China yasamehe baadhi ya madeni ya Tanzania

Unawaza kwa kutumia ndumku? Akiliza za kipuuzi hizi, hata Zambia walianza hivyo hivyo
 
Haitatajwa mkuh, Mingi ni ya kuuza nchi kwa Wachina.
 
Toa ushahidi tumepigwaje. Vinginevyo wewe ndio utakuwa FA*##la. Watu mpo kuzusha tu hata uhakika wa uzushi haupo. Hii Tabia acheni bwana
Hahaaa unazani kwa nini hio.mikataba haiwekwi wazi waka kujua majina yake? Wewe hio.mikataba 15 unaijua? Unazani kwa nini haiwekwi wazi?
 
Wewe ndio nenda huko Facebook unakoshinda wewe ili utaachie sisi huku tunakotumia Uhuru wetu kutoa mawazo yako, nenda Facebook ndio ukachaguage aina ya mawazo unayoyataka wewe na usiyoyataka na kuwataka uwa block ili wabaki wanao fanana akili na wewe
Uhuru gani wewe? Unaweza kuta unashingilia.ujinga wakati.ndugu zako wanakufa kwa umasikini kule bushi
 
Uhuru gani wewe? Unaweza kuta unashingilia.ujinga wakati.ndugu zako wanakufa kwa umasikini kule bushi
Unataka Uhuru gani zaidi ya huu unaoutumia hapa kutukana watu badala ya kushughulisha ubongo wako kuleta mawazo yenye tija hapa
 
Wamemaliza magogo tu na samaki
Wamesamehe deni? Kweli mwafrika atabaki kuwa mwafrika tu
 
Haitatajwa mkuh, Mingi ni ya kuuza nchi kwa Wachina.
Hata mimi nahisi hivyo hivyo. Ni wazi kuwa kwa kusamehe madeni na mikataba ya siri, kuna “quid pro quo”, ambayo tumepigwa ndo maana hakuna uwazi.
 
Huyu ndio Rais aliyefanikiwa ndani ya muda mfupi Sana kujenga uchumi wa nchi unaogusa maisha ya mtanzania, kila mtu anaguswa na maendeleo makubwa ya uchumi wetu,
Bila shaka umesoma shule za kata
 
Tumshukuru Mungu kwa kusamehewa baadhi ya madeni.
 
Kila siku yupo kwenye ndege haogopi kweli??
 
Zanzibar Ni sehemu ya Tanzania Usituletee ubaguzi wako hapa, Sasa Tanzania diplomasia yetu ya uchumi inafanyiwa kazi kivitendo
Kuipongeza Zanzibar kupata Terminal II, ndiyo ubaguzi! Umekula maharage ya wapi kada wa ccm!
 

Nilifikiri nchi kapewa waarabu .wa Oman na UAE..?
 

Pia akirudi mwambieni Rais wetu kuwa waziri wake wa Ujenzi na Uchukuzi Professor Mbalawa hatufai tena.
Mambo aliyoyatoa Bungeni ni haibu kwa waziri msomi kama yeye. Alitakiwa ajiuzuru mara moja.






Yaani Professor mzima ameshindwa kutoa maelezo juu ya mwendelezo wa mkataba ambao unasadikika ku-exist baina ya serikali na hiyo kampuni iliyo tajwa ambayo ilitakiwa isiwepo tena. Mtu anajiuliza, inakuwaje serikali iwe na umiliki wa 100% hisa, lakini kampuni nyingine ambayo haiko tena, ndiyo ikusanye mapato na kuilipa serikali kwa mkataba upi? Na kidheria inakuwaje kuwaje hapo? Wakati waziri yupo? Anafanya kazi gani mda huo wote?

Watanzania wenzangu nadhani mnajionea wenyewe jinsi gani Rais wetu anavyotumiwa kuwaweka watu kwenye position kubwa za madaraka, ambao kimsingi hawapo hapo kwa maslahi ya nchi bali kwa malengo ya baadhi ya watu ambao wanafaidika na utendaji wa huyo waziri na kuwa kwake hapo.

Mama alikwisha onywa mara kadhaa na watu wenye ku-sense harufu mbaya juu ya uteuzi wa huyo Professor. Nafikiri Mama atakuwa amejionea mwemyewe kuwa chaguo lake la kumrudisha huyo mtumishi ni kazi ya bure.
Mama anatakiwa atambue kuwa sio watu wote wanao kuwa rehabilitated kwa kurudishwa madarakani wanakuwa wamejifunza vitu.

Issue ya Waziri Mbalawa inanikumbusha nyuma kwenye issue ya Professor Mhongo na yale mambo ya Makinikia. Inawezekana vipi waziri husika mwenye uzoefu kama yeye kushindwa kuliona hilo bomu lilipo? Hiyo kwangu ni ishara ya uzembe na ukosekanaji wa uadilifu wa huyo waziri.

Mama Waziri wako Professor Mbalawa hayuko serious na malengo yako. Bado anatenda mambo kwa misingi ya "Business as usual", lakini kimantiki ni Boya tu huyo. Hana Power ya kufanya kazi kwa ufanisi. Hii wizra ni nyeti sana inatakiwa iwe na mwenye vision na maarifa mapana. Vijana wengi wanategemea ufanisi wa hii wizara.

Ni kitu cha kustaajabu sana kuwa leo ndiyo tunasikia pia kuwa hata ule mradi wa SGR kipande cha tano kuzoka Tabora mpaka Kigoma nacho mpaka leo, takribani miaka miwili sasa, haujaanza kutekelezwa wakati Waziri husika na wasaidizi wake akina Kadogosa wapo na wanaendelea kuudanganya umma na wewe Rais kuwa mambo yanakwenda murua. Hivi Mtendaji mkuu wa serikali yuko wapi? Na anafanya nini?

Mama kama wewe baafa ya haya yote badunamshilikilia tu huyo waziri basi endelea, sisi tumemalizana naye.

Asante sana Mama, wewe ni Rais mzuri sana unaye ipenda nchi yako. Hawa ndiyo watendaji watakao tuvusha.
Endelea tu kutuchagulia watu wazuri kama hao. Watanzania wanakushukuru sana.

Mungu ibariki Tanzania na watu wake!
 
So kwamba watu wanaongea hawana ushahidi mfano kipindi cha JK mwanae alisamehewa kesi yake ya madawa ya kulevya China unadhan ilikuwa kizembe zembe kuna vitu alitoa
Tupe ushahidi basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…