China yasema ipo tayari kwa vita, yaizingira Taiwan

China yasema ipo tayari kwa vita, yaizingira Taiwan

Huuu mwaka marekani atabanwa kote kote kama alivozoea kuwabana wenzake na nato yake
Wewe jamaa ndio huelew, mwenzako kacheza karata kali sana hapo kama ww2 tuu alikuwa kimya kaz yake kuuza silaha na chakula, ona sasa hiv jins kamsogezea russia mfupa ukrain anabanana nao, yy anauza silaha ametulia kwake, middle east yeye katulia anauza silaha soon utasikia china kabanana na ndugu yake taiwan yeye anauza silaha ama unazan ukisikia msaada wajua ni bure bure
 
Jeshi la China limesema lipo tayari kukishughulikia kisiwa cha Taiwan. linakirudisha kisiwa chake kilicho asi na imeshapeleka zana vita eneo la oparation.....meli na ndege vita kuzunguka kisiwa chote

BREAKING ⚡🚨 Chinese army Helicopter monitoring in Taiwan to warn US and #Taiwan joint forces.

🚨 Chinese Global Times - There are no Taiwan on the earth.

🚨 China says, #US should remove it's forces from Taiwanese territory.
Mataifa makubwa yajifunze Kwa vita vya Ukraine na Russia. Usidharau UDOGO WA TAIFA. Kibaya zaidi, population ya China NI kubwa mno na Taiwan ilivyo,haikopeshi kama Ukraine. Wao wanapigwa na kupiga. Ukirusha bomu popote pale china,vifo na majeruhi NI maelfu Kwa sababu ya wingi wap WA watu. Pili,INDIA anaangalia!!!
 
Hapo Ukraine unaona Russia kashindwa?
 
Back
Top Bottom