HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Ila Lithuania imeweza peleka silaha Ukraine na zinatumika kumtwanga UrusiKati ya hayo mataifa uliyotaja hakuna hata mwenye ubavu wa kusogeza pua yake China.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila Lithuania imeweza peleka silaha Ukraine na zinatumika kumtwanga UrusiKati ya hayo mataifa uliyotaja hakuna hata mwenye ubavu wa kusogeza pua yake China.
Hata Ukraine tulitegemea smooth take over ila kilichotokea ni balaa na hapo Urusi ana uzoefu wa vita na matumizi ya silaha zake.China inapigwa kwa energy sanctions, kisha US Navy inaingia baharini kuhakikisha sanctions zinafuatwa. Hakuna tanker inaruhusiwa kupeleka energy China, mwishowe China inatumia tankers zake na inaitegemea nishati ya Urusi ambao watagoma.
Hivyo tutarajie naval battle kali sana hapo China ikiwa inalinda fleets za tankers dhidi ya US Pacific fleet. Hapo Taiwan ishatekwa muda ila kimbembe kipo dhidi ya Marekani. Taiwan uso kwa uso na China wakiwa wenyewe tu haimalizi mwezi. China they are way more organised and superior than Russia, na Taiwan ina eneo dogo sana litakuwa overwhelmed na Chinese rockets, missiles, artillery, warships, drones na fighters.
Reaction ya Wachina nyumbani itategemea performance ya jeshi lao na naamini China itataka ifanye haraka kuliko ilivyowahi kuonekana duniani, ila vita zote wanaoanzisha hudhani zitakuwa haraka. Marekani ikitaka kutia machungu zaidi izuie imports na exports zote za China, tatizo halitokuwa uchumi kwa haraka bali njaa au kupanda bei za chakula, hawajitoshelezi kabisa kwa chakula wanaagiza sana
Kabla Marekani haijaingia WW2 ilikuwa haijawahi shiriki vita yoyote lakini ilikuwa na performance kubwa kuliko waliokuwa wanapigana.Hata Ukraine tulitegemea smooth take over ila kilichotokea ni balaa na hapo Urusi ana uzoefu wa vita na matumizi ya silaha zake.
China hajashiriki vita yoyote ile
Vita vinapigwana kwenye nyanja nyingi mkuu,Kabla Marekani haijaingia WW2 ilikuwa haijawahi shiriki vita yoyote lakini ilikuwa na performance kubwa kuliko waliokuwa wanapigana.
Urusi haina uchumi na industrial muscles za kuiwezesha vita kubwa, kwa China ni jambo lingine kabisa. Ungeona military production ya China ilivyo, ukaitazama Taiwan ilivyo hata leo wakianza vita ungekubali kwamba Taiwan ikisimama peke yake mwezi ni muda mwingi.
Taiwan inafikiwa na Chinese long range rocket artillery; thousands of pieces, na very cheap suicide drones. China haishindwi kukusanya industrial capacity yake kutengeneza drones hata 100,000 kwa wiki. Unashinda vita kwa superior technology na industrial production, ndio kitu Japan ilishindwa dhidi ya Marekani kwenye WW2, sio uzoefu wa kupigana maana Japan kabla ya WW2 imepigana na Urusi ikaipiga, ikapigana na China ikaipiga, ikazipiga Korea na ikaenda hadi Philippines kama ingekuwa uzoefu ndio kipimo Marekani ingepigwa kama mtoto.
Kama uzoefu wa kupigana ndio unaamua kati ya Urusi na Ukraine nani ana uzoefu, ila kinachoamua ni technology na production. Ukiishiwa missiles na shells wanajeshi hawatatumia uzoefu kupigana na strikes za adui.
Inategemewa kwa kipi?China inategemewa na ulimwengu mzima.
Ana watu wafupiInategemewa kwa kipi?
Ana resources Gani adimu?
PoleKama urussi aliyebaba wa nishati duniani kachemka sembuse mchina
?
China ina industrial supplies, Hana natural resources muhimu Kwa Dunia atakalishwa faster.
Hana gesi, hana mafuta....atakalushwa mapema kwa vikwazo
PoleSema inategemewa na Dark contenent kama afrika kuja kumwaga toys zao huku
Ila halijalizidi taifa lakoChina moja ya mataifa yenye watu wa hovyo ulimwenguni.
Hamisheni Sasa mkafanzie huko kwengineAfanyacho China kinaweza kuhamishwa kikafanyika popote pale
Kinachomzuia kuvamia taifa dogo hivyo ni reaction ya wengine?Kabla Marekani haijaingia WW2 ilikuwa haijawahi shiriki vita yoyote lakini ilikuwa na performance kubwa kuliko waliokuwa wanapigana.
Urusi haina uchumi na industrial muscles za kuiwezesha vita kubwa, kwa China ni jambo lingine kabisa. Ungeona military production ya China ilivyo, ukaitazama Taiwan ilivyo hata leo wakianza vita ungekubali kwamba Taiwan ikisimama peke yake mwezi ni muda mwingi.
Taiwan inafikiwa na Chinese long range rocket artillery; thousands of pieces, na very cheap suicide drones. China haishindwi kukusanya industrial capacity yake kutengeneza drones hata 100,000 kwa wiki. Unashinda vita kwa superior technology na industrial production, ndio kitu Japan ilishindwa dhidi ya Marekani kwenye WW2, sio uzoefu wa kupigana maana Japan kabla ya WW2 imepigana na Urusi ikaipiga, ikapigana na China ikaipiga, ikazipiga Korea na ikaenda hadi Philippines kama ingekuwa uzoefu ndio kipimo Marekani ingepigwa kama mtoto.
Kama uzoefu wa kupigana ndio unaamua kati ya Urusi na Ukraine nani ana uzoefu, ila kinachoamua ni technology na production. Ukiishiwa missiles na shells wanajeshi hawatatumia uzoefu kupigana na strikes za adui.
Kwanini wasingejiboost wao wenyeweMambo huwa hayaendeshwi kwa kukurupuka.
Kumbuka hata China hakuwa vile mpaka walipom boost.
The same wao watamshusha na kuhamishia kwingine.
Eti namaendeleo [emoji23][emoji23][emoji23]Maendeleo tunayo tena maendeleo yenye AMANI, maendeleo yenu hayana AMANI,
Sasahivi tunavyoongea China vijijini wakulima wanalazimishwa Kukata mazao yao na kubadilisha mazao yao na maeneo yao kupanda mpunga
Malalamiko yamekuwa mengi imefikia mpaaka wanakijiji wanaua wafanyakazi wa selikari.
Maendeleo gani sasa hayo?
Sasa tatizo la CHINA [emoji630] au tatizo lataifa lenu au Kuna sikuSikatai lakini wachina wanageuza nchi za watu jalala nenda karikoo uone takataka zao sijui hata wakaguzi wanakuwa wapi kuruhusu baadhi ya vitu
Kupeleka silaha hata Tanzania inaweza kupelekaIla Lithuania imeweza peleka silaha Ukraine na zinatumika kumtwanga Urusi
Umekimbia kwenye mikeka haahahKama China amechoka kuimarisha uchumi wake aseme atajibiwa kadri atakavyokuja.
Hajifunzi kwa mwenzake vita vimemuelea Sasa hv hajui atatokaje pale alipovamia.
Mimi nasema China vs Taiwan na wewe unasema China vs USA, vitu viwili tofauti.Vita vinapigwana kwenye nyanja nyingi mkuu,
Utaweza kwenda vitani ukafanya fujo ukirudi nyumbani unakutana na migomo yanayotokana na maisha magumu ya wananchi kutokana na vikwazo
China 75% ya mafuta na gesi anavyotumia kuendeshea mitambo yake, jet, meli, aircraft carrier n.k anaagiza nje na vinaletwa kupitia baharini.
Jiulize hapo hali yake itakuwaje ikianza kupigwa sunctions
Exactly. China ina uhitaji wa economic development, political stability na kuwa strong zaidi kuliko kuwa na Taiwan. Priorities za China Taiwan sio ya kwanza. Na Taiwan yenyewe kama yenyewe haiwezi kuizuia China kijeshi bali kuichelewesha. Ila China itakosa vingine ikiivamia Taiwan, sio kwamba itashindwa vita.Kinachomzuia kuvamia taifa dogo hivyo ni reaction ya wengine?