Unafikiri US akiamua anashindwa kusupport vita zote hizo?US sasa sijui ishike wapi iache wapi, hapo Taiwan, kushoto Ukraine, kulia Middle East, usije kushangaa North Korea na yeye anaanza zake, lakini US ninavyowafahamu hapo watatumia diplomasia, hao jamaa huwa hawakurupuki, karata ikiwa ngumu huwa wanakuwa wana diplomasia wazuri sana.