China yasema ipo tayari kwa vita, yaizingira Taiwan

China yasema ipo tayari kwa vita, yaizingira Taiwan

Speech za Putin zipo wazi!

Tupe ushahidi!
Ni kwamba unajitoa ufahamu au?

From day 1 alikataa kuiita invasion yake kuwa ni full scale war akidai ni Special Military Operation (SMO) tena alifikiri ingechukua 72 Hrs.

West wakampa offer Zelensk ya kumtorosha,yeye akadai nipeni silaha na the rest is history, ni kinawaka kweli kweli jeshi lililosemekana ni la pili duniani limepigishwa drills za hatari sana.
 
Tumia akili tsiwani ni china toka zamani au ujui historia..pia kuiacha taiwani kama ilivyo ni kumweka adui USA mlangoni mwa nchi yake .
Yote mia mimi nataka haraka sana turudishe maeneo yetu yaliyomegwa kutoka Tanganyika baada ya vita vya kwanza vya dunia. Haraka sana nataka tuirudishe majimbo ya Rwanda, Burundi na Kionga Triangle ndani ya Himaya ya Tanganyika Kuu.
 
Mchina nilimtoa maanani kipindi kile alichochimba biti kuwa Spika wa bunge la Marekani asitue Taiwan. Wajuba wakatua, jamaa akaufyata kama sio yeye.
Nalikumbuka lile biti aisee. Pamoja na mazoezi yoote kwenye pwani ya Taiwan lakini bado Pelosi akatua na kuondoka salama😃😃
 
Back
Top Bottom