio wa kuchekea waleIkiwa ni mwendelezo wa ziara ya kiserikali ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Ndg. Samia Suluhu Hassan nchini China.
Leo tarehe 03 Novemba 2022, China imesamehe baadhi ya madeni ya Tanzania.
Sambamba na hilo; Rais Samia Suluhu Hassan na Rais wa China Xi Jinping wameshuhudia utiaji saini mikataba 15 ya kimkakati hii leo jijini Beijing inayolenga kuimarisha ushirikiano, biashara na uwekezaji baina ya nchi hizo mbili.
View attachment 2406015
View attachment 2406016
View attachment 2406017
Kwangu mimi hapo kwenye kupunguza masharti na kupanua wigo wa soko la parachichi ndio nimepapenda.Ikiwa ni mwendelezo wa ziara ya kiserikali ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Ndg. Samia Suluhu Hassan nchini China.
Leo tarehe 03 Novemba 2022, China imesamehe baadhi ya madeni ya Tanzania.
Sambamba na hilo; Rais Samia Suluhu Hassan na Rais wa China Xi Jinping wameshuhudia utiaji saini mikataba 15 ya kimkakati hii leo jijini Beijing inayolenga kuimarisha ushirikiano, biashara na uwekezaji baina ya nchi hizo mbili.
View attachment 2406015
View attachment 2406016
View attachment 2406017
Hizo ni kodi ya siku nzima tu mkoa wa Dar es salaaam? Hii nchi ina vilaza wengi sanaMikataba 15 yenye kumnufaisha mchina kwa kusamehewa sehemu ya deni yenye thamani ya bilioni 31.4 Duh.viongozi wa Africa wamelaaniwa