China yasema ipo tayari kuharibu uhuru wa Taiwan kwa njia yoyote

China inapigwa kwa energy sanctions, kisha US Navy inaingia baharini kuhakikisha sanctions zinafuatwa. Hakuna tanker inaruhusiwa kupeleka energy China, mwishowe China inatumia tankers zake na inaitegemea nishati ya Urusi ambao watagoma.

Hivyo tutarajie naval battle kali sana hapo China ikiwa inalinda fleets za tankers dhidi ya US Pacific fleet. Hapo Taiwan ishatekwa muda ila kimbembe kipo dhidi ya Marekani. Taiwan uso kwa uso na China wakiwa wenyewe tu haimalizi mwezi. China they are way more organised and superior than Russia, na Taiwan ina eneo dogo sana litakuwa overwhelmed na Chinese rockets, missiles, artillery, warships, drones na fighters.

Reaction ya Wachina nyumbani itategemea performance ya jeshi lao na naamini China itataka ifanye haraka kuliko ilivyowahi kuonekana duniani, ila vita zote wanaoanzisha hudhani zitakuwa haraka. Marekani ikitaka kutia machungu zaidi izuie imports na exports zote za China, tatizo halitokuwa uchumi kwa haraka bali njaa au kupanda bei za chakula, hawajitoshelezi kabisa kwa chakula wanaagiza sana
Hata Ukraine tulitegemea smooth take over ila kilichotokea ni balaa na hapo Urusi ana uzoefu wa vita na matumizi ya silaha zake.

China hajashiriki vita yoyote ile
 
Kabla Marekani haijaingia WW2 ilikuwa haijawahi shiriki vita yoyote lakini ilikuwa na performance kubwa kuliko waliokuwa wanapigana.

Urusi haina uchumi na industrial muscles za kuiwezesha vita kubwa, kwa China ni jambo lingine kabisa. Ungeona military production ya China ilivyo, ukaitazama Taiwan ilivyo hata leo wakianza vita ungekubali kwamba Taiwan ikisimama peke yake mwezi ni muda mwingi.

Taiwan inafikiwa na Chinese long range rocket artillery; thousands of pieces, na very cheap suicide drones. China haishindwi kukusanya industrial capacity yake kutengeneza drones hata 100,000 kwa wiki. Unashinda vita kwa superior technology na industrial production, ndio kitu Japan ilishindwa dhidi ya Marekani kwenye WW2, sio uzoefu wa kupigana maana Japan kabla ya WW2 imepigana na Urusi ikaipiga, ikapigana na China ikaipiga, ikazipiga Korea na ikaenda hadi Philippines kama ingekuwa uzoefu ndio kipimo Marekani ingepigwa kama mtoto.

Kama uzoefu wa kupigana ndio unaamua kati ya Urusi na Ukraine nani ana uzoefu, ila kinachoamua ni technology na production. Ukiishiwa missiles na shells wanajeshi hawatatumia uzoefu kupigana na strikes za adui.
 
Vita vinapigwana kwenye nyanja nyingi mkuu,

Utaweza kwenda vitani ukafanya fujo ukirudi nyumbani unakutana na migomo yanayotokana na maisha magumu ya wananchi kutokana na vikwazo

China 75% ya mafuta na gesi anavyotumia kuendeshea mitambo yake, jet, meli, aircraft carrier n.k anaagiza nje na vinaletwa kupitia baharini.

Jiulize hapo hali yake itakuwaje ikianza kupigwa sunctions
 
Kama urussi aliyebaba wa nishati duniani kachemka sembuse mchina
?
China ina industrial supplies, Hana natural resources muhimu Kwa Dunia atakalishwa faster.

Hana gesi, hana mafuta....atakalushwa mapema kwa vikwazo
Pole
 
Kabla Marekani haijaingia WW2 ilikuwa haijawahi shiriki vita yoyote lakini ilikuwa na performance kubwa kuliko waliokuwa wanapigana.

Urusi haina uchumi na industrial muscles za kuiwezesha vita kubwa, kwa China ni jambo lingine kabisa. Ungeona military production ya China ilivyo, ukaitazama Taiwan ilivyo hata leo wakianza vita ungekubali kwamba Taiwan ikisimama peke yake mwezi ni muda mwingi.

Taiwan inafikiwa na Chinese long range rocket artillery; thousands of pieces, na very cheap suicide drones. China haishindwi kukusanya industrial capacity yake kutengeneza drones hata 100,000 kwa wiki. Unashinda vita kwa superior technology na industrial production, ndio kitu Japan ilishindwa dhidi ya Marekani kwenye WW2, sio uzoefu wa kupigana maana Japan kabla ya WW2 imepigana na Urusi ikaipiga, ikapigana na China ikaipiga, ikazipiga Korea na ikaenda hadi Philippines kama ingekuwa uzoefu ndio kipimo Marekani ingepigwa kama mtoto.

Kama uzoefu wa kupigana ndio unaamua kati ya Urusi na Ukraine nani ana uzoefu, ila kinachoamua ni technology na production. Ukiishiwa missiles na shells wanajeshi hawatatumia uzoefu kupigana na strikes za adui.
Kinachomzuia kuvamia taifa dogo hivyo ni reaction ya wengine?
 
Maendeleo tunayo tena maendeleo yenye AMANI, maendeleo yenu hayana AMANI,

Sasahivi tunavyoongea China vijijini wakulima wanalazimishwa Kukata mazao yao na kubadilisha mazao yao na maeneo yao kupanda mpunga

Malalamiko yamekuwa mengi imefikia mpaaka wanakijiji wanaua wafanyakazi wa selikari.

Maendeleo gani sasa hayo?
Eti namaendeleo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sikatai lakini wachina wanageuza nchi za watu jalala nenda karikoo uone takataka zao sijui hata wakaguzi wanakuwa wapi kuruhusu baadhi ya vitu
Sasa tatizo la CHINA [emoji630] au tatizo lataifa lenu au Kuna siku
CHINA [emoji630] ilikuja ikawalazmisha kununua vitu Kule bila ridhaa yenu simnaenda wenyewe kama hamutaki nendeni us kanunueni bidhaa
 
Mmarekani aende kuuza silaha zake huku mchina akiendelea kuharibikiwa [emoji23]
 
Vita vinapigwana kwenye nyanja nyingi mkuu,

Utaweza kwenda vitani ukafanya fujo ukirudi nyumbani unakutana na migomo yanayotokana na maisha magumu ya wananchi kutokana na vikwazo

China 75% ya mafuta na gesi anavyotumia kuendeshea mitambo yake, jet, meli, aircraft carrier n.k anaagiza nje na vinaletwa kupitia baharini.

Jiulize hapo hali yake itakuwaje ikianza kupigwa sunctions
Mimi nasema China vs Taiwan na wewe unasema China vs USA, vitu viwili tofauti.

Kwanza hakuna guarantee 100% kwamba Marekani itaitetea Taiwan ikivamiwa na China. Na hata kama guarantee ipo, invasion itafanyika na Taiwan itakuwa occupied kisha vita ya China na Marekani iendelee. China can withstand sanctions for a few months wakati Taiwan ishakuwa chini yake. Ni sawa uzungumie WW2, Nazi Germany ilipotangaza invasion ya Poland ndipo Britain ikatangaza vita nao ila tangu mwaka huo 1939 Poland ilikuwa occupied mpaka 1944 hivi. France nayo si ilikuwa occupied ndio allies wakaja ikomboa. Na Taiwan itakuwa hivyo hivyo.

Ikitokea China inafanya invasion ghafla inahitaji Marekani zaidi ya wiki tatu kuandaa heavy naval task force mpaka ifike South China sea, maana aircraft carrier moja iliyopo around pale haitoshi. Huo muda China inasubiri Marekani waje?
Kama ni bombers za USAF kuwa Guam bado China ana ICBM na interceptors anaweza hold kwa muda.

Wewe unazungumzia njaa, hakuna superpower anaingia vitani alafu within a month watu wanakufa njaa. Na hiyo naval blockade inahitaji warships kuisimamia, ni kitu kimoja kutunga sheria ya kuzuia kuzurura usiku mtaani, ni kitu kingine kuhamamisha sungusungu wa kukamata wazururaji.

Alafu kwanini uamini Wachina wakiingia vitani wataigeuka serikali, unajua ni kiasi gani CCP imewekeza kwenye elimu ya uzalendo? Hakuna nchi pale Ulaya raia ni wazalendo kuliko China, ukiingia nao vitani habari za serikali inatunyanyasa utazisoma kwenye vitabu. Mpaka blockade iwe emphasized, fuel ikose, chakula kikose Taiwan ishakuwa occupied muda sana.

Hata ukiamua kujidanganya, there is no way Taiwan can thwart Chinese invasion. Vita sio miujiza
 
Kinachomzuia kuvamia taifa dogo hivyo ni reaction ya wengine?
Exactly. China ina uhitaji wa economic development, political stability na kuwa strong zaidi kuliko kuwa na Taiwan. Priorities za China Taiwan sio ya kwanza. Na Taiwan yenyewe kama yenyewe haiwezi kuizuia China kijeshi bali kuichelewesha. Ila China itakosa vingine ikiivamia Taiwan, sio kwamba itashindwa vita.

Hapa tunazungumzia Taiwan nchi yenye landmass ndogo kuliko mkoa wa Manyara, China ina naval vessels zaidi ya 300, fighters mamia, drones za kutosha na thousands of artillery pieces and rockets. Ni kwamba China haiwezi vamia kimauaji kama Urusi maana Taiwan ni ndugu zao na ina mpango na miundombinu yao vinginevyo China inaweza tumia muda mfupi sana.
 
Back
Top Bottom