China yasema ipo tayari kwa vita, yaizingira Taiwan

China yasema ipo tayari kwa vita, yaizingira Taiwan

Haya wazee WA dini, uwanja Ni wenu

Twambueni vitabu vyenu vinasemaje khs Hii Vita ya china na taiwani. Nani atakua mshindi.

Nani abarikiwe na nani alaaniwe ili maandiko yatimie😀

Afu nmeskia pia kule N.KOREA vs S. Korea nao tayari wamekiwasha😊
Jibu wataleta jumapili baada ya misaa ya kwanza wataenda jumuiya kwa Mama onesmo kisha watakuja na tamko teule ,ila nahisi yohana aliwai chanja mbuga mmpka Taiwan hii inawapa uteule watu wa Taiwan
 
Mchina akipigwa bomu moja tu anarudisha mkia tobo, anakumbuka alivyoanguka na namna alivyopambana kurudi hapo alipo.
 
China, hata siku moja, haiwezi kukubali kupigana au kuwekewa vikwazo na mataifa ya Magharibi.

Mataifa ya Magharibi ndiyo yaliyoifanya China ifike hapo ilipo. China imeishi kwenye uchumi wa kubabaisha kwa miaka mingi. Ni baada ya kupokea ushauri wa mataifa ya Magharibi, na kukubali kubinafsisha shughuli nyingi za kiuchumi na biashara, na Mataifa mengi ya Magharibi kuwekeza heavily China, ndipo uchumi wa China ulipaa na kukua mfulululizo kwa 12% kwa mwaka, kwa miaka kadhaa. Mpaka leo kuna makampuni zaidi ya milioni 1 ya kutoka mataifa ya Magharibi nchini China. Makampuni hayo yote yakiondoka mara moja kwa sababu ya vita, uchumi wa China utayumba vibaya sana, na China haitaki kabisa hilo litokee.
Unadhani yakiondoka yataenda wapi?
 
Mkuu maisha sio kukariri vitu vingi vinatokea vya kushangaza ambovo watu hatukutegemea kama vitafanyika
Mda huu China kaona ni sahihi kwake kufanya hivi maana Taiwan inategemea ulinzi wa US .marekani yuko Israel na Ukraine na hapo taiwn anapewa mzigo mwingine tena
Nadhani Hawa jamaa wameoanga hii ishu ili kumshinda US maana hata kama ni kuuza silaha , sidhani kama ana stock ya kutosha
 
Back
Top Bottom