green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
Kumeamza kichangamkaJeshi la China limesema lipo tayari kukishughulikia kisiwa cha Taiwan. linakirudisha kisiwa chake kilicho asi na imeshapeleka zana vita eneo la oparation.....meli na ndege vita kuzunguka kisiwa chote
BREAKING β‘π¨ Chinese army Helicopter monitoring in Taiwan to warn US and #Taiwan joint forces.
π¨ Chinese Global Times - There are no Taiwan on the earth.
π¨ China says, #US should remove it's forces from Taiwanese territory.
Wapo mstari wa mbele mda huu.Mvimba macho Hana Cha kufanya dhidi ya west people,ataishia kubwatuka
We ndio unashangaza mtu sehem yake unataka aiacheChina anashangaza sana.
Kwani ni Lazima Taiwan iwe sehemu yake.
Russia ilimeguka.We ndio unashangaza mtu sehem yake unataka aiache
Yaani ni swala la muda tuu, lazima liitake kageraπ€£Sahiv ni mwendo wa kunyang'anyana maeneo tu. Soon utasikia lile toto la Mseven linasema linaitaka kagera yake π
Asa na wao wanapambana ili isije tokea hivo ,we kina kuuma nn hapoRussia ilimeguka.
Sudan pia.
Hakuna ajabu Taiwan ikiamua kuwa hivyo ilivyo.
Na alivo mropokaji anaeza ku tweet mda wowote ebu acheni kumkumbusha swala la kageraYaani ni swala la muda tuu, lazima liitake kageraπ€£
π¨π³π¨π³π¨π³π¨π³π¨π³π¨π³π¨π³π¨π³π¨π³π¨π³π¨π³π¨π³π¨π³π¨π³π¨π³Nae kaona apigepige biti kaona wenzie wanakiwasha